Vijana wengi wa kikristo huchelewa kuoa ama hawaoi ni ushahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
958
3,013
Ni kawaida sana kukuta vijana wa kikristo hasa huku mijini na kwenye majiji wanaoa hadi wafike 33.

Wengine wanaishi na wanawake majumbani na wana watoto lakini hawana ndoa.

Kwa vijana wengi wa kiislam ninkawaida kukuta ashaoa akiwa na 23 hadi 25.

Huu ni usbhahidi tosha kwamba ndoa za kikristo ni gereza ambalo wanaume huofia kuingia kwa kuwekewa vizuizi ambavyo kinadharia vinasomeka lakini kiuhalisia ni ngumu kutendeka.

watu wazima wakifunga ndoa kifo pekee ndio kiwatenganishe ama waanze kupoteza muda wao kuandaa mafumanizi ili wapeleke ushahidi huo kuvunja ndoa, nini kama sio ujinga hiki?

Umepata binti huko umemchunguza mwaka mzima na kuona ana tabia njema kumbe anakuchezea bongo mubi tu, umeingia kwenye ndoa ndio anayatoa makucha yake, ukitaka kumuacha dini yakuktaza wanakwambia umvumilie, huko mahakamani mlolongo mrefu na hata ukija tena kuoa dini yako haitafungisha hio ndoa.

Umeoana na jitu zima ni lichawi unaambiwa hairusiwi kuachana?

nyumbani kila siku ni vurugu hakuna amani tena unaambiwa eti uvumilie?

mtu hajui tena wajibu wake anakunyima unyumba hiki ni nini kama sio kumlaziisha mtu azini nje ya ndoa??

Mmeoana tangu upi 30 hadi 40 hakuna mtoto unakatazwa kuzalisha kwengine, nini hiki?
 

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
958
3,013
Umeongea ukweli, ndoa ya kikristo humfanya mwanamke kuridhika na kujiona kaumaliza mwendo. Na anaweza fanya visa kwa kujiamini maana anajua hakuna kuachwa kumbe wanaume wa leo ngumu kuvumilia upuuzi
Watu wanajidanganya kwamba mwanamke ni tabia lakini nao wamejiongeza siku hizi, unaweza kumchunguza mwaka mzima lakini anajifanyisha tu ana tabia mzuri, kivumbi kinaanza kutimka ukishanasa kwenye mtego wake wa kumvisha pete hapo utaiona kila rangi yake maana anajua ushaingia kingi huwezi kumtoka kirahisi...

Unamkuta kijana kaajiriwa shirika kubwa tu anapokea mshahara mnono ila ana demu wake tu tena wanaeishi pamoja, habari za ndoa hataki kuzisikia kabisa, kuja kuoa labda afike 35 huko
 

Bangida

JF-Expert Member
Mar 20, 2022
1,319
4,615
Najaribu kujiuluza, hivi kama nmeoa kanisani tukashindwana, si inayofata nafunga kwa mkuu wa wilaya kiserikali? Na hyo ikishindwa si naenda kufunga ya kimila?

Shida itakua nin? Au n kanisa? Maana mungu anaangalia moyo na sio kanisa gan unaenda.
 

Accumen Mo

JF-Expert Member
May 15, 2022
5,085
10,385
Watu wanajidanganya kwamba mwanamke ni tabia lakini nao wamejiongeza siku hizi, unaweza kumchunguza mwaka mzima lakini anajifanyisha tu ana tabia mzuri...
Mwanamke anaweza kubehave vizuri tu ila bhana akishaolewa anakuwa na confidence za kipumbavu na roho mbaya inaanza hapo.
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
6,860
24,630
Dini ya kweli ni moja tu inoendana na matakwa ya mwili ya mwanadamu.
Haiwezekani uishi na mtu mpk kifo kikutenganishe wakati kiuhalisia haswaa iyo hali inakataa
Talaka zipo ili kukerebishana tabia

Waislamu wajinga wajinga ndio wanaona kuoa wake wengi na kutoa toa talaka na kuoa oa wake wapya kila siku ni ufahari.

Waislamu wenye akili kina Kikwete, bakhressa, kina Mo dewji, kina Gsm, kina hussein mwinyi , kina Mafuruki ,awadh wana mke mmoja miaka yote


Pia heshimu imani za watu wengine maana dini unayoisifia ya kweli ina mambo ya ajabu kibao

Pia dini ya kweli inaruhusu vipi mtume wake mwenye miaka zaidi ya 50 kuoa mtoto wa miaka 6.

Hata wewe mwenyewe huwezi kubali binti yako wa miaka 6 aolewe tena na mzee wa miaka 50. Maana ni ubakaji..

Dini ya kweli inaruhusu ndoa ya masaa kazaa tu tena baada ya kumaliza kupigana miti mnalipana pesa kisha ndoa inaisha

Dini ya kweli inawafundisha muwaue watu wa dini zingine wasiomuamini mtumwe wenu.

Dini ya kweli inaruhusu utumwa. Na tena inafundisha mpaka kuwatombaaz watumwa wenu wa kike.

Dini ya kweli inaruhusu wanawake wapigwe na waume zao. Yaani wanawake ni kupigwa pigwa tu sababu hawana nguvu.
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
6,860
24,630
Dini ya kweli ni moja tu inoendana na matakwa ya mwili ya mwanadamu.
Haiwezekani uishi na mtu mpk kifo kikutenganishe wakati kiuhalisia haswaa iyo hali inakataa
Talaka zipo ili kukerebishana tabia
Mtoa mada ni mkiristo na ameyatoa haya aliyoyaandika kwa uchungu ...kuna point kaumia

Post yangu ilikuwa inamjibu huyo mwenzako aliesema dini ya kweli ni moja tu. Zingine ni dini za uongo
 

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
958
3,013
Waislamu wenye akili kina Kikwete, bakhressa, kina Mo dewji, kina Gsm, kina hussein mwinyi , kina Mafuruki ,awadh wana mke mmoja miaka yote
Kikwete yupi huyo, kama ni huyu aliewahi kuwa rais humjui vizuri.

Mwinyi alikuwa na mke wa zaida kama hukujua

Mme wa Irene uwoya ni tajiri mkubwa tu kwenye hio list, ndie anaemfanya uwoya ale bata zote hapa town.

Kuna muda tukubali tu kwamba ndoa za kikristo zinafata sheria za viongozi wanaotaka ukristo uendane na tamaduni zao za kizungu kutosheka na mke moja na sio kuyafata maandiko ambayo yanakidhi tamaduni hata za waafrika,,,
 

FRESHMAN

JF-Expert Member
Sep 29, 2011
6,860
24,630
Kikwete yupi huyo, kama ni huyu aliewahi kuwa rais humjui vizuri.

Mwinyi alikuwa na mke wa zaida kama hukujua

Mme wa Irene uwoya ni tajiri mkubwa tu kwenye hio list, ndie anaemfanya uwoya ale bata zote hapa town.

Weka evidence. Hizi zama za ukweli na uwazi..

Thubitisha point yako kwa ushahidi.

Maana kikwete tunamjua Salma kikwete ndie mke wake. Na alimuoa baada ya mke wake wa kwanza mama yao kina Ridhwani. Kufariki dunia. Kama ana mwingine mtaje na uweke ushahidi

Hussein mwinyi mke wake tunayemjua ni Mariam Mwinyi. Kama ana mwingine mtaje na uweke ushahidi
 
15 Reactions
Reply
Top Bottom