Naomba kuuliza kwenu wana JF

Naomba kuuliza kwenu wana JF

Goodluck Boaz

Member
Joined
Feb 26, 2020
Posts
84
Reaction score
88
Msaada, samahani wana JF kama unaandika barua ya kuomba nafasi zilizotangazwa na chuo kikuu, mfano unaomba nafasi ya uhasibu katika XYZ university, barua utakayoandika utatakiwa kumuaddress HR ama Principal wa chuo?
Kuuliza si ujinga. Asante
 
Soma tangazo la kazi. Normally ni mkuu wa hicho chuo, mf. vice chancellor, principal, rector, etc.
 
Nakazia hoja: Kama Tangazo linaelekeza Barua zipitie kwa HR. basi atatuma kwa mkuu wa Chuo (kama ulivyo sema )lakini kupitia kwa i.e. Ufs Afisa Utumishi kwa wale waajiriwa esp. Kwa watumishi Halmashauri.
 
Nakazia hoja: Kama Tangazo linaelekeza Barua zipitie kwa HR. basi atatuma kwa mkuu wa Chuo (kama ulivyo sema )lakini kupitia kwa i.e. Ufs Afisa Utumishi
Niliwahi kukosa kazi Veta kwa sababu ya ujinga wa kuandika Address ya mtu asiyehusika
 
Ni KWELI kabisa. Unapoandika Ufs manake unampa nafasi ya kukoment chochote juu ya Ombi lako. Koment ya huyo Ufs ni siri au anaweza kuandika kitu kitakacho zuia usikubaliwe ombi lako.
 
Sasa kama Tangazo linasema barua iende kwa HR, unaandikaje iende kwa mkuu wa Chuo?
Hebu nyoosha maneno. Tangazo linasema barua iende kwa HR au tangazo linasema barua ipitie kwa HR?
Kama tangazo linasema iende kwa HR manake HR maana yake HR ndo muamuzi - nani aende/apate na nani asipate
Kama tangazo linasema ipitie kwa HR ina maana HR ni Mshauri anayetoa mapendekezo. Mapendekezo yake yanaweza kuzingatiwa au kutupiliwa mbali.
(Hilo Tangazo mm sikuliona ila huo ndo Utaratibu wa Ofisi za Serikali).
 
Sasa kama haya maelezo yako, mkuu anatoka wapi?
 
Mleta mada ameomba kuuliza ni kipi kilicho sahihi katika kuandika barua ya kuomba nafasi huko Chuoni. Sasa kama muombaji ni Mtumishi katika Ofisi ya Serikali e.g. Halmashauri, ni lazima Barua yake ya maombi ipitie kwa HR.wa Halmashauri husika. Vinginevyo anaweza kujikuta kufukuzwa chuo kwa makosa ya utoro kazini.
Kama ni mtu binafsi (private candidate), basi anapeleka maombi yake direct kwa Pricipal wa chuo japokuwa barua hiyo kiuhalisia itamfikia HR wa chuo ili ishughulikiwe/kwa ufuatiliaji.
 
Anyway, yote n majibu, ila mto mada ndio ana majibu yote mana kwenye tangazo lazima kuwe na address pa kupeleka hayo maombi
 
Back
Top Bottom