wakristo

  1. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

    huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato, unaweza kutana na picha mtu anakunywa maji au soda nyingi yanaandikwa maneno "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress" Hii sifa waliyojizolea wasabato nini chanzo...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Mwanamke ukiishi naye bila ndoa anakuheshimu zaidi kuliko ukifunga naye ndoa, kwa sisi Wakristo

    Kwema Wakuu! Kwanini mwanaume unalazimishwa kuoa? Kwanza elewa Kabisa ndoa haipo Kwa ajili ya maslahi ya mwanaume Bali mwanamke. Yaani mwanaume hapati faida kubwa akifunga ndoa zaidi ya mwanamke, zaidi Sana atapata hasara maradufu ukilinganisha na akiishi na Mwanamke bila ndoa. Angalau ndoa...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Wakristo mjitafakari kwenye suala la mahari, mnawakosea sana binti zenu. Kilichotokea hivi karibuni kwa jamaa yangu kina funzo

    Rafiki yangu(37) ni single father with 3 kids, ana mchumba wake mganda ambaye naye ni single mother(37 yrs) with one kid. Alikuwa rafiki yake wakati wakisoma chuo, wakaja kukutana tena miaka kadhaa baada ya ku graduate, jamaa anaishi Dar, mrembo anaishi Kampala wakaanzisha uhusiano. Muda wa...
  4. V

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa Somalia na Zanzibar hupata changamoto kubwa ya kisaikolojia ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Ukifuatilia wakrsto wachache wanaoishi somalia ni kama wapo kifungoni hawana amani wameathirika kisaikolojia kutokana na uchache wao ambao ni chini ya asilimia 5 wengi wao wanasali nyumbani kuepusha kulipuliwa wakiwa kwenye nyumba za ibada wanalazimishwa kwa makusudi na dola na umma kuwa...
  5. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania Moto wazuka kanisani Misri, 41 wafariki

    Watu 41 wanadaiwa kuuawa na wengine 55 kujeruhiwa baada ya moto uliosababishwa na hitilafu ya umeme kuzuka katika kanisa la Abu Sifin Coptic katika mji wa Giza, Cairo Mamlaka zimesema kuwa moto ulizuka wakati waumini 5,000 wakiwa wamekusanyika kwa ajili ya ibada ya Jumapili , na kusababisha...
  6. mitale na midimu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa zamani walienda Sokoni kwa sababu walikuwa na Biashara sio Kuhubiri wapate Sadaka

    Mfumo wa kuhubiri Sokoni huku watu wanaendelea na shughuli zao siuungi mkono. Ilitakiwa twende Sokoni kufanya Biashara kwa viwango vya juu ya kiroho ili tuwabadikishe wasioamini. Injili ingekuwa rahisi Sana. Ukisikia Paulo kaenda Sokoni au getini. Kumbuka alikuwa Ni mfanyabiashara pia...
  7. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Wakristo (baadhi) acheni Ulalamishi kuhusiana na Jersey za Yanga

    Nmekuta baadhi ya Wakristo wanalalamika kuwa inaonekana jersey za Yanga ni kwa baadhi ya Waumini wa Dini nyingine. Maana upo unaosemakena kuwa ni Msikitiki wa Idrissa. Ila hakuna jengo lolote la Kanisa. Na hapa wanataka kuzungumzia Udini. Kuwa Yanga basi ina waumini wote wa Kiislamu maana kama...
  8. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Kwanini Wakristo sio wafanyabiashara wakubwa na matajiri?

    Kwenye orodha yamatajiri duniani, hata ukiona ana jina la Kikristo tajiri huyo atakuwa ni mpagani, asiyeamini Mungu, haendi kanisani na Wala sio msharika wa Kristo. Pia unaweza kukuta ni Myahudi. Dini ya Mayahudi na Ukristo ni vitu viwili tofauti sana. Ukikuta Mkristo ni tajiri mkubwa, anakuwa...
  9. F

    JamiiForums Tanzania Ndoa hewa zimeshika kasi sana kwa Wakristo. Ndoa inafungwa na baada ya wiki moja mume anaishi mkoa mwingine na mke mkoa mwingine

    Habari wadau. Ndoa changa za Kikristo ambazo mume na mke wanaanza kuishi mbalimbali baada tu ya kufunga ndoa zinashika kasi sana kwa kisingizio cha kazi ama ajira. Ndoa inafungwa ila mume na mke hawaishi pamoja toka mwanzoni mwa ndoa. Kuna ndoa ina miaka mitano ila mume na mke hawajawai...
  10. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Yesu alikuwa mfanyabiashara, Mohammed alikuwa mfanyabiashara: Kwanini wafanyabiashara wakristo na waislam wengi sio waaminifu?

    Tujadili kidogo. Wafanyabiashara wengi Kama sio waislam ni wakristo. Lakini wengi sio waaminifu. Wanatumia juju na uchawi, wanaforce kupata faida isivyo halali, kukwepa Kodi na kukwepa taratibu rasmi TATIZO linatoka wapi ikiwa Yesu alikuwa mfanyabiashara wa samani(furniture) lakini hakutenda...
  11. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Hadi sasa waislamu ndio wanaoongoza kwa waumini wengi wenye imani moja Tanzania. Wakristo wamegawanyika madhehebu mengi yasiyo na ushirikiano

    Muhimu: Uzi huu umejikita kwa mazingira ya Tanzania na sio nchi za nyingine Hii ni kwa sababu ya mpasuko mkubwa sana uliotokea katika ukristo, wapo ambao wanataka kwenda dhehebu lenye miujiza hawana mda na neno, wapo wanaotaka dhehebu wanaloweza kujichia wakate hata mauno wanavyocheza gospel...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Nchi ya Chad inaruhusu kuoa mke zaidi ya mmoja kwa dini zote, Nusu ya wanaume wakristo wana mke zaidi ya mmoja, Je ukristo unawabana wanaume?

    Ifike mahala jamii ikubaliane na uumbaji wa Mwenyezi Mungu na namna alivyomuumba mwanaume. Nchini Chad, unaweza kuoa zaidi ya mke moja hata kwa ndoa ya kikristo, hali hii imepelekea zaidi ya nusu ya wanaume wenye imani ya kristo kuoa zaidi ya mke moja....kuna asilimia kubwa ya wanaume wakristo...
  13. Kiokotee

    JamiiForums Tanzania Inakuwaje bongo fleva inapigwa Kanisani na nyimbo za dini zinapigwa kwenye kumbi za starehe

    Hili nimelishuhudia mwenyewe kwa masikio yangu mawili; 1. Nyimbo za Anasa kupigwa kanisani yaani kama Bongo fleva. 2. Nyimbo za Ibada kama kwaya kupigwa kwenye Kumbi za Starehe. Tunafahamu huko kote ndipo walipo waumini lakini mazingira kama ya kumbi za starehe unapiga ile Nyimbo ya "Hakuna...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Wakristo tukubalini tu kibao kimetugeukia tulikuwa tunawacheka sana ndugu zetu upande wa pili.

    Mzuka wanajamvi! Wagalatia wenzangu kibao kimetugeukia. Wakati baadhi ya waumini wa madhehebu ya Shia na suni walivyokuwa wanachinjana tuliwadhihaki sana ndugu zetu Kobaaz humu jamvin. Licha ya wao kujaribu kutuelimisha imani yao hairuhusu umwagaji damu ugaidi na kadhalika hatukusikia. Sasa ni...
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wakristo duniani washerehea sikukuu ya Pasaka, Papa alaani ‘ukatili’ Nchini Ukraine

    Mamilioni ya waumini wa dini ya Kikristo duniani leo Aprili 17, 2022 wanasherehekea Sikukuu ya Pasaka kukumbuka kufufuka kwa Yesu Kristo baada ya kusulubiwa msalabani zaidi ya miaka 2000 iliyopita. Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis, ameutumia ujumbe wake wakati wa misa ya mkesha...
  16. kyagata

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo huwa ni wachoyo sana kwenye sikukuu zetu ukilinganisha na Waislamu

    Kwema wakuu? Tuseme ukweli tu sisi wakristo kwenye sikukuu zetu ni wachoyo sana ukilinganisha na waislamu. Mfano hapa mtaani kwetu ninapoishi, tunaishi watu wa dini tofauti lakini dini zilizotawala ni Islam na Christian. Sasa bana sisi wakristo kwenye sikukuu zetu huwa kila mtu kajifungia...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mwenyezi Mungu hupenda sana Kuwazawadia Wakristo Mvua Siku za Pasaka na Krismas huku wengine akiwakaanga na Jua Kali tu?

    Sikumbuki ni lini Siku za Sikukuu za Pasaka na Krismasi huwa Mvua hainyeshi karibia maeneo mengi ya nchi ya Tanzania. Natamani na tarehe 2, 3 na 4 Mwezi May, 2022 pia Mvua zinyeshe ili nione na niamini pia kuwa kumbe hata Mwenyezi Mungu nae huwa anabalansi katika Utoaji wake wa Zawadi na Neema...
  18. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Hakika Mwenye Enzi Mungu anapokea swaumu nyingi sasa wakristo na waislam

    Wsalaam wana JF Hakika sasa swaumu nyingi zipo malangoni mwa Mwenye Enzi Mungu. Wote kwa pamoja,wakristo na waislaam. Mungu mwenye rehma atufanyie wepesi, autujalie riziki njema, atuondolee sukuma gang na bashite, amtunze mama yetu na kumpa hekma na subra. Tafadhali ongeza sala yako...
  19. Dr Matola PhD

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Leo ni Jumapili ya matawi Yesu anaingia Jerusalem, lakini nikitafakari imani yangu ya ufuasi wa kristu napata mashaka makubwa sana. To declare interest mimi nimezaliwa nimejikuta tu ni mkatoliki kwahiyo nipo hivyo mpaka leo, mahusiano yangu na Mungu naamini ni mazuri kiroho lakini mahudhurio...
  20. La Quica

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kiislamu hawaogopi ndoa kama Wakristo

    Wakuu nimekaa nikajiuliza kwanini vijana wa Kikristo hawaoi kama wa Kiislam? Nina maarafiki wa pande zote ndio maana nimefikia hatua ya kujiuliza kutokana na trend niliyoiona. Marafiki zangu waislam wengi wameoa na wanaoa lakini wakristo sioni muelekeo wao kuhusu ndoa. Je, chanzo ni nini...
Back
Top Bottom