wakristo

  1. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo mnamkosea Yesu heshima mnapomchora

    Nafahamu ule ni mchoro, lakini isiwe chanzo cha kumkosea Yesu heshima. Biblia inasema wazi kuwa ni aibu kwa mwanaume kuwa na nywele ndefu. Lakini ninyi mnamchora Yesu, na hata baadhi ya mitume wake wakiwa na nywele ndefu. jisomee hapa kwenye Wakorintho wa kwanza. 11:14. 14 Je, maumbile ya asili...
  2. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo tunashinikiza kufunga macho tunapoomba wakati siyo takwa?

    hata Yesu alivyoomba alifumbua macho huku akiangalia juu mbinguni .. YOHANA 17:1 Usiku wa juzi nikiwa nikiwa kwenye maandalizi ya kulala, kama kawida yangu huwa ni lazima nimshukuru Mwenyezi Mungu kwa afya, utimamu na amani aliyonipa. Kwa siku hio kabla ya kulala nikajiuliza swali kwanini huwa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Je, kuchora tatoo ni dhambi au si dhambi kwa Wakristo?

    Twende na nabii mkuu yeye kanukuu. AMPC Bible. Isaya 44.5 Karibu tujadili.
  4. Mkwawe

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Ndani ya Maji Marefu ya Mateso ya Wakristo

    Mnamo Machi 19, 2020, Mchungaji James* aliamka kama kawaida na kuondoka kwenda kufanya maombi katika kanisa lake katika kisiwa cha Zanzibar, kilicho karibu na pwani ya Afrika mashariki mwa Tanzania. Lakini alipofika, kwa mshtuko wake, alikuta kanisa lake lilikuwa limeboreshwa. Kabla hajaelewa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujirekebishe katika hizi nyimbo za maombolezo

    Hainiingii akilini kwa nini wakristo wanaoamini kwamba Yesu ameshinda mauti lakini ikitokea mmoja wetu amefikia mwisho wa uhai wake tunakisujudia kifo badala ya kutangaza ushindi juu ya kifo. Nimekulia kwenye kanisa Katoliki na hizi nyimbo za maombolezo zinanitia kisirani kabisa. Fikiri wimbo...
  6. TODAYS

    JamiiForums Tanzania Merry Christmas from Mohamed Salah. Je, anapima upepo? Waislam wamshangaa!

    Jamaa ame_tweet hii picha sasa hizo comments kutoka kwa jamii ya kiislam wamegoma kumuelewa jamaa wakidhani anataka kuokoka!.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hizi sadaka ambazo wahubiri wakristo wanazipigia debe mpaka mapovu yanawatoka ni kwa sababu zinaingia mifukoni mwao?

    Huwa najiuliza maana siku hizi huko kwenye redio na mikutano ya kikristo msisitizo mkubwa ni sadaka. Ingekuwa sadaka hizi haziwanufaishi hawa wahubiri( wao husema mtolee Mungu), wangekuwa kweli na bidii ya kutengeneza mafundisho haya (aghalabu mengi ni ya uongo na matisho tu) yenye msisitizo wa...
  8. KANYEGELO

    JamiiForums Tanzania Biashara ya Digrii kutoka Uingereza na Marekani ni Ugonjwa kwa watu wengi

    Na Dr. Mathew Mndeme UTANGULIZI Kwenye miaka ya 1990 kuja hadi around 2015, nchi za Ulaya na hasa Uingereza na Marekani vilikumbwa na tatizo kubwa sana la uhamiaji haramu (illegal migration). Kulikuwa na wimbi kumbwa sana la wahamiaji hasa kutoka nchi za Afrkika na Asia. Watu wengi walikuwa...
  9. Championship

    JamiiForums Tanzania Simu ya kinabii iliyopelekea Rais wa nchi kurudisha jengo la kanisa lililoporwa na wasaidizi wake

    Miaka fulani mkuu wa polisi, katibu wa chama tawala na jaji mkuu wa nchi moja kusini mwa jangwa la sahara waliamua kuchukua jengo la kanisa kupitia kesi ya kutengenezwa. Askofu Oyedepo alipoambiwa akasema, "Mungu ni mkubwa na anaweza kujilinda na kujitetea yeye mwenyewe." Akawaambia viongozi wa...
  10. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

    Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam, Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!. Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura...
  11. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Bingwa wa kusilimisha Wakristo ameingia Qatar Wakristo wengi wahofiwa kusilimu. Eneo la FIFA lapambwa kwa maneno ya Mtume Muhammad S.A.W

    Qatar, imemualika mhubiri mkali zaidi duniani, ambaye kwa maneno yake amefanikiwa kusilimisha mamilioni ya Wakristo duniani. Huyu ni bingwa Zakir Naik Zakir Naik tayari amefika Doha nchini Qatar kabla ya Kombe la Dunia la FIFA 2022, na atatoa mihadhara ya kidini katika muda wote wa mashindano...
  12. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wakristo kazi mnayo aisee...

    Mkristo ni barua ni lazima asomeke vizuri, aandikwe kwa mwandiko mzuri. Mkristo ni chumvi ya ulimwengu, lazima atie ladha dunia ili dunia iwe mahali pazuri na salama kwa kuishi binadamu, wanyama, samaki, mimea na mazingira kwa ujumla. Mkristo ni chombo cha haki, tetea haki inapodhulumia...
  13. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo wasio Wasabato wanaruhusiwa kula paka, panya, kobe, kinyonga, kenge, kunguru, nyani, n.k?

    Kwa kuwa sisi ni wakristo ni kwamba sisi tunafata nyayo za Yesu Kristo. Ni vipi kitu ambacho hakusema Yesu Kristo kinawekewa mabano ya kuweka uchambuzi wa maono ya waliotafsiri biblia? mbaya zaidi kuna biblia hata hayo mabano hayamo, uchambuzi umeunganishwa kuonekana ni maandiko matakatifu...
  14. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

    Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33. Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa. Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25. Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo...
  15. Shemasi Jimmy

    JamiiForums Tanzania Uzinzi wa Ohola na Oholiba, funzo kwa jamii za Wakristo

    UZINZI WA OHOLA NA OHOLIBA, FUNZO KWA JAMII ZA WAKRISTO Ohola (Samaria) na Oholiba (Yerusalem) binti za mama mmoja, wazinzi na waliogeuka chukizo mbele ya Mungu. Ni unabii wa Mungu uliotolewa kwa kinywa cha nabii Ezekieli (Eze 23:1-49) Na Shemasi Jimmy 0659 611 252 Bwana Yesu apewe sifa...
  16. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi huhofia mali kugawanywa pasu kwa pasu ndio maana hawaachani hata wakifumania wake zao

    Kwa waislam wengi mambo ya kuvunja ndoa yanamalizwa kimya kimya bila hata mahakama kuhusika, wapo wanawake wanaoenda mahakamani kudai haki za mali lakini ni wachache. Kwenye ukristo shughuli ipo tofauti, ndoa hadi inavunjika hapo ni kwamba mahakama imehusika na imeshatoa hati ya ndoa...
  17. N

    JamiiForums Tanzania Sasa umeshakuwa upumbavu; Akilawiti shehe wakristo wanachekelea, akilawiti padri waislamu wanachekelea!!

    Ndo hali halisi humu jukwaani sasa! Hakiangaliwi chanzo tena, ikitokea habari ya kubaka/kulawiti basi watu hukimbizana kuangalia kwanza nani katenda na si ilikuaje au tatizo nini hadi limetendeka hilo. Akishajulikana tu mbakaji/mlawiti (kiimani) basi watu hukimbizana tena mbio za speed ya hali...
  18. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ndoa za kikristo hazifati maandiko ya kwenye biblia, zinafata sheria za viongozi wa makanisa

    Hizi ndoa za kikristo zimefikia mahala sasa tunaweza kuziita ndoa za kisheria kwasababu watu wanaona mahakamani kuna unafuu kuliko kufata sheria za ndoa za kikristo. Usijidanganye kizazi hiki kwamba mke mwema anashushwa na Bwana, mwanamke unaweza kumchunguza mwaka mzima mkiwa kwenye uchumba na...
  19. medisonmuta

    JamiiForums Tanzania Msishangae Wakristo Wengi kumtukana Mungu

    Msishangae wakristo asilimia ya wengi humu kumtukana Mungu, kwani mtume wao Paulo alishawafundisha zamani. Kitu chochote chenye upumbavu maana yake hakina hekima ndani yake. Sifa ya udhaifu hawezi kuwa nayo Mungu bali viumbe wake. Msiwashangae wanavyotoa povu kwani kitabu chao kimewafundisha...
  20. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Waislamu hutoa sadaka kisha husubiri malipo siku ya hukumu, wakristo tunatoa sadaka kisha tunasubiri baraka

    Habari! Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu. Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna...
Back
Top Bottom