wakristo

  1. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanaoishabikia Israel wametekwa nyara

    Kipindi chote ambapo Marekani imekuwa taifa kubwa ushawishi wa wayahudi nchini humo umekuwa mkubwa. Ushawishi wa Marekani nao kutoka na nguvu za kiuchumi umeweza kudhibiti hata mawazo na tamaduni za nchi changa na zile zinazoendelea. Madhehebu za dini ya kikristo zilizo katika nchi ya Marekani...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kibibilia Waisrael ni wakristo sio hao wanaopigana na wagaza.

    Tunaendelea kuomba amani gaza. Mungu alipomuita ibrahimu aliahidi kupitia uzao wake dunia nzima ibarikiwe. Uzao wake alimaanisha Yesu kitukuu cha vitukuu wa adam. Sasa Yesu anapokufa na kufufuka mfumo unabadilika. Muisrael au mtoto wa Ibrahim ni yule atakayemuamini Yesu. Hivyo hawa wanaojiita...
  3. Mtu Alie Nyikani

    JamiiForums Tanzania Wakristo: Vita ya Israel inayoendelea ni ishara tosha kuwa wakati wa kuja kwake mwana wa Adamu (YESU) umekaribia. Tuamke

    Kutoka mitandaoni... TAIFA LA ISRAEL NA UNABII WA SIKU ZA MWISHO. Na Joshua Ntagala Taifa la israel ni taifa takatifu la Mungu, utakatifu wake sio katika matendo ya kiuungu lakini ni takatifu kwa maana ya kwamba limetengwa kwa ajili ya matumizi ya Mungu(ardhi yake,watu wake, wametengwa kwa...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Wakristo wanatakiwa kuombea amani Mashariki ya Kati

    NAFASI YA MKRISTO KATIKA VITA YA ISRAELI NA PALESTINA. Shalom. Juzi Palestina kupitia wanamgambo wa Hamas wameanzisha mashambulizi juu ya Israel, na inasemekana ni mashambulizi makubwa kuwahi kushambulia na kufanikiwa kuwaua Waisraeli zaidi ya 300 na wengine zaidi 100 kujeruhiwa, idadi hiyo...
  5. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wayahudi 5 wakamatwa baada ya kutemea Wakristo mate huko Israel

    Polisi Jumatano waliwakamata Wayahudi watano wa Orthodox kwa tuhuma za kuwatemea mate waumini wa Kikristo katika Jiji la Kale la Jerusalem, huku kukiwa na ongezeko la matukio yanayowalenga makasisi na mahujaji katika mji mkuu. Wakati huo huo, Waziri wa Usalama wa Kitaifa Itamar Ben Gvir...
  6. BIG STONE AND CONER STONE

    JamiiForums Tanzania Japokuwa Mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyokuwa na faida, angepuuzwa tu maana sio threat kwa utawala

    Sina Mengi zaidi ya kusema sote tumesoma Habari za Mchungaji wa huko mbeya kuhukimiwa miaka 3 kisa tu. Ni usajili wa kanisa( ilikuwa Bado/au alinyimwa)Hivi kweli Tumefika Hapa Tz. Japo kuwa Mwakipesile alikuwa anajiongelea mambo mengi yasiyo Kuwa na faida Angepuuzwa tu maana sio threat kwa...
  7. thegreat1510

    JamiiForums Tanzania Hivi wakristo wanaokula nguruwe wanaruhusiwa kuwachangia damu waislamu

    Nilikuwa nawaza tu hapa,
  8. Plaintiff

    JamiiForums Tanzania Ibada ya Wakristo kuabudu Jumapili imeanza Karne ya nne. Ni kwanini Karne 3 za kwanza watu waliabudu Jumamosi?

    Kwanza kabisa naomba msingi wa uzi huu uwe kwenye ukristo, maana tukiongea kwa misingi ya madhehebu yetu hatutafika lengo letu. Karne ya kwanza ya 1, 2, 3 watu walipumzika na kuabudu siku ya Jumamosi mwanzoni mwa Karne ya nne watu fulani waliamua kubadili siku hii na kuhamia Jumapili. Je...
  9. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Ni rahisi sana Kiranga kuurithi uzima wa milele kuliko Wakristo na Waisilamu wengi walio wanafiki

    Ukihitaji salamu suburi kwanza nilewe, tofauti na hapo utaambulia chuya! Kiranga ana asilimia kubwa kuurithi uzima wa milele kuliko watu wengi wanafiki!. Narudia tena "Kiranga anazo asilimia kubwa za kuurithi uzima wa milele kuliko wanafiki walio wengi" Kiranga ni nani? Huyu ni jamaa ambaye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Wakristo Zanzibar na wao hawataki kuongozwa kutoka Dodoma na Askofu Mkuu Dkt. Mndolwa

    Mama anaezungumza kwa niaba ya Wakristo wa Kanisa la Anglikana Zanzibar (Kanisa mama), anasema hawataki tena kuchukua maelekezo kutoka Dodoma au kwa Askofu Mkuu Dkt. Maimbo Mndolwa ! Anasema ni vyema sasa wakawa na utaratibu kama wa ndugu zao Waislam wa Zanzibar ambao taasisi yao haipokei...
  11. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Alikiba unapaswa kuomba RADHI Wakristo

    Siku za hivi karibuni kumetokea Msiba wa msanii wa kike wa Bongofleva Haitham. Na mazishi hayo yamefanyika jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na watu mashuhuri na wasanii mbalimbali na mmoja wao akiwa msanii Ali Kiba. Wakati wa mazishi kuna kitendo ambacho kimetokea ambacho kimepeleka Ali Kiba...
  12. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

    , Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida. Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo...
  13. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi hao kuhudhuria hafla za makanisani ni mpango wa kuwagawa wakristo kwa sababu ule upande wako pamoja kuhusu DP World?

    Wasalaam JF, Nichukue fursa hii kuhoji uwepo wa JKM kwenye hafla ya wasabato je yeye mwanasiasa alienda kufanya nini kwenye hafla ya dini ya wengine? Je, Huyo Rais wenu alienda makanisani kufanya nini? Hii mbinu ya kudhani mtawagawa wakristo wakati nyie mmekula kiapo cha pamoja cha kuunga...
  14. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Wakristo hawahitaji Sensa kujua idadi Yao. Kwa sababu Ukristo wenyewe ni Hesabu

    WAKRISTO HAWAHITAJI SENSA KUJUA IDADI YAO. KWA SABABU UKRISTO WENYEWE NI HESABU. Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Moja ya mafundisho makuu katika Ukristo ni fundisho la Hesabu. Ukristo hauwezi kukamilika bila hesabu Kwa sababu hesabu ni sehemu ya Ukristo. Jukumu kuu la Ukristo Duniani ni...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Leo tarehe 15 August Wakristo Wanaadhimisha Sikukuu Ya Kupalizwa Mbinguni Bikira Maria

    Ufunuo 12:1 "Kisha, ishara kubwa ikaonekana mbinguni: Mwanamke aliyevikwa jua na mwezi chini ya miguu yake na taji ya nyota kumi na mbili juu ya kichwa chake!" Luka 1:26 "Mnamo mwezi wa sita, malaika Gabrieli alitumwa na Mungu aende kwenye mji uitwao Nazareti huko Galilaya, kwa msichana mmoja...
  16. Lanlady

    JamiiForums Tanzania Misiba mingi ya Wakristo ina gharama kubwa kuliko wengine

    Zama za leo ni tofauti kabisa na zama za mababu zetu. Ukisoma vitabu vya dini utagundua kuwa mazishi hayakuhitaji hata majeneza. Mfano Lazaro inaonesha alizikwa tu na sanda pasi na jeneza. Leo hii watu wanashindana hadi kwenye gharama za majeneza. Hivi kwanini basi majeneza yote yasiwe yenye...
  17. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

    Wasalaam JF, Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe. Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote...
  18. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi Sisi Wakristo na Waislamu nao huko Misikitini Kwao wangekuwa Wanakesha na Makelele kama Makanisani Kwetu tungewavumilia?

    GENTAMYCINE ( alias East African Brain ) ni Mkristo tena wa Dhehebu la Katoliki ila leo hii ( Usiku huu ) bila ya Unafiki nasema wazi kuwa Ndugu zetu Waislamu ni Watu Waungwana, Wastaarabu na Wavumilivu sana, ila Wakristo ni Wanafiki na Wabinafsi mno. Nina uhakika wa 100% kuwa Waislamu nao...
  19. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Maeneo ambayo Waislam wanawapiga Bao Wakristo

    MAENEO AMBAYO WAISLAM WANAWAPIGA BAO WAKRISTO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Watibeli tunazichukulia dini kama shule na vyuo ambavyo hupika wafuasi wao na kutengeneza imani kupitia mafundisho Yao. Watibeli tunajua dini zote lengo lake ni Maadili na sio zaidi ya hivyo. Watibeli tunajua Dini...
  20. Zacht

    JamiiForums Tanzania Wakristo mnatakiwa kuungana na waislamu kwenye hii vita

    Wakristo mnatakiwa kutambua kuwa hamna nafasi ya kushinda propaganda za LGBTQ isipokuwa kwakufanya muungano na Waislamu katika kupigana vita na Hawa wapotovu, Bibilia Iko wazi kwenye suala la ushoga kwamba ni laana na dhambi kubwa lakini Kuna baadhi ya viongozi wenu wanajaribu kupindisha...
Back
Top Bottom