Kwenye wiki ya Sheria Rais Samia alisema hatamuongezea tena muda Jaji Profesa Ibrahim Juma maana hataki tena kugombana na kuwakwaza Majaji wa Mahakama ya Rufaa.
Jaji Profesa Ibrahim Juma atakumbukwa nchini Tanzania kama Jaji Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea nchini baada ya Mohamed Chande...
Kuna tuhuma nzito zimetolewa zikiwa na ushahidi kuhusu Viongozi wa Kisiasa na Utumishi wa Umma kununua viwanja kwa mabilioni ya pesa huko Arusha.
Kwenye tuhuma hizo zilizotolewa usiku huu na Mtanzania Mange Kimambi kupitia Akaunti yake ya X zimeonesha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Paul Makonda...
arusha
ccm
chadema
kununua
kutisha
mabilioni
nchi
nyie
nzito
pesa
sana
tuhuma
uchaguzi
ufisadi
umma
viongozi
viongozi wa umma
viwanja
wakuu
wanasiasa
wapi
watanzania
Kahama imesema No Reforms No Election
https://x.com/Twaha_Mwaipaya/status/1923772820057706620
Hapa Wananchi wakikichangia Chama Chao ili kife.
https://x.com/chacha_heche/status/1923776355302252998
Muachieni LISSU nyie wapumbavu, Mabadiliko haya ni ya lazima, ni ya Wananchi, LISSU mijumbe...
Ukiachana na babu kigaila, wengine wote watateuliwa ukuu wa wilaya na mikoa kama ilivyo kuwa kwa sendinga wa manyara na nasari.
TUsiwaumu, hata wewe unayesoma hapa, ukipewa 200M uachane na siasa (chadema) , utakataa?
Yaani Cleopa Msuya amekuwa Waziri Mkuu miaka minne na Makamu miaka mitano ndio amekula asilimia 80 ya mshahara wa makamu kwa miaka 30?
Kuna huyo Salim Ahmed Salim ambaye alikuwa Waziri Mkuu kwa miaka mitatu tu lakini analipwa asilimia 80 ya mshahara wa Waziri Mkuu kwa zaidi ya miaka 40 sasa...
Najiuliza hapa Bei ya kuvuta umeme nguzo Moja ni Bei Gani Kuna jamaa wameniambia 1m hivi ni kweli wakuu au wanataka kunipiga maana sielewi taratibu mnaojua mnijuze wakuu@Tanesco
Nataka kumtumia jamaa yangu hela anakuwa mkali anasema "usitume usitume huko kwenyo line nadaiwa"😂😂😂
Karibu kila Mtanzania mwenye line ya simu ana deni kwenye line hiyo. Hii kauli ya "usitume, nadaiwa!" imekuwa kama nembo ya taifa. Kila mtu ana “Songesha” kwenye Voda, Tigo, Airtel n.k...
Naitwa Patrick nipo kigamboni miaka 22, namalizia chuo hapa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu nyerere, kozi ya human resources management, degree.
Lengo kubwa ni kupata hata sehemu ya kufanya kazi hata kujitolea walau iniweke busy nikiwa nasubiria cheti kitoke ili nianze kuomba kazi official...
Mimi kwa upande wangu hali imekuwa tofauti sana. Uchumi umekabia juuu wee sasa naona ukabie miguuni sasa.🥺
Kwani nyie chakula kutwa mnakula mara ngapi , isijekuwa mimi ninazidisha idadi ya milo ???😥
Siasa za Bongo sasa zimebebwa na chama kimoja tuu
Mijadala ya kisiasa kwasasa imetawaliwa na chama kimoja tuu
Matukio ya kisiasa Bongo yote kwasasa yote ni ya chama kimoja tuu
Mitandao ya kijamii bongo habari zake za kisiasa zote zimeelemea chama kimoja tuu
Hii sio sawa kabisa.. Hakuna mizania...
Basi kipindi nasoma nilibahatika kuwa karibu sana na mwislamu mmoja aliyeshika sana dini na ndo alikuwa kiongozi wao.Huyu jamaa alikuwa ananiambia mara kwa mara kuwa chooni huwa kuna mashetani (majini)hivyo unapoenda ni lazima uombe dua ya kujikinga na mabalaa ya shetwani (Majini).
Sikutilia...
Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya Afrika Mashariki, Balozi Stephen P. Mbundi leo tarehe 8 Mei, 2025 ameongoza ujumbe wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kikao cha Makatibu Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.