Waislamu hutoa sadaka kisha husubiri malipo siku ya hukumu, wakristo tunatoa sadaka kisha tunasubiri baraka

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,121
Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
 
Utakuwa unawazungumzi
 
Wajinga ndio mliwao, hazina yako haimaanishi fedha wala sadaka
maana yake ni MOYONI MWAKO YUPO NANI? ...
Mfano: 1 Mim marytina hazina yangu ni mume wangu yaan mawazo, nguvu, akili na tumaini langu lipo kwa mume wangu ( kwa hiyo nikiachika najidhuru i.e hazina/ moyo nimeweka kwa mume badala ya YESU)

Mfano 2: Kuna waziri aliitwa kigoma Ally malima huyu moyo wake aliuweka kwenye pesa zake alizoweka ulaya. alipogundua akaunti zimefungwa akakufa

Moyo ukiuelekeza kwenye mali mali ikipotea gafla unakata moto. Kwani hapo ndipo hazina yako ilipo.

Achana na wachungaji toa sadaka weka hazina....
Hazina ya kikristo ni kumtegemea na kumwona Mungu tu na sio Mali za ulimwengu
 
Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
Issue ya panya road umeishia wapi mpaka umeamua kuamia kwenye Udini vijana tupo depressed Sana most of time tunawaza ujinga
 
Wajinga ndio mliwao, hazina yako haimaaniaha fedha wala sadaka
maana yake ni MOYONI MWAKO YUPO NANI? ...
Mfano: 1 Mim marytina hazina yangu ni mume wangu yaan mawazo, nguvu, akili na tumaini langu lipo kwa mume wangu

Mfano 2: Kuna waziri aliitwa kigoma Ally malima huyu moyo wake aliuweka kwenye pesa zake alizoweka ulaya. alipogundua akaunti zimefungwa akakufa

Moyo ukiuelekeza kwenye mali mali ikipotea gafla unakata moto. Kwani hapo ndipo hazina yako ilipo.

Achana na wachungaji toa sadaka weka hazina....
Hazina ya kikristo ni kumtegemea na kumwona Mungu tu na sio Mali za ulimwengu
Daah! Mkuu umetoa elimu nzuri sana. Kama ungelikuwa karibu ningelikupa utakacho .
 
Issue ya panya road umeishia wapi mpaka umeamua kuamia kwenye Udini vijana tupo depressed Sana most of time tunawaza ujinga
Issue ya panya road naendelea kuofutilia. Nilienda Muhimbili kitengo cha dharura Jana. Daaaahhh ni unyama mwingi.
Kama una muda na una uwezo wa kudadisi mambo nenda mapokezi kitengo cha dharura utapata full info jinsi vijana walivyouliwa kinyama
 
Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
we mvaa kobazi wacha kujifanya mkristo.Punguan wahed.
 
DINI ya kiislamu ni DINI ya hovyo sana.

Ukioa wake wanne unapata swawabu MBINGUNI Kuna ahadi ya wanawake Mabikora 70 peponi

NAJUTA sana Rumi kuanzisha Hii DINI.
 
Mkuu kule kwa Baaabaaaa tutakua tunasifu na kuimba mapambio wakati nyie mtakua mnazifaidi sadaka zenu kwa kuchakata mabikra. Tulia basi tujilipe duniani kabisa kabisa
 
Bila shaka mleta mada ni wale waislam walihamia kwenye Ukristo kutokana na ngonjera za manabii wanaohubiri luxurious za ulimwengu,lete mshahara wako wa kwanza kazini utabarikiwa,lete sijui gari yako utabarikiwa unamtajirisha mtu kwa ahadi zake za kipumbavu.

Ushauri,Rudi ulipokuwa imani uliyoingia siyo lelemama kwamba utatoa sadaka kwa mchungaji kisha uingie peponi kuna gharama,unaposikia kuhojiwa kuhusu sadaka yako ni ulikitumiaje kipato chako?dunia ina vurugu hii wapo wasiojiweza wapo wagonjwa wanahitaji msaada wa matibabu wapo mayatima hawa ndo inabidi uwape sadaka yako na kama hukuwapa hawa ndiyo utakutana na hazina yako ulivyoijaza.
 
DINI ya kiislamu ni DINI ya hovyo sana.

Ukioa wake wanne unapata swawabu MBINGUNI Kuna ahadi ya wanawake Mabikora 70 peponi

NAJUTA sana Rumi kuanzisha Hii DINI.
Lugha za kuudhi kwenye mijadala ni ishara ya udhaifu!

Na siyo jambo jema,usihubiri chuki hubiri upendo kama unaipenda imani yako na kuiishi
 
Ili utoe zaka au sadaka ni lazima kwanza uwe umebarikiwa tayari ukitoa ili ubarikiwe unakuwa unamfanya Mungu chuma ulete. Kwa hiyo tunatoa baada ya kubarikiwa siyo ili tubarikiwe
 
Mkuu kule kwa Baaabaaaa tutakua tunasifu na kuimba mapambio wakati nyie mtakua mnazifaidi sadaka zenu kwa kuchakata mabikra. Tulia basi tujilipe duniani kabisa kabisa
Hakuna jambo lingine la maana zaidi ya hilo?

Basi itakuwa ni sehemu moja ya hovyo sana
 
Habari!
Ninaandika hapa si kwa lengo la kuichafua dini (njia) yangu ya Kikristo bali kuwapa changamoto kidogo wakristo wenzangu.
Yesu alisema hazina zetu zilipo ndipo roho zetu zitakapokuwepo. Hapa alimaanisha sadaka tuitoayo ina nafasi huko mbele. Kwa maana nyingine ni kwamba tusipende kuvuna haraka hapahapa duniani. There is something ahead.
Cha ajabu sasa wakristo tunatoa sadaka tukitarajia mibaraka. Na kwa akili hizi basi na wahuni wameingia kundini kutafuna pesa za Waumini makanisani.
Yaani ibada haiwezi kuisha bila kupigiana kelele juu ya sadaka.
Zaburi 20:3-4
[3]Azikumbuke sadaka zako zote,
Na kuzitakabali dhabihu zako.
Remember all thy offerings, and accept thy burnt sacrifice; Selah.
[4]Akujalie kwa kadiri ya haja ya moyo wako,
Na kuyatimiza mashauri yako yote.
Grant thee according to thine own heart, and fulfil all thy counsel.
 
Back
Top Bottom