Ipi sababu ya wasabato kujizolea sifa ya kutokuwa walevi tofauti na madhehebu mengine ya wakristo?

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,842
huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato,

unaweza kutana na picha mtu anakunywa maji au soda nyingi yanaandikwa maneno "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress"

Hii sifa waliyojizolea wasabato nini chanzo chake??

Screenshot_20220927_154018.jpg
 
Ulevi ni very subjective mkuu. Kuna watu huwezi kuwaona wakila nguruwe kabisa, ila effect ya soko utaiona mwezi mtukufu.

Hivyo katika msafara wa mamba, lazima kenge wawepo tu, na dini haina jinsi ya kuwa-control.
 
Nadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
 
Dah wamejiongeza
 
kujizolea sifa haimaanishi kwamba ni wote ila ni wengi

huko mitandaoni waweza kutana na picha kama hizi mtu anakunywa soda wanatania ni msabato, caption inaweza kuandikwa "pale msabato anapoenda bar kuondoa stress"

View attachment 2369709
Afadhali nyagi inakata wese tumboni kuliko hayo masukari bandia yenye kusababisha magonjwa kibao
 
ukiwajua juujuu tu wasabato, unaweza dhani ni watakatifu sana, wana visa ya kuingia mbinguni moja kwa moja.

kaa nao kama wiki au mwezi, wanasengenyana hatari, hawapendani wao kwa wao halafu wanagombania vyeo kwenye makanisa yao utadhani wanasiasa.

nguvu kubwa wamewekeza ktk kuyakabili mafundisho ya kanisa katoliki. wanapandikizana hii sumu kutoka muumini mmoja mpaka mwingine.
 
mkuu umesoma na kuielewa post??
 
Hahahahaha
 
Nadhani dini yao hairuhusu unywaji, wakatoliki tunaruhusiwa kunywa ila tusilewe, sasa ukishaonja ni vigumu kuji control, unajikuta umelewa , waislamu hawaruhusiwi ila Qur an inasema peponi kuna mito ya pombe. Sasa waislamu wanajiongeza kama mbinguni ipo kwanini hapa tusinywe.
daah bongo sihami
 
huko mitandaoni ishakua kawaida kukutana na memes zikionyesha picha yenye mtu ananaekunywa maji mengi au soda kuwa ni msabato,
Kama ulimuona na soda, huyo sio msabato maana hata soda hawatumii, ikiwa pia na chai
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom