wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  2. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  3. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  5. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  7. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu....!!!

    Salamu wakuu, Straight to the point, naomba msaada wakuu gari yangu (automatic) ina changamoto ya kuwakia kwenye Gia. Yani gear lever inaweza kua kwenye D au R lakini ukipiga stata ngoma inawaka bila shida. Changamoto itakua ni nini? Nawasilisha
  8. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  9. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  10. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
  11. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni hapa mniokoe...

    Wakuu nasoma chuo X hapa dar Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu. Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe...
  12. puker

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu?

    Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  14. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu nipo tayar kufanya ata nikiwa chuo kama tu nitapata malazi. Pia Niko expert kwenye maswala ya computer...
  15. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  16. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu mwezi wa pili sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu

    Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
  17. kyagata

    JamiiForums Tanzania Hivi Manara Perfume ziliishia wapi wakuu?

    Wakuu Naomba kuuliza,miaka kama mitatu nyuma hapo ndugu Haji Sunday Manara aliwahi kuzindua perfume zake kwa mbwembwe nyingi sana,nakumbuka akawa anajimwambafai kuwa perfume zile bei ni shilling laki 1 kwa wakt ule.cha ajabu hizo perfume sikuwahi wala kuziona madukani. Hivi ziliishia wapi?
  18. Z

    JamiiForums Tanzania Kuna dalili zote za chuki za kidini katika viongozi wakuu wa nchi hii

    Tusitake kupamba lugha. Sasa iko wazi kwamba Ukristu unachukiwa na viongozi wakuu wa nchi hii. Tumeanza na kupiga vita vyama vya kisiasa vinavyoongozwa na wakristu na kuinua kwa makusudi vinavyoongozwa na waislam. Sasa Utakuwa wa CCM, na upinzani utakuwa wa ACT na CHAUMMA. Makanisa yanafutwa...
  19. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Nina kiasi cha milioni 3.5 naweza kuifanyia ishu gani?

    Salama wakuu wa JF! Last wiki nilikuwa na milioni 6 Kash Ila mpaka wakati huu naandika huu uzi nimebakiwa na milioni 3.5 na hii ndio ya kwngu sasa baada ya kulipa madeni na kufanya manunuzi binafsi ya baadhi ya mahitaji. Kifupi nilikuwa hovyo km miezi 12 hivi iliyopita, hii hovyo sitailezea...
  20. J

    JamiiForums Tanzania Wakuu! Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati, ile juu ya bati juu ya nyumba

    Nimepita sehemu nimekuta ng'ombe kasimama juu ya bati,ile juu ya bati juu ya nyumba Uzi bado
Back
Top Bottom