juma mwakalinga
New Member
- Apr 7, 2025
- 1
- 2
Mimi nimemaliza chuo kikuu cha iringa mwaka 2024 mwezi wa 7 na nishamaliza clearance lakini hela sijarudushiwa nimeandika mbaka barua lakini wapi na ho hela nataka nifanye mtaji ajira hakuna sikuhizi kwa mwenye uzoefu au kama kuna msaada wa kupaza sautii maana hali ni mbaya na ninadai zaidi ya laki mbili