Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

Mwanachama Mpya JF: Naomba Mnikaribishe

under500

Senior Member
Joined
Jul 2, 2026
Posts
105
Reaction score
176
Habari za j2 wakuu

Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo

Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
 
Id yako ya zamani ni ipi?
Halafu kwanini haujaweka acc no ya benki na namba yako ya simu?
Haujui members wa Jf huwa wanalipwq kila mwisho wa week.
Aah mkuu me sijawai kujiunga jf Ii ndo Id ang ya kwanza kutimia jf

Af kuhusu kulipwa me jf nimejiunga ili nisiishi kinyonge na so kwajili ya kulipwa
 
Kulipwa ni takwa la kisheria sio mapenzi binafsi.
 
Karibu sana mkuu, humu JF kuna vyama tofauti tofauti, moja wapo ni Chaputa.

Kujiunga kwenye chama chetu tukufu, kuna kigezo kimoja chepesi Sana.

Kama upo chini ya miaka 18, unatakiwa uweze kupiga nyeto mara tano kwa siku.

Kama una miaka 18 - 50 unatakiwa uweze kupiga nyeto mara tatu mfululizo na mara 20 kwa siku.

Kama una miaka 50 na kuendelea unatakiwa uweze kupiga nyeto mara 10 kwa siku.

Kwa mawasiliano zaidi wasiliana na katibu wetu Bw. secretarybird

Karibu Chaputa, okoa kibunda, jiepushe na magonjwa ya ngono, Linda afya yako.
 
Habari za j2 wakuu

Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo

Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
Jinsi ni me au ke?
 
Well said!

Natumai CHAPUTA ndiyo kimbilio lake.
 
Habari za j2 wakuu

Mm ni mwana chama mpya hapa JF ndo najiunga leo kwa mara ya kwanza japo kuwa nilianza kufatilia JF toka mwaka 2024 ila ilishindikana kujiunga coz nilikua natumia simu ndogo

Naombeni mnipokee wakuu nawakubali sana Wana JF
Karibu sana AMANI YA BWANA IWE NAWE
 
Back
Top Bottom