Wakuu hivi Covid 19 pandemic imerudi?

Wakuu hivi Covid 19 pandemic imerudi?

Siku hizi magonjwa yapo mengi Sana yanayopelekea watu kudongoka ghafra,Tatizo tunatembea hatujui afya zetu.
 
Habari wakuu
Huku nilipo sielewi hali ikoje watu wanaondoka wakiwa na afya njema au aka kamdudu kamerudi kimya kimya?
Aliye kudanganya kuwa mungu kaondoa ugonjwa sababu aliona sekta ya afya inanuka na yeye ilimuondoa.
Piga hesabu kifaa cha kupumulia kama vipo kumi vinaweza kutosheleza wanaoitaji kupumua.

Ndio maana sekta ya afya inaona aibu kusingizia mungu
 
Back
Top Bottom