Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.
Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo...
Hivi kuna Mtume wa Mwenyezi Mungu aliyekufa na Maiti yake ikaa zaidi ya siku moja bila kuzikwa?
Waisilamu wao mtu akifa huzika siku hiyohiyo,lakini Wakristo wanaweza kukaa na mwili wa marehemu zaidi ya siku moja,Je ni upi utaratibu wa Mungu?
Nimefurahi sana kusikia NEMC wameanza kuwashughulikia wapiga kelele wanaosababisha zogo mtaani na kuwafanya raia wengine wakose raha na utulivu. Kipekee kabisa naomba NEMC wamulike zaidi makanisa, misikiti, vigodoro na wauza muziki (wezi wa kazi za wasanii) kwani hawa ndio wamekithiri kwenye...
Habari zenu ninyi nyote.
Hivi mfano umemuuliza Mungu swali au umemuomba kitu, utajuaje kuwa amekubali, amekataa au amekuambia subiri?
Utatumia njia gani kujua? Ya ndoto, maono au?
Pia, hiyo ndoto au maono, utajuaje kuwa vinatoka kwake, na ni yeye ndiye anayesema nawe?
Utajuaje si shetani...
Na ni katika haya makanisa ya wachungaji wa mchongo, wanawake wamekuwa mitaji kwakuwa ni wepesi sana kuwachezea kiimani wakakuamini na ukawafanya chochote.
Yani wanawake wakishaona mtu anaruka ruka anapiga makelele huwaambii kitu hapo wanajua ni kweli ni mapepo wanamuona mchungaji ni kama...
Kituo cha Wasafi media kinamilikiwa na Muislamu, na kila Jumapili huwa kinapeperusha kipindi cha Kikristo.
Leo hapa naona pamenoga kweli kweli Wakristo wamejumuika na kumsifu Yesu kwa upendo, hapa nawaza dini zingine unakuta hata mgahawa ukimilikiwa na mtu asiye wa dini hiyo hawawezi hata...
Assalamu alaikum! Eid Mubarak kwa wote wanaoisherehekea leo. Huku tukifurahi katika kipindi hiki chenye baraka,
Natoa Offer ya Eid, kwa wewe mkristo huenda unashangaa (wazungu wanasema wonder), Ungekuwa Muislam kwa jina lako hilo hilo la Kikristo, ukichukua maana yake tungepata jina gani lenye...
Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama;
Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali.
Kwenye ndoa za kikristo ni...
Ili tuelewane, leo nataka twende taratibu bila kujaza maneno mengi, na ili tuelewane leo tutaanza na kitabu cha Torati ambacho kipo kwenye Quran na Biblia.
Ukisoma Torati kwa utulivu ni kitabu wameandikiwa Waisrael, swali sasa wewe Mkristo na Muislamu wa Tanzania ni Muisrael?
Halafu jiulizeni...
Ndugu zangu japo mimi ni mkristo ila hawa ndugu zetu waislamu linapokuja suala la ndoa na mazishi huwa hawana mambo mengi.
Mtu anafariki leo kesho mapema tu anazikwa kama hakutokuwa na safari ya kumsafirisha.
Kwenye ndoa nako hakuna kuremba watu wamependana wakatambulishana kijana wa kiume...
Naam,
Kama tulivyojadili katika kipande cha kwanza sasa kuhusu Sanda hii ambayo Jamii kubwa miongoni mwa wakazi wa Dunia hii huamini ni Nguo takatifu aliyovikwa bwana baada ya kusulubiwa.
Kitambaa hiki kulingana na tafiti inaonyesha Taswira ya Mtu aliesulubiwa na kusulubiwa ilikuwa adhabu ya...
Na nimeona katika tangazo lao kubwa kuwa mgeni rasmi atakuwa ni Muislamu Mwenzao Rais Samia Suluhu Hassan na litafanyika tarehe 9 Aprili, 2023 ambayo Wakristo wote akina GENTAMYCINE (Zanaki and Makuwa Think Tank) ndiyo tutakuwa tunasheherekea Siku Kuu yetu Muhimu na Kubwa ya Pasaka (Kufufuka kwa...
Habari za humu!
Naukubali sana utaratibu wa wenzetu wa dini tofauti. Kwao unaweza kuoa na kuingiza mke kwa 200k au hata 100k. Niliwahi kuwa mshenga, kuna dogo alitoa 50k akachukua mke mapema sana maana ilikuwa kipindi cha Ramadhani mwendo wa maandazi tu harusi imeisha.
Nimeishi Kusini yaani...
Mimi kama Kristo niliolelewa nikijua Biblia ni kitabu kitakatifu, nimesikitishwa sana na huyu mchungaji Masisi kwa makufuru yake kuhusu Biblia.
Masisi hana tofauti na wakristo wengi ambao tumekuzwa tukielewa Biblia ni neo la kweli la Mungu, ila kiburi anachokionyesha sijui kwa usomi wa...
Habari,
Ukisikiliza nyimbo nyingi za Injili, ukisikiliza maombi ya wakristo wengi au ukisikiliza ibada za shukrani hukosi kusikia neno "Sikustahili."
Mtu kapata division one anatoa sadaka huku akilia anasema hakustahili, akiolewa, akioa, akinunua hata pikipiki au gari used mtu husema...
Wanabodi
Hili ni bandiko la swali kuwa
Je, wajua kuwa sisi Wakristo huwa tunanawasindikizaga ndugu zetu Waislamu kufunga swaumu wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadan? Leo ni Jumatano ya Majivu, Wakristo tunaanza safari ya kufunga kwa siku 40, vipi nyie wenzetu Waislamu, je mtatusindikiza kama...
Kwetu wakristo tukiachana mali huwa zinagongwa pasu kwa pasu, ni maumivu juu ya taabu?
Kwa upande wa pili ni kwamba dr mwaka hana wajibu wa kugawa mali ?
Nimejaribu kuangalia hali ya upendo Kati ya madhehebu mbalimbali ya Kikristo, hali inasikitisha. Kila dhehebu linahubiri upendo kivyake ilhali wanawabagua wenzao wa dhehebu lingine.Hali hii inasababishwa na nini Je Kristo amegawanyika?
Binafsi familia niliyotoka nimefanikiwa kuona SDA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.