Baadhi ya Wakristo wa CCM mmeanza uchochezi, huu upuuzi wa kulalamika dini kwenye vyeo vya juu muuache. Chama hakina dini

Status
Not open for further replies.

NetMaster

JF-Expert Member
Sep 12, 2022
1,454
4,853
Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,

Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.

Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura wakristo walikuwemo hawakuharibu kura, kwenye kuhesabu kura pia hata kusoma matokeo, kama ni udini kwanini malalamiko hayakufanywa huko kwenye hatua za awali kabisa kama chama kinaendeshwa kwa mistari ya biblia

Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan

Makamu Mwenyekiti Bara - Abdalhaman Omari Kinana

Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Ali Mohamed Shein anafuata Hussein Ali Mwinyi

Mwenyekiti Wazazi - Fadhili Rajabu Maganya

Makamu Mwenyekiti Wazazi - Doto Iddi Mabrouk

Mwenyekiti Vijana Taifa - Mohammed Ali Mohammed

Makamu Mwenyekiti Vijana Taifa - Rehema Sombi Omary

Mwenyekiti uvccm taifa
Mohamed Kawaida

Makamu mwenyekiti uvccm taifa
Rehema Sombi Omari

Mwakililishi kutoka uvccm kwenda jumuiya ya wazazi
Shabani Shabani

Wajumbe wa baraza kuu Taifa (3)
Shamira Juma Mshangama
Jenipher Alphonce Mamuhindo
Gloria Ayoub Katalambula,

Wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa (NEC)- Zanzibar (2)
Muhsin Haji Ussi
Mwanaenzi Hassan Suluhu

Wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa (NEC)- Bara (3)
Ramadhani Mwinshehe Mlao
Musa Mwakitinya
Lulu Guyo Mwacha.
 
Hiki ni chama cha siasa na sio cha dini, tuna viongozi na sio wachungaji ama ma ustadh..

Waliopiga Kura walikuwa Waislam pekee?

mfano katika vyeo vya juu huku, hivi tunaangalia dini au siasa ?

Ni kweli haina afya kabisa ni vema kuwa makini na wanachama wa aina hiyo
 
Hiki ni chama cha siasa na sio cha dini, tuna viongozi na sio wachungaji ama ma ustadh..

Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,

Waliopiga Kura walikuwa Waislam pekee?

mfano katika vyeo vya juu huku, hivi tunaangalia dini au siasa ?

Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan

Makamu Mwenyekiti Bara - Abdalhaman Omari Kinana

Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Ali Mohamed Shein anafuata Hussein Ali Mwinyi

Mwenyekiti Wazazi - Fadhili Rajabu Maganya

Makamu Mwenyekiti Wazazi - Doto Iddi Mabrouk

Mwenyekiti Vijana Taifa - Mohammed Ali Mohammed

Makamu Mwenyekiti Vijana Taifa - Rehema Sombi Omary
Sharia inasubiri nini mbona akidi imeshatimia!
 
Kwani johnthebaptist anasemaje? Maana muda mwingi anakuja na story za Ufipa tu, badala ya Lumumba! Sijui amekumbwa na nini!!

Sijui siku hizi analamba ndimu, badala ya asali!!! Hakuna tena kusifu na kutukuza! Kazi aliyoifanya yeye kwenye awamu ya 5, leo hii inafanywa na akina Lucas mwashambwa!! Yeye yuko busy na story za Lissu, Heche, Halima Mdee, Lema na Mbowe!!

Kweli siku zinakimbia!!
 
Hao ni viongozi kwajili ya faida ya chama sio mashehe
Ukiona mwananchama hawezi kutofautisha imani na itikadi basi hapo wanachama wanatakiwa kuchunguzwa kwa kina

Kwenye kupendekeza majina wakristo walikuwemo hawakujipendekeza, kwenye kupiga kura wakristo walikuwemo hawakuharibu kura, kwenye kuhesabu kura pia hata kusoma matokeo, kama ni udini kwanini malalamiko hayakufanywa huko kwenye hatua za awali kabisa kama chama kinaendeshwa kwa mistari ya biblia
 
Hiki ni chama cha siasa na sio cha dini, tuna viongozi na sio wachungaji ama ma ustadh..

Nashangaa sana kuona watu wanalalamika udini kisa tu viongozi wengi wa ccm ni wa dini ya kiislam,

Waliopiga Kura walikuwa Waislam pekee?

mfano katika vyeo vya juu huku, hivi tunaangalia dini au siasa ?

Mwenyekiti Taifa - Samia Suluhu Hassan

Makamu Mwenyekiti Bara - Abdalhaman Omari Kinana

Makamu Mwenyekiti Zanzibar - Ali Mohamed Shein anafuata Hussein Ali Mwinyi

Mwenyekiti Wazazi - Fadhili Rajabu Maganya

Makamu Mwenyekiti Wazazi - Doto Iddi Mabrouk

Mwenyekiti Vijana Taifa - Mohammed Ali Mohammed

Makamu Mwenyekiti Vijana Taifa - Rehema Sombi Omary
Acha upumbavu weye!Mna udini sana.Utasikia ...mpendelee muislamu mwenzako"...!Kwani ni uongo?Stupid!
 
Kwani uvccm ipo dar peke yake ?? Ebu tuwekeeni na mikoa mingine tuone basi.
 
Kwani johnthebaptist anasemaje? Maana muda mwingi anakuja na story za Ufipa tu, badala ya Lumumba! Sijui amekumbwa na nini!!

Sijui siku hizi analamba ndimu, badala ya asali!!! Hakuna tena kusifu na kutukuza! Kazi aliyoifanya yeye kwenye awamu ya 5, leo hii inafanywa na akina Lucas mwashambwa!! Yeye yuko busy na story za Lissu, Heche, Halima Mdee, Lema na Mbowe!!

Kweli siku zinakimbia!!
Hao wamekubali kuwa wapiga debe tu

Ova
 
CCM core Roots ni Udini (ukatoliki na Uislamu) then ukabila (Sukima gang rise) na Wizi, unafiki, majungu na uchawi
 
Kwani uvccm ipo dar peke yake ?? Ebu tuwekeeni na mikoa mingine tuone basi.
orodha ya uvccm taifa hii hapa

Mwenyekiti uvccm taifa
Mohamed Kawaida

Makamu mwenyekiti uvccm taifa
Rehema Sombi Omari

Mwakililishi kutoka uvccm kwenda jumuiya ya wazazi
Shabani Shabani

Wajumbe wa baraza kuu Taifa (3)
Shamira Juma Mshangama
Jenipher Alphonce Mamuhindo
Gloria Ayoub Katalambula,

Wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa (NEC)- Zanzibar (2)
Muhsin Haji Ussi
Mwanaenzi Hassan Suluhu

Wajumbe wa halmashauri kuu ya ccm taifa (NEC)- Bara (3)
Ramadhani Mwinshehe Mlao
Musa Mwakitinya
Lulu Guyo Mwacha.
 
Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.
P
Ndip hapo sasa ! Nadhani hawa wanaopiga kelele ni visingizio tu vya kuwapunguzia hasira baada ya kupata kura chache 🤣🤣
 
Nawashangaa wanaolalamika, Mfano kwa Dar uvccm uongozi wote vyeo kama nane ni waislam wala si tatizo maana hata waksristo walishiriki kuwapigia kura

Hizi siasa za kipuuzi za kutazama ukabila na majina ya kidini CCM wamezifanya muda mrefu, acha sasa wapambane na huu upuuzi walioupandikiza
 
Mambo hufanywa kwa mujibu WA Sheria , taratibu na tamaduni.
Sheria inaweza kuwa inafuatwa , taratibu pia je tamaduni zinazingatiwa?
 
Kwenye fomu za uongozi CCM, hakuna kuulizwa dini!, unaulizwa sifa na vigezo, hakuna kigezo cha dini ya mtu!.
P
Nafsi itakusuta tu ndiomana kiongozi wa Sasa hataki kutamka bwana yesu asifiwe, anaongea kauli mbiu ya kifreemason tunaelewa sana
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom