mchonde1212
Member
- May 27, 2026
- 13
- 18
Wana JF naomba kuuliza kati ya biashara ya vyakula/nafaka na biashara ya vivywaji ipi inafaida zaidi
Oky Asante sana bossyoyote uki focus nayo inalipa, in everything you do, do it with your all heart
Nafaka!Wana Jf naomba kuuliza kati ya biashara ya vyakula/nafaka na biashara ya vivywaji ipi inafaida zaidi
Mbona unajijibu?🙄Usipoteze maisha yako ya ujana kupambana kishamba think twice do them a lot
Au kasahau kubadili Id 😅Mbona unajijobu?🙄
Sijui kwanini?Mbona unajijobu?🙄
Nimewaza pia!🤔Au kasahau kubadili Id 😅
Unashida sio bure! Kumbuka kubadili aidii chap chap ukiwa na hizi pigo!Actually nafaka inafaida lakin vijana wengi wa sasa awataki kula Hadi walewe😂😂
Bado Sina uzoefu na hii swala la kubadili Id naomben mnisameh tuNimewaza pia!🤔
Ndio Ujibeep sio?Bado Sina uzoefu na hii swala la kubadili Id naomben mnisameh tu
🙏Ndio Ujibeep sio?
Kwa mantiki hiyo umeuliza swali ambalo unafahamu jibu lake. Insane!Actually nafaka inafaida lakin vijana wengi wa sasa awataki kula Hadi walewe😂😂
Kasema kasahau kujijibu kwa parody!Kwa mantiki hiyo umeuliza swali ambalo unafahamu jibu lake. Insane!