wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusolve

    JamiiForums Tanzania Wakuu nimetengeneza chat App

    Hii hapa chat app maoni yenu https://first-app-7c347.web.app/
  2. Sonko Bibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii imekaaje Mbona mimi sielewi? Hebu nisaidieni tafadhali kwa wenye ujuzi

    Nilileta hapa uzi ukizungumzia kuhusiana shida ya ujauzito iliyompata shemeji yenu. Ambapo tarehe saba alijifungua mtoto akiwa amefariki. Tukahudhuria hospitali kwa kipindi chote tulichotakiwa cha matibabu na huduma kwa mzazi. Kubwa kuliko yote sasa, jana shemeji yenu kaamka haoni kabisa yaani...
  3. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  4. Holoholo

    JamiiForums Tanzania Ushawahi Kupokea muujiza gani ukaamini kuwa Mungu yupo?

    Wakuu kumekuwepo na mijadala mingi humu ya mivutano baina ya wanaokubali uwepo wa Mungu na wasioamini uwepo huo Mungu mala zote ni mtenda miujiza,na amekuwa akifanya hivyo mala zote kwa waja wake, amekuwa akiponya magonjwa yaliyoshindikana,vipofu wanaona,viziwi wanasikia,viwete,bubu,wasio na...
  5. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  6. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye anajua mbao hiki kitanda ni Cha mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika

    Wakuu mwenye anajua mbao hivi vitanda ni vya mbao gani na muundo wake unaitwaje na Kwa tathmini ni mbao ngapi zimetumika
  7. U

    JamiiForums Tanzania Njia ya kuelekea Tehran imejengwa': Wakuu wa IDF wasema Jeshi la Wanahewa kuanza kufanya kazi kwa uhuru katika mji mkuu wa Iran Tehran

    Wadau hamjamboni nyote. Mkuu wa Wafanyakazi wa IDF Lt. Jenerali Eyal Zamir na Mkuu wa Jeshi la Wanahewa la Israel Meja Jenerali Tomer Bar walisema katika tathmini iliyochapishwa leo asubuhi kwamba "njia ya kuelekea Tehran imejengwa." "Kulingana na...
  8. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Wakuu kuanzia sasa na kuendelea nikiona mtu anapigania usimba na uyanga najitolea kumpeleka Mirembe

    Yes, nampeleka mirembe kwa gharama zangu japokuwa mimi sina uwezo mkubwa kifedha lakini niko tayari kuzikopa popote ili nimsaidie mtanzania mwenzangu mwenye ugonjwa wa akili maana nikimwacha anaweza akaanzisha makaazi yake dampo. Nayasema haya kwa sababu watanzania wengi ukiwasikiliza...
  9. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Bila shaka hizi social media zimefungwa Tanzania? (Facebook, Whatsapp & Instagram), au lah!! Basi ni tatizo la kiufundi

    WanaJF habari za wakati? Nimeamka Leo tangu asubuhi kwa ajili ya harakati za hapa na pale , ghafura nashangaa Simu yangu inakua nzito kwenye upande wa mtandao, Whatsapp nikituma message haziendi, Facebook same to Instagram hili jambo limenishangaza sana mpaka nimejiuliza labda bando limeisha...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu moto wa CHADEMA ni hii tonetone tu au kuna nguvu za ziada?

    Hawa jamaa wabishi kinyama. Yaani wanapelekewa moto kila upande ila wenyewe wapo tu. Hata kama niko CCM ila nina macho ya kuona na kusikia. Heche na wenzake ni balaa. Hawapoi kabisa. Yaani wana amsha amsha balaa. Wakati CHADEMA wakichanja mbuga kisiasa anajitokeza ponjoro la Kinondoni na...
  11. donlucchese

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu....!!!

    Salamu wakuu, Straight to the point, naomba msaada wakuu gari yangu (automatic) ina changamoto ya kuwakia kwenye Gia. Yani gear lever inaweza kua kwenye D au R lakini ukipiga stata ngoma inawaka bila shida. Changamoto itakua ni nini? Nawasilisha
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Hizi fulana zinapatika wapi Kwa hapa Dar?

    Naombeni msaada wenu hizi t shirt hapa dar nazipata wapi na zinauzwa Bei Gani
  13. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele?

    Wakulima debe la mpunga hutoa kilo ngapi za mchele? Apa nilipo debe la mpunga ni 15,000 nataka kujua hutoa kilo ngapi ili nijue gharama ipo wapi, mchele dukani kilo ni 2,400-2,600
  14. Setfree

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kutoa maoni kwa Viongozi wakuu wa nchi bila kuwavunjia heshima

    Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
  15. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wakuu njooni hapa mniokoe...

    Wakuu nasoma chuo X hapa dar Sasa Kuna matatizo kwenye mfumo wangu wa matokeo Matokeo yalivyo yanaonesha Nina incomplete kibao na ada zimeongezeka na muda wa kufanya mithiani imebaki wiki moja tu. Sasa nataka kupanda juu ya ghorofa ahsubui kabisa nijaze watu nataka kujitupa ili nisaidiwe...
  16. puker

    JamiiForums Tanzania Hii imekaaje wakuu?

    Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nina milion 5 nataka eneo goba wakuu

    Kama kichwa h'cha habari kinavyojieleza natafuta eneo goba Nina hicho kiasi Ili niweze kujenga Kwa mwenye eneo naomba tufanye biashara MODS: msihamishe huu Uzi tafadhali uacheni jukwaa hili hili
  18. F

    JamiiForums Tanzania Nimemaliza kidato cha sita wakuu, naomba kazi nina uzoefu wa kufanya kazi kwenye stationary

    Habarini wakuu, naitwa frank kijana nimemaliza kidato cha sita mwaka huu apa, ndo tunasubiri maswala mbalmbal twende chuo ila sipo vizuri kifedha. Mwenye Kuna fursa ya kazi aniunganishie wakuu nipo tayar kufanya ata nikiwa chuo kama tu nitapata malazi. Pia Niko expert kwenye maswala ya computer...
  19. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Nitahakikisha kunakuwa na Tanzania master plan model na kuanzia balozi, mwenyekiti, afisa mtendaji, wakuu wa wilaya na mikoa watakuwa na hardcopy

    Nikiwa Rais wa Tanzania ntahakikisga nchi nzima inapimwa, na hii kazi ya kupima nchi nzima watapewa waholanzi, wakimaliza Tanzania master planning itakuwa kwenye three dimension na hardcopy watapewa mabolozi, wenyeviti wa mitaa, wakuu wa wilaya, na wakuu wa mikoa ili mwananchi akitaka kujenga...
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania KERO Wakuu mwezi wa pili sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu

    Wakuu mwezi wa pili Sasa Airtel ussd haifanyi kazi hili tatizo ni kwangu tu au Hadi kwenu
Back
Top Bottom