Wanafunzi tunaojiunga SUA invoice za malipo ya Tuition Fee na Accommodation zinapatikanaje / tunazipata wapi?

Mecco

New Member
Nov 17, 2020
1
1
Habari ya muda huu wanajukwaa!

Naomba kufahamishwa / kuelekezwa namna ya kupata INVOICE kwa ajili ya kulipia ya Accommodation (makazi) na Tuition Fee (Ada) kwa chuo cha Sokoine University of Agriculture (SUA).

Maelekezo yaliyopo kwenye Barua ya kukubaliwa kujiua chuo na yale yaliyopo kwenye joining instructions yanaelekeza invoice kwa ajili ya malipo ya Tuition Fee na Accommodation zinapatikana katika akaunti ya mwanafunzi aliyoifungua wakati wa kuomba chuo.

Ukweli ni kwamba akiingia katika akaunti ya mwanafunzi hakuna hizo / hiyo INVOICE yoyote. Kutokana na hilo nimekuja hapa kuuliza / kuomba maelekezo ya namna ya kupata hiyo / hizo INVOICE kama kuna namna nyingine ya kuzipata.

Au kama bado hawajazi-upload apaka sasa naomba nifahishwe. Mawasiliaono yao ya simu hayapatikani.

Shukrani!
 
Log in kwenye account yako
nenda payment na fee
ukifungua hapi utaona invoice yako.

ila ninachokumbuka kwa first year huwa wanalipia kule chuoni wakiripoti ndo maana labda hawajaweka
 
Log in kwenye account yako
nenda payment na fee
ukifungua hapi utaona invoice yako.

ila ninachokumbuka kwa first year huwa wanalipia kule chuoni wakiripoti ndo maana labda hawajaweka
Fata huu ushauri,
Ukiingia ukakuta hujawekewa invoive basi ukifika chuoni nenda kwa muhasibu akupatie ila kwenye acc kupitia hayo maelezo utazikuta invoice za malipo mabalimbali!!!
 
Back
Top Bottom