Wiki chache zilizopita Umoja wa Mataifa wametoa taarifa za vikosi vya Wanamgambo wa M23 kuua raia nchini Congo. Taarifa hiyo imefuata taarifa rasmi iliyotolewa na Kikundi kazi cha Umoja wa Mataifa kuwa Majeshi ya Rwanda yanawaunga mkono M23 na kutoa msaada wa kijeshi kwao.
Aidha miezi miwili...
Muda wa matumizi ya namba ya mtihani kidato cha nne na cha sita katika kuomba kujiunga chuo kikuu kwa hapa Bongo(Tz) inachukuwa miaka mingapi kuisha matumizi yake?
Mfano nimehitimu kidato cha nne mwaka 2021 na cha sita 2024 naweza omba chuo mwaka 2030 kwa mfano .
Wakuu naombeni ufafanuzi hapo...
Wakuu turee kwenye kichwa tajwa hapo juu.
Niliwahi kuandika uzi humu jukwaani kuhusu kuwa na program ya kudhibiti genye, Kwa kukaa mda mrefu bila kuzagamua. Lakini nasikitika kusema nimeshindwa!
Nalirudisha hili Kwa wanabodi, ninachoomba kutoka kwenu ni maombi, hili Kwa Nguvu za kibinadamu...
Nimepata demu lakini simuelewi kabisa
1.hataki hata ndugu zangu wamjue
2.huwa anafanya mawasiliano ya siri kwa kutumia code na lugha tofauti za kimataifa(nitaweka ushahidi)
3.ana pesa sana
4.tulikutana na kuanza uhusiano tulipokuwa kazi maalum.
5.hataki kunipa uhuru wa muda yaani mda wote...
Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
Wakuu hivi zile pikipiki aina ya boxer bm150 gear 4 kweli zimezuiliwa nchini au ni story za watu wenye experienc mje mtoe ushuhuda na je zile bm150 gear 4 zilikua balaa kuzidi izi boxer HD 125 na HD 150 za sasa
Hii pesa Sasa hivi Sina matumizi nayo nataka kuuacha humu m wekeza Nije nitoe. Januari 2030 vipi mfumo wao wa compound interest nitaikuta ipo Bei Gani siku ya kuitoa
Nashangaa viongozi wa chadema wamekunja ndita wanaamini ni Polepole kumbe ni akili mnemba (AI)🤣 eti wanasema "Tumekusamehe" be serious, tulitegemea kauli ya katazo ya kutofungamana na upotoshaji wa AI Kama ambavyo vyama vingine vya Upinzani makini vimefanya.
Inakuwaje chadema inakuwa na...
Wakuu ili Ku-push agenda ya NRNE n.k
Mnaonaje tukamsapoti Pole Pole Kama ambavyo tumekuwa tukowasapoti wadau wengine Kama TAL n.k.
Kwakuwa huyu jamaa anatutoa gizani.
Mm ni mtoto peke katika familia ya mama na mtoto mmoja ambae ni mimi
Mama yangu ananambia ni mda wa mimi kwenda kurithi mikoba yake huko uchawini kwao
Mm nimekataa ila amenitishia atanichukua kwa nguvu na sitorudi tena abadan
Kanambia ni chague moja niende mwenyew nijiunge au anichukue kwa...
Nasikia sauti kama vile mtu anapiga makofi paa, paa, paa, paa, paa kwambali nasikia kama sauti ya mtu anagugumia. Inaweza kuwa nini?
CCM imetutoa mbali sana. Asanteni.
Bunge la Malaysia limepitisha hukumua ya kupigwa viboko na kwenda jela angalau maiezi 6 au vyote kwa pamoja kwa mtu ambaye hatakwenda kuswali swala ya ijumaa .
Hii ni baada ya kuongezeka kwa watu wasio swali nchini humu katika taifa hilo lenye waislamu wengi zaidi duniani
USSR
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.