Stability
JF-Expert Member
- Jan 30, 2020
- 821
- 2,962
😡SADISTS
hawa wana msongo kutokana na mambo mengi hayajitiki, muda umewatupa mkono au juhudi zao haziendani na matunda yao. Kwao comments zao dakika 2 tu matusi hayo.
😶INTROVERTS AMBAO WAKIINGIA JF WANAKUWA EXTROVERT.
hawa kila kitu humu wanachukulia personal sana lakini pia ni watu wa kupost kila mara maana wako lonely pia ni watu wa kujiprove kuwa wako poa muda wote.
🧔♂️🧔♀️IMPOSTER
Hawa ni jamaa wale ambao wanafeki utambulisho, ni dume ila ana akaunti ya kike na unakuta either ana enjoy kuprank watu namna hio au anawavutia wanaume wenzio awatapeli.
🤵♂️🤴👨💻🧑🌾👨🏫 MR/MRS MULTIPLE
hawa ni wale jamaa wenye akaunti nyingi na kila akaunti yake ina mfumo wake tofauti, unaweza bishana nae jambo ukashangaa rundo ya viakaunti vikashambulia samba samba vikiwa na mwandiko mmoja.
🕵♂️🕵♀️INFORMER
shuleni tuliwaita maspai, nafikir mmeshawaelewa.
😎CHILL GUYS
Hawa ni wale jamaa hawanaga mbwe mbwe na hawataki kujiprove na lolote humu. JF kwake ni burudani na sio nyumbani.
🤕AFYA YA AKILI
Hawa ni wale ndugu zetu ambao depression imevuruga mentallity yao.
🗣THE PROJECTOR
hawa ni wale wanaopenda battle sana, kujihami kwa wingi maana anajua ndani yake yupo dhaifu sana na anajichukia namna hio, so akiona mtu anaefanania udhaifu kama wa kwake lazima amuwanzishie battle zisizokuwa na maana anachukia guts za ajabu ajabu alizonazo huyo mtu maana ni kama za kwake
🎸THE RYTHM GUY
yeye ataingia JF akikuuta inacheza hip hop atacheza hip hop, akiikuta kimya atakuwa kimya, yaani yeye ni wa kuifata leo atakavyoikuta.