Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,308
- 27,085
Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika.
Je kiafya imekaaje haya mahindi?
Wataalamu karibuni sana kuhusu hili
CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
Je kiafya imekaaje haya mahindi?
Wataalamu karibuni sana kuhusu hili
CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.