wakuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Wakuu nisaidie kujua jina la huu mti kwa lugha yetu ya kiswahili

  2. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Mwezi wa Nne mchumba ananinyima unyumba wakuu nifanyaje?

    Kumekuwa na sitofahamu kati yangu na mchumba ang, last dance ilikuwa kama miez 4 iliyopita.. na kila nikimpangilia kuja ghetto ni kipengele aisee nifanyaje?
  3. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Wakuu nielekezeni kwanini chief draftsman wa Sheria anatoka ofisi ya tume ya fedha ya pamoja

    Eti maboss niambie kitu kimoja nijue kinahusiana vipi kuna huyu mtalaam wa kuandika hizi acts kwa sasa anaitwa Bw. Onorius John Njole sasa kwanini anakuwa ofisi yake ni tume ya pamoja ya fedha chini ya wizara ya fedha me nilifikiria labda angekuwa chini ya taasisi kama Bunge, mahakama,n.k
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu mti unaitwaje

  5. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nimepigwa Tsh milioni 8 kwenye biashara ya uwakala kupitia mfanyakazi mzembe

    Aisee siku ya Jana imekuwa mbaya sana kwangu mfanyakazi wangu amenitia hasara ni hivi Kwa mujibu wake huyu binti walikuja jamaa wiki Moja kabla wakamuambia awape simu waweke laini akawapa wakati nilishamkataza asimpe mteja simu kilichotokea kumbe walisave jina langu namba yao kwenye simu yake...
  6. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Kuna baadhi ya vyumba vinatisha wakuu

    Chumba changu cha kwanza kupanga hapa DSM kilikuwa kipo vibaya ila kutokana na hali ikabidi nikizoee licha ya uchakavu wa chumba changu ili kuna baadhi ya vyumba mitaani vilikuwa too much nikakumbuka kuna mshikaji alipata kazi ya kupuliza dawa ya mbu kwenye wilaya fulani alikuwa akiniambia...
  7. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu zinaa sio dili tulia na wako mmoja anatosha ona wenzetu anavyoyeseka

    Sijui gonjwa Gani hili limembutua kwa starehe ya siku moja
  8. L

    JamiiForums Tanzania Wakuu nna biashara nyingine nauza

    Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console Model no SM-1200p hii naitakia 500,000. (2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000. (3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha...
  9. jaqson

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu

    New member hapa, naona kuna member wengine wana blue tik hivi ndio kusema? Like MshanaJR
  10. M

    JamiiForums Tanzania Wakuu nauza UNGA wa uji lishe

    Habari Katika harakati za kujitafuta nimeamua niingie kwenye ujasiriamali ambapo natengeneza uji mzuri wa uji wa lishe ambao una faida kiafya kulingana na viambata vyake ambavyo nimetumia UNGA huu unatumiwa na watu wa rika zote kuanzia watoto wadogo Hadi watu wazima Lakini pia una faida Kwa wale...
  11. F

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada

    Political science Theology Bachelor Degree in International Relations and Diplomacy Tourism Laws Bachelor of Science in Aquaculture and Aquatic Sciences Logistics and Transport Shipping and Logistics Management Shipping Economics and Logistics Bachelor of Accounting with Information...
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Kuna dogo kashinda Millioni 58 kwa kubeti. Mnashauri nini?

    Kuna dogo huku mtaani kampiga meridian bet milion 58 halafu dogo tu miaka 29 Nimejionea kwa macho yangu betting inalipa. Hapa anatuomba ushauri ma broo wake asijui tumpe ushauri gani Wanajukwaa najua vichwa vyenu vina IQ huyu dogo awekeze kwenye nini hii pesa kabla hajaanza starehe maana...
  13. Fufua Tumaini Jipya

    JamiiForums Tanzania Mtu anayeitwa kiparangoto ni nani? nasikia ndo anataka kukiondoa kitalu namba nne

    Leo nilikuwa Ofisini Ila nimeambiwa kuna MTU anaitwa Kiparangoto je huyu ni nani wakuu?.
  14. fact only

    JamiiForums Tanzania Wakuu tuwe makini lock milango kabla ya kuanza kuendesha gari

    Habari wana JF. Leo nikiwa kwenye safari zangu mjini Dar es salaam Kuna gari ilikuwa inazunguka round-about, ghafla mlango wa nyuma ulifunguka na akadondoka mtoto umri kama miaka 4 hivi. Na dereva aliyekuwa anaendesha hilo gari hajajua kwamba mtoto kadondoka, Kwa nyuma pia kulikuwa kuna gari...
  15. 1Africa54

    JamiiForums Tanzania Habari wakuu wa kaya Naomba Ushauri juu ya uchimbaji wa Dhahabu

    Wakuu wa kaya NAOMBA USHAURI JUU YA UCHIMBAJI WA DHAHABU Kuna eneo nyeti Lina dhahabu nahitaji niwekeze Anae jua process za UCHIMBAJI anipe info mbili tatu
  16. B

    JamiiForums Tanzania Anayejua dawa ya jino, leo sijalala

    Wapendwa sijalala naugilia maumivu jino linanitesa hua linauma linaacha nimetumia dawa dawa hapo kati lakini Leo limeniamulia. Kuhusu kutoa nimetoa meno kama ma 5 tokea udogoni Hadi hivi ukubwani pia mwaka Jana nilitoa ma wili kwakupishana miezi nilihisi nitapumzika Sito pata tena shida mwaka...
  17. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakuu, mnasemaje?

    Kwa anayefahamu udani wa hii picha anijuze hivi ilikuwa mwaka gani?
  18. Royal Son

    JamiiForums Tanzania Wakuu hii gari inatoboa au editing za vijana

    Nimeikota hii post huko mitandaoni
  19. Melancholic

    JamiiForums Tanzania Wakuu

    Wakuu ni sehem gani hapa dar wanatoa huduma za Wigs za kiume kwa mtu mwenye upara naomba kuwasilisha
  20. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Pressure cooker Wakuu hii sio hatari?

    Pressure cooker yangu naiosha sana ila bado inakuwa kama inatoa kutu na maji yanabadilika rangi kuwa kama meusi hata wali unabadilika rangi.. Nimeosha sana na Steel wire Ila bado nitumie njia gani? Nisije kuwa nakula sumu bila kujua
Back
Top Bottom