wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu hili CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
  2. JamiiForums Tanzania Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauli Serikali iwaachie waiangamize Gaza!!

    Maafisa wakuu wa IDF wanazidi kuishauri Serikali iwaachie waiangamize Gaza, na walitoa taarifa ifuatayo mwishoni mwa wiki: “Toka vita vianze Gaza tulikuwa tumeichukua lakini Serikali wakaingia makubaliano na magaidi wa Hamas tukaondoka kwenye maeneo tuliyokuwa tukiyadhibiti baada ya makubaliano...
  3. JamiiForums Tanzania Mchungaji Eliona Kimaro: Hatuna shida na amani tuna shida na haki

    Twende Mbele turudi nyuma, Elimu DUNIA ni kitu muhimu sana. Inakutoa kwenye Utumwa wa Akili na kukupeleka kwenye SELF -REALIZATION. kwa Maoni yangu mimi Dr. Megalodon Ndesaruo Mushi; Hotuba ya Rais ya jana imesisitiza sana Amani: huku ikisahau haki na Usawa. Hii ni sawa na kukimbia KIVULI...
  4. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi haiwezekani....?

    Kuwe na independent body itakayosimamia malalamiko ya kiuwajibikaji ya serikali pamoja na upinzani.....?! Kama ICC/ UN vile ambapo member state/ parties wanaweza kupeleka malalamiko yao yakachunguzwa, decision ikawa made, na penalty /hukumu kutolewa.....?? Kiwe na representatives wa all...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu hapa kuna mimba?

    Kabla hatujafikia uamuzi wa kwenda kupima naomba kufahamu machache kwa wajuvi wa mambo. Huyu binti kachelewa kuingia hedhi, alitegemea kuingia hedhi kuanzia tarehe 20 lakini hadi sasa hamna dalili. 22 March ndio ilikuwa tarehe ya kuanza hedhi yake ya mwisho, kati ya tarehe 1 au 2 april...
  6. JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu..?

    Kuna siku nimeenda Bank NMB kutoa kahela kakawaida tu 1,200,000. So nilijaza Bank slip kisha kwenda kwa teller. Matokeo yake yule Bank teller akaniambia kuwa "Kwa kukusaidia kaka katolee ATM ili kupunguza makato" Sasa nikawa najiuliza kwenda kutoa hela kiasi hicho mikupuo mitatu yaan laki nne...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

    Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu. Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu!

    Mdogo wangu wa kike kuniuliza ilo swali sitaki nionekane kilaza. "A former East African and current east African community is like a new wine in old bottle, discuss"
  9. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi Covid 19 pandemic imerudi?

    Habari wakuu Huku nilipo sielewi hali ikoje watu wanaondoka wakiwa na afya njema au aka kamdudu kamerudi kimya kimya?
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  11. JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

    Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni. Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni. Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka...
  12. JamiiForums Tanzania Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  13. JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  14. N

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

    Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi, Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
  15. JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  16. JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  17. JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  18. JamiiForums Tanzania Kesi ya Incomplete chuoni natoboaje wakuu

    Habari za asubuhi wakuu I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto...
  19. JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

    Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…