wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    JamiiForums Tanzania Jasusi la mbinguni Gwajima aanzisha vita na Watekaji kwa kiingereza waitwa "Henchmen". Viongozi wao wakuu mmoja ni kivuli na mwingine ni msukule wake

    Jumapili, Mchungaji Gwajima alitumia sehemu ya mahubiri yake kufafanua masuala kadhaa kuhusu kilichojiri baada ya mkutano wake na waandishi wa habari tarehe 28 mwezi ulopita. Akafafanua kuhusu hoja hiyo kwamba Gwajimanisation ni ujasiri wa kusema ukweli hata ama ukweli huo utawaudhi wenye...
  2. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi...
  3. Zee la madawa

    JamiiForums Tanzania Nimeshangazwa na mwanamke kuniomba sex

    Wakuu aisee hawa wanawake wa siku hizi hata aibu hawaoni? Yaani mwanamke from nowhere anaanza kuniomba sex kabisa yaani nimeshangazwa sana aisee yaani bila aibu wala soni mwanamke ananiomba ngono halafu eti ananiaomba yeye ni bikra hajawahi kufanya ngono eti Eti bikra kabisa eti aisee hajawahi...
  4. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimewin milion 8 kampuni ya 1 win ila inagoma kutoka wakuu hii kampuni ni ya kitapeli au

    Naombeni msaada wenu wazee nimeshinda pesa 8m kampuni ya 1win naona inagoma kutoka aisee mods naombeni huu Uzi usihamishwe kokote nahitaji kupata msaada aisee
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  7. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma

    Habari wakuu naomba kuuliza Kuna tofauti kati ya qfl na magodoro Dodoma Au hayo qfl ndio magodoro Dodoma Nahitaji kununua 5x6 my budget 300,000tzs Pia Ushauri wa godoro zuri kwa mwenye uzoefu inches 8 vs 10
  8. Bosco Ntaganda

    JamiiForums Tanzania Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?

    Wakuu, ki-protokali hii imekaaje?
  9. Gwajimanize

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wa Softcopy ya Manifesto ya Ccm 2025-2030

    Wakuu Msaada wa Manifesto ya Chama ya CCM 2025-2030 msaada wa softcopy
  10. fact only

    JamiiForums Tanzania Wakuu ni hatari sana

    Hivi sasa na kuendelea tunaishi humu. Maana watu ni wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kutukana, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio safi. Wasiowapenda wa kwao, wasiotaka kufanya suluhu, wasingiziaji, wasiojizuia, wakali, wasiopenda...
  11. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Wakuu Gwajima yuko sahihi : Angalieni maajabu, Walomshambulia Padre KITIMA, mpaka leo Kuna kigugumizi Cha kuwapelekea Mahakamani

    Hadi hapa Chini TEC wanashangaa, inakuaje muda wote huo mpaka Sasa hamna kinachoendelea Mahakamani. https://x.com/HildaNewton21/status/1926620724153688282 Sasa ni ukweli uluo wazi, Genge linaloendesha Mauaji na Utekaji ni Genge la Rais . Sasa Polisi wakisema tunamkamata, tunampeleka Mahakaman...
  12. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi

    Lazima tubadili sheria ya uteuzi ili mtu asije kuwaondoa wakuu wa usalama wazalendo na kuwaweka watoto wake au machawa wake ataharibu nchi. Raisi ataendelea kuwa na mamlaka kwenye vyombo vya usalama lakini sio kwa maslahi yake binafsi.
  13. Kumfumaster97

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua samsung A42 5G mwenye uzoefu kidogo wakuu Je iko poa au vip

    Habari wakuu ,short and clear natumai ni wazima Msaada jamani mwenye uzoefu au aliyewahi kutumia samsung A42 5G vipi wakuu iko poa upande wa camera na ubora wake vipi kuna kipengele au nifanye chaguzi zingine budget yangu ni 300k
  14. nipo online

    JamiiForums Tanzania Samahan wakuu, kati ya kuongeza Salon ya pili na Library ya movie bora kipi?

    Ni salon ya kiume, tayarii nina computer imebaki tu kununua storage bas, Lakin kuna mawazo yamenijia Leo usiku kua kwanini nisiongeze saloon ya pili ambayo kwa eneo naloishi kwa wiki napata 75000-85000. lengo nisogeze kama mita 200 hivi kutoka hii salon ya hapa iliyopo, nikaona nije kwanza...
  15. Alblondys

    JamiiForums Tanzania Course ya afya

    Habari ya wakuu! Naomba kujua nataka nisome Pharmaceutical Dispenser. Je ni chuo gani kinatoa course hii? Ningejua na Gharama na vigezo ingekuwa poa.
  16. A

    JamiiForums Tanzania Friji friji friji linauzwa

    Aina: Boss Hali: Nzuri sana,bado lina manailoni ya upya,lina miezi 10 toka linunuliwe jipya. Mahali: Mbagala. Sababu: Limekaa tu,halina matumizi. Bei: Tsh.430,000/=(Negotiable kidogo) Mawasiliano: 0785815222
  17. B

    JamiiForums Tanzania TRA VS TPDC

    wakuu wapi kuna asali maana jamii forum hakujawai kosekana jibu kati ya TPDC vs TRA
  18. K

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano wa kubadilisha hati ya nyumba ikasomeka majina manne yaani ya watoto na mama?

    Naomba kujua haswa kisheria zaidi Hipo hivi.. sisi tumezaliwa wa 5 kiujumla watatu wa baba na mama mmoja wawili tumeshare mama.. ambao ni wakubwa kwetu.. yaani mama aliolewa na mzee akiwa tayari na watoto wawili Mzee wangu alikuwa na wake wa 3 mama yangu ndio alikuwa bi mkubwa.. kuna ndugu...
  19. Kusini pride

    JamiiForums Tanzania Nielekezeni jinsi ya kutongoza wakuu

    Wakuu tafadhalini sana naombeni mnifundishe jinsi ya kutongoza wakuu maana kuna pisi moja ya kwenda wakuu na ni pisi ni unsubmissive woman na pia hii pisi nimelengeshewa na dadake tu ila sijajua njia ya kumuingilia aisee Hii pisi ni ya kwenda aisee yaani akikubali nataka kumuoa aisee kama...
  20. Fateema

    JamiiForums Tanzania Jamani hivi walimu wakuu shule za sekondari huwaga wanapata muda wa kusoma barua zilizo tumwa kupitia S. L. P?

    Au nisipoteze muda wangu? Ushauri wenu tafadhali
Back
Top Bottom