wana jf

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Hodi Wana JF, Popobawa Nimefika na naomba mnipokee

    Wakuu mnikaribishe Moose Bull katika jukwaa hili
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kuna wana JF humu wanajitapa kama "GREAT THINKERS", ila ni wahanga wa itikadi ya kumezeshwa na kuletewa waliofanya izidi utashi na tafakuri yao

    Sina mengi ila nina mfano tu mdogo, Mtu anakuambia "mpige huyo mtoto mchanga" Kwa kawaida utashi uliozaliwa utakuambia hii sio vyema kabisa, tafakuri yako itasaidia usute nafsi yako thus utaacha kabisa kumpiga huyo mwana. Lakini kuna huyu "great thinker" nafsi itamsuta lakini ataanza kwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Wana JF naomba tusireply wala kujiengage na threads zozote za machawa

    Ndugu zangu wazalendo wa nchi hii, poleni na msiba mzito kwa kuondokewa na ndugu zetu waliouawa kinyama wakiwa wanapigania taifa lao. Baada ya huo utangulizi naomba tuzipuuzie nyuzi zote za machawa wanaokejeli na kudhihaki damu za ndugu zetu zilizomwagwa kwa kupambania rasilimali zetu. Hawa...
  4. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Kwanini wana JF wengi hawapendi kuchangia nyuzi za kimombo?

    Nimekuwa nikifuatilia nyuzi nyingi za kimombo. Nimegundua kuwa hazina wachangiaji, na hivyo wasomaji. Je, tatizo ni lugha au kuna namna?
  5. Superbug

    JamiiForums Tanzania Ni vema Mshana Jr aache wosia JamiiForums akitangulia mbele ya haki ajulikane wazi

    Nashauri Mshana Jr akitangulia mbele ya haki tumjue mtu huyu muhimu Kwa hili jukwaa pendwa la JamiiForums. Nashauri aache wosia rasmi ili siku akitutoka basi tupate bahati ya kukijua hiki kichwa. Mshana Jr ana mchango MKUBWA mno kwa JamiiForums na maisha ya wana JamiiForums. Nyuzi zake ndio...
  6. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani kutokana na harakati zao humu wanatiki vielelezo vifuatavyo?

    1: PLAY BOY 2: MTU WA SYSTEM 3: MTU WA AMANI (CHILL BOY/CHILL GIRL) 4: MPENDA BATA 5: DADA WA MJINI 6: KAUKA NIKUVAE 7: NGUMI NJE NJE 8: PESA MAKARATASI 9: MZEE/MAMAA WA CHAI 10: CONFUSED
  7. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mwamba amekuta mafundi wanaiba cement hii ndio adhabu aliowapa

  8. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Tuache na kupigana ban sasa, ni wana JF gani utaweza kuwa recommend katika nyadhifa hizi za serikali?

    1: RAIS 2: WAZIRI MKUU 3: WAZIRI WA HABARI/MAWASILIANO 4: SPEAKER WA BUNGE 5: WAZIRI WA UTAMADUNI/SANAA/MICHEZO 6: MKUU WA T.I.S.S 7: IGP 8: WAZIRI WA FEDHA 9: MSHAURI WA RAIS 10: WAZIRI WA MAENDELEO YA JAMII
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nauza ultrapods

    karibu ujipatie ULTRAPODS MAX wireless 5.3 IP4 waterproff 95 LED Digital Display Noise cancelling Hi-Res High Quality Sound inarangi 4 blue,pink,white and black BEI TSH 20000/= TU huduma ya delivery inapatikana nchi nzima kwa mawasiliano tupigie 0629535915
  10. Stability

    JamiiForums Tanzania Ni wana JF gani huwa wanajaribu sana kuandika mara kwa mara ila contents zao asilimia kubwa ni chaii

    Nitaanza na hawa Manfried na Covax
Back
Top Bottom