Hii imekaaje wakuu?

Hii imekaaje wakuu?

puker

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2018
Posts
1,046
Reaction score
2,166
Kuna siku nikiwa kwenye mishe zangu maeneo ya Ilala MTAA wa Arusha nilisikia sauti za watoto wakiiniita kando ya Barabara walikuwa kwenye UBA imepaki, walikuwa watoto wa kihindi, (Maisha safi) kamoja kakanionesha noti ya Tsh 10,000 kaka niambia njoo uchukue kaka, nikatabasamu nikamwambia Ahsante lakini sikuifwata... Je nilikuwa sahihi? Maana Kuna mtu ameniambia hiyo ni ishara nzuri wewe hukuelewa Lugha ya kiroho🤔

Hebu naombeni maoni yenu na ufafanuzi
 
🤣🤣🤣 watu mnamdharau humu, usikute hata wewe unaeandika hapa unakaa kwa shemeji yako🤣🤣🤣
Sasa kukaa kwa shemeji kuna tatizo gani ikiwa ugali wa kutosha upo?😄
 
Sasa kukaa kwa shemeji kuna tatizo gani ikiwa ugali wa kutosha upo?😄
Unaona sasa ulivyo wa hovyo, unawezaje kamwambia mtu anaishi kwake ana njaa huo ujasiri unautoa wapi? 🤣🤣🍹🍹
 
Unaona sasa ulivyo wa hovyo, unawezaje kamwambia mtu anaishi kwake ana njaa huo ujasiri unautoa wapi? 🤣🤣🍹🍹
Wewe unaishi kwako na njaa wakati kwa shemeji nakula na kusaza
 
Back
Top Bottom