wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mwanzo wa mwisho wa Mo Dewji Simba,JayRuttty kufuata nyayo za GSM,kugeuka wafadhili wakuu wa Simba

    Habari zilizotufikia hivi ounde ni kuwa,ufalme wa tajiri namba moja nchini Mo Dewji klabuni msimbazi unaelekea ukingoni. Ufadhili wa Jayrutty unaenda kuiteka klabumazima, Jayrutty wametumia mbinu za GSM kujipenyeza klabuni. Ikumbukwe GSM waliingia jangwani kwa mkwara wa jezi kabla ya kuiteka...
  2. PROFOUND NOTION

    JamiiForums Tanzania Wakuu kwa bajeti ya Tsh milioni 21. Nichukue toyota ipi ilio durable?

    Karibuni car experts
  3. Afisa Mteule Drj 2

    JamiiForums Tanzania Wakuu nahitaji kujua bei ya pikipiki Boxer BM 150 HD

    Kwa mlioko dar es Salaam naombeni mnisaidie kufahamu bei ya hizi pikipiki mpya hasa BM 150 HD ile ambao mud guard yake ya mbele haijanyanyuka
  4. I

    JamiiForums Tanzania Wakuu natafuta kazi Leo ni weekend ya mwisho kesho ni mapambano

    Mambo vipi wakuu, je ni kwema, Leo ni siku ya mwisho ya mapumziko wakuu, kesho tukiamka salama ni siku ya mapanbano lakini Mimi ndugu natafuta kazi iwe mkoa wowote Mimi nakuja kufanya kazi, Sijasoma sana nimeishia form 2 tu ndugu zangu Sina ujuzi wowote ule lakini naweza nikioneshwa kazi...
  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni mnipigie hesabu ya hii nyumba Mimi mgeni kwenye ujenzi

    Sebule 5m+5m Chumba 5m+5m Jiko 2m+2m Choo 2m+2m na kibaraza Cha 2m 2m hapa naomba kujua zinaingia bati ngapi Kwa upauaji wa paa nne na tiles ngapi wakuu Mimi ni mgeni kwenye ujenzi
  6. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu samahani nauliza bato za alaf Kwa kibaha kiwanda Chao kipo sehemu gani

    Nataka kwenda kuchukua bati kiwandani Moja Kwa Moja wadau hivi hii kampuni ya alafu kiwanda chake kipo sehemu gani kibaha msaada wenu wakuu na he nyumba ya chumba kimoja jiko sebule choo inaweza ingia bati ngapi
  7. mike2k

    JamiiForums Tanzania Nimepata demu mkali balaa ila ana majini. Naomba ushauri wenu

    Habari zenu wadau. Kwenye moja na mbili,juzi kati nkaopoa demu moja mkali sana wa kisukuma.ila kwenye kuchati leo kaniambia ana tatizo la majini. Wazee nilikuwa nimepanga kuichapa leo night.ila kabla sijaiomba nimeona nije kwenu hapa jamvini mshe uzoefu wenu isijetokea ile ya kafia ghetho...
  8. Foffana

    JamiiForums Tanzania Kesi ya Incomplete chuoni natoboaje wakuu

    Habari za asubuhi wakuu I hope mnaendelea vyema na Ujenzi wa Taifa letu Kuna jambo moja naliwasilisha kwenu ili kupata mawazo yenu na ushauri wenu wakubwa zangu kuhusiana na suala hili linalonisibu.Nina imani nitapata msaada humu jukwaani Kama ilivyo ada masuala ya chuoni kuna changamoto...
  9. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kitambulisho Cha nida unakipataje baada ya kupata namba ya nida

    Wakuu naomba kujua nawezaje kupata kitambulisho Cha nida kwa nimeshapata namba Sasa sijajua utaratibu wa kukipata hiki kitambulisho Cha nida sababu namba nilizojaza kwenye fomuya kuombea nida namba Sasa hivi sizitumii baada ya kupata nida namba yangu Sasa nilikua nauliza nitapataje ujumbe wa...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Ada ikizidi inatakiwa urudishiwe baada ya muda gani

    Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya...
  11. Stability

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimepigwa na UTI moja kali sana. Kuweni makini.

    Katoto tu kwa 2005, aiseeh
  12. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakuu hili jengo linaweza gharimu kiasi gani kuanzia msingi hadi kuezeka bila finishing?

    Idea ni kujenga hostel kwa ajili ya wanafunzi. Jengo la ghorofa moja. Urefu wa 25m kwa upana wa 6m. Pichani ni picha inayofanania hilo jengo ingawa hilo lina vyumba 10. Ninalotaka mimi litakuwa na vyumba 5. Makadirio ya gharama vipi kuanzia kwenye msingi hadi kuezeka bila finishing? Yaani bila...
  13. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Wakuu meridian bet ni matapeli au siwaelewi nimeshinda milioni 10 jana wamefunga account

    Yaani Hawa jamaa nashindwa kuwaelewa mpaka sasaa hivi nimeshinda milioni 10 tangia Jana Kila nikiingia kwenye account inakataa kumbe Hawa jamaa ni matapeli aisee modds naombeni msiunganishe na jukwaa la wazee wa kubet
  14. PendoLyimo

    JamiiForums Tanzania Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi

    Mpasuko Mkubwa CHADEMA: Wagombea Wapinga Kauli za Viongozi Wakuu, Wapinga Mpango wa Kususia Uchaguzi Katika kile kinachoweza kufasiriwa kama dalili za kuporomoka kwa umoja na mshikamano ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), waraka mzito wa ushauri umetolewa na wagombea wa ubunge...
  15. Fakyuol

    JamiiForums Tanzania Wakuu poleni na majukumu, nimekutana na hasara kwenye hii biashara yangu ya kuonyesha mpira

    Naombeni ushauri Tv zangu zote mbili zimepata changamoto kwa wakat mmoja Ni TV za Hisense 55inches zote!! Moja fundi anasema motherboard imekufa (hii muda wa warranty umeisha) Ya pili.. ni mpya hata mwaka haina...imepasuka kioo Nmejitokeza hapa kuomba ushauri wa namna ya kupata kioo kwaajili...
  16. Zee la michongo

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye hizi digital items tupige mchongo

    Habari wakuu Kumekucha sasa mwenye hizi digtal items anicheki chap SHART AWE ANAJUA KIINGEREZA PIA ZIWE OLD ACCOUNT OLD UK ,DUBAI,OR UAE REMITLY AU TAPTAP ACCOUNT LETS WORK TOGETHER
  17. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Eti wakuu hapa ungetumia njia gani ili unusuru hii mali

    #RudiniMashambaniKuoa
  18. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidieni

    MToto anapelekwala clinic anapoanza kuzaliwa hadi miaka mingapi??
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa Mikoa waache kujichonganisha na Wanamichezo kwa Unazi wao

    Huyu Mkuu wa Mkoa wa Tabora atapata wakati mgumu sana. Namwonya asijaribu kabisa kujiweka karibu na Simba
  20. Ayubugeorge

    JamiiForums Tanzania Tv ya hisense inch 32 imevunjika kioo msaada wakuu

    Wakuu nimevunja baahati mbaya tiv yangu naomba msaada nakoweza pata kioo na bei yake plse niko Arusha
Back
Top Bottom