Heri ya sikukuu ya Pasaka wana JF

Heri ya sikukuu ya Pasaka wana JF

Nzona

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2022
Posts
4,067
Reaction score
6,307
Niwatakie heri ya sikukuu ya pasaka wana Jf wote , sijaona au labda sijatafuta Uzi wa sikukuu ya pasaka 2026 nimeona niandike kuwatakia wote Heri ya sikukuu ya pasaka Mwokozi amefufuka , tuyatende yaliyo mema ndugu zangu dhambi zetu zimechukuliwa kila tunapotubu
 
Watani sikukuu yenu imedoda yaani imezidiwa na habari za kuibiwa nyeti🤣🤣
 
Back
Top Bottom