wana jf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. under500

    Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

    Habari za j2 wakuu Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
  2. Baba mtakatifu91

    UTAFITI MDOGO: ASILIMIA KUBWA YA WANA JF NI INTROVERT

    Wakubwa hawakosei na Jumapili njema. Nimeamka na bandiko lenu wakuu. Nimejiuliza kwanini wana Jf wanatumia ID's za kificho. Na tabia mojawapo ya introverts ni kufanya vizuri anapokuwa peke yake. Ndiyo maana kuna watu kwenye real life wanashindwa kujielezea vema ila hapa ni uhuru wa manyani...
  3. Troublemaker

    Hawa Standup Comedy wa Tanzania, nyie wana JF wanawachekeshaga?

    Hell... Nazungumzia hawa kama wanajiita sijui Watubaki na cheka tu. Naonaga matangazo yao kiukweli naona watu wanacheka vitu ambavyo hata havichekeshi. Au ni mimi ndiye nina stress. Maana ule ni usimuliaji tena hata kwa vitu havichekeshi. Na style ni stori utotoni ilikua hivi mara vile.
  4. mchonde1212

    Kati ya biashara ya vyakula na vinywaji baridi na vikali ipi inalipa?

    Wana JF naomba kuuliza kati ya biashara ya vyakula/nafaka na biashara ya vivywaji ipi inafaida zaidi
  5. Pascal Mayalla

    Miaka 20 ya JF: Tuanzishe MaJukwaa Mapya 10 Yenye Impact Kutatua Changamoto za Wana JF na Jamii?. Wana JF Wenye Uwezo Tuwasaidie Wenzetu Nao WaWin au?

    Wana JF, Mwaka huu, JF tunatimiza miaka 20, niilishauri tufanye something big kuadhimisha miaka 20 ya JF ukiwemo ushauri huu Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..? Japo sijui jf kwa sasa...
  6. Financial Analyst

    Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State

    Mashambulizi ya pamoja kati ya majeshi ya Nigeria na United States yameua wapiganaji 175 wa kundi la Islamic State, kwa mujibu wa taarifa ya majeshi ya nchi hizo iliyotolewa Jumanne. Mashambulizi hayo ya anga yaliyofanyika katika siku chache zilizopita kaskazini mashariki mwa Nigeria, pia...
  7. Stability

    Hivi ndivyo ninavyoweza kuwapa makundi wana JF

    😡SADISTS hawa wana msongo kutokana na mambo mengi hayajitiki, muda umewatupa mkono au juhudi zao haziendani na matunda yao. Kwao comments zao dakika 2 tu matusi hayo. 😶INTROVERTS AMBAO WAKIINGIA JF WANAKUWA EXTROVERT. hawa kila kitu humu wanachukulia personal sana lakini pia ni watu wa kupost...
  8. min -me

    Kwa kilichotokea jana, nisameheni tu wana JF

    Jana nililewa kwa stress za kupoteza pesa. Kwenye reply zangu za jana nilikosea sana ni ulevi tu. Kweli nisameheni wale nilio wakera🙏
  9. Pascal Mayalla

    WanaJF wenye Access na DW Radio,msikose kusikiliza DW Radio leo Saa 12:00 Jioni,kuna uchambuzi Kamambe wa Ripoti ya Tume ya Jaji Chande!,Usikose!

    Wanabodi This is News Alert! Wale wana JF wenye access kusikiliza DW Radio,msikose kusikiliza DW Radio leo jioni kuanzia Saa 12:00 jioni,kuna uchambuzi kamambe wa mchambuzi mahiri,wakiichambua Ripoti ya Tume ya Jaji Chande!. https://youtube.com/shorts/kdSMhXXw9Ig?si=abT3oqW2IS3D8XMS DW...
  10. A

    KERO Upandishwaji nauli kiholela jijini Arusha

    Habarini wanaJF, Mimi ni mfanyakazi katika jiji hili la Arusha,ninaishi maeneo ya sakina silent inn huku kazi nafanyia Sanawari. Hapo kabla hata ya mamlaka zinazohusika (LATRA)kupandisha nauli,watoa huduma hii ya usafirishaji yaani daladala ndani ya mkoa huu walikua tayari wamekwisha pandisha...
  11. R

    Heri ya sikukuu ya Pasaka wana JF

    Niwatakie heri ya sikukuu ya pasaka wana Jf wote , sijaona au labda sijatafuta Uzi wa sikukuu ya pasaka 2026 nimeona niandike kuwatakia wote Heri ya sikukuu ya pasaka Mwokozi amefufuka , tuyatende yaliyo mema ndugu zangu dhambi zetu zimechukuliwa kila tunapotubu
  12. VN Warehouse Limited

    Kama unaona mimi ni bahili sana kwenye kutumia pesa zangu, nipe zako ntumie unavotaka

    Habari wana JF, Kuna tabia imekuwa ya kawaida siku hizi - mtu anakupangia jinsi ya kutumia pesa zako. Ukihifadhi, unasemwa ni bahili. Ukipanga bajeti, unasemwa huna moyo wa kutoa. Ukikataa matumizi yasiyo na mpango, unasemwa una roho ngumu. Lakini swali langu ni moja tu: Kama unaona mimi ni...
  13. Pascal Mayalla

    Mwaka 2026 JF Inatimiza Miaka 20! Tuwakumbuke Wana JF wa Zamani, Tuwaenzi, Tuwarudishe, na Wale ma GT wa Enzi Zile Waurejeshe Moto Kama Ule au ..?

    Wanabodi, Mwaka Huu 2026 JF Inatimiza Miaka 20!, tangu uwepo wake, tangu enzi zile za JamboForums. Pia soma Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF? Pia unaweza kujikumbusha Miaka 10 tangu kuanzishwa kwa JamiiForums... Natoa wito, kwanza...
  14. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums kuna wanawake wazuri sana, nimeshawahi kukutana na Wana JF warembo kuliko malaika, wazuri kuliko hela♥️😍

    It was not a date, just a few minutes meeting. Mara ghafla anatokea msichana , mdada, mzuri hadi naogopa, huyu ni jini au ni malaika? Otea alikuwa ni nani kati ya hawa? Miss Natafuta, Nakubusu , Evelyn Salt Jemima Mrembo, au @mamdenyi? Hapo hujakutana na FaizaFoxy, mtu mwenye maruhani wake...
  15. Poker

    Miaka 20 ya JamiiForums (Machi 2006 - Machi 2026): Tukio gani hutalisahau lililotokea ndani JF?

    Unakumbuka nini, tukio gani kila ukilikumbuka unaishia kucheka? Vipi JF imekuletea michongo gani na connection ipi! Umewahi kubahatika kuonana na member yoyote nje JF? Unahisi miaka ya sahivi na miaka ile kuna utofauti gani hapa jukwaani. Ulikuwa wapi kipindi kile ofisi za JF zinapigwa msako...
  16. TheGreatest Of AllTime

    Nicknames maarufu za wana JF

    HAYA LAND HOV manyaunyau GENTAMYCINE popoma Binti wa zamani bibi kizee cha tulin min -me bwashee ELI COHEN myahudi Lucas Mwashambwa chawa Mshana Jr mtaalam Shusha nyingine😁
  17. 4

    Kwa neema ya bwana katika taifa la watekaji na wasaliti wa Taifa hili nipo salama, neema ya Bwana ikawe juu yenu wana jf

    Mwaka 2025 umeisha , ila hope utaanzia ulipoishia, vijana wangu Mungu awepe pumziko la milele pale mlipo ,na hukumu kwa mujibu ya matendo yenu hapa Duniani , najua niliwalea vizuri ,ila Mungu ndo anajua vizuri. Nami kama baba yenu , na familia mwaka huu ,tutazika nguo zenu kama ishara ya...
  18. Eli Cohen

    HII NDIO SIKUKUU BORA KULIKO ZOTE, ZINAANZA NYINGINE THEN HII NDIO INAKUWA FUNGA KAZI. MERRY CHRISTMAS WANA JF

  19. M

    Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

    Wakuu mwaka Jana nilikuja kuomba kukaribishwa lakini nilikataliwa kutokana na jina 'popobawa', lakini Leo nasema Popobawa Nimefika na Sina Nia mbaya na members. Nikaribusheni popobawa.
  20. Eli Cohen

    Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
Back
Top Bottom