DOKEZO Mkuu wa wilaya Uyui analazimisha watumishi wote kuchangia pesa Tsh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

kodo1

Member
Joined
Apr 3, 2025
Posts
52
Reaction score
83
Heri ya pasaka wanajamvi. Habari za usiku huu.

Mkuu wa wilaya amezidi ubabe. Anawafanyia ubabae watumishi wa umma na anajidai hakuna wa kumgusa hata akifanya lolote. Kwani analazimisha watumishi wote kuchangia pesa sh 20,000 kwa ajili ya mbio za mwenge ambapo watakaochangia lazima waandikwe majina na wasiochangia pia waandikwe majina.

Taasisi zote amezielekeza zichangie pesa na wakuu wa idara wakuu wa taasisi kila taasisi kuchangia 100,000. Na amesisitiza taasisi ambazo viongozi wake hawatchangia atawawajibisha kwa kuwashusha vyeo pia kasisitiza pia watumishi ambao hawatochangia watawajibishwa kwa kutowapa kazi za kitaifa zinazotokea halmashauri.

My take: Hivi mbio za mwenge zinapoanza si huwa kuna bajeti kabisa imeandaliwa sasa hizi pesa wanazokusanya huyu mkuu wa wilaya anazipeleka wapi? Àu ndo fungu la kumi au kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake?
 
Daini reforms sasa kukomesha mambo ya ajabu ajabu kama hayo.
 
Mambo ya kijima kabisa
 
Nitumie mawasiliano yake pm..
 
Back
Top Bottom