wakristo

  1. BAKIIF Islamic

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Fikiria kutokula au kunywa wakati wa mchana kwa siku 30 mfululizo moja kwa moja sio jambo jepesi. "Mtazamo wa mwezi huu kimsingi sio kujizuia au kufunga, bali ni mkusanyiko wa nguvu na akili ya Muislamu juu ya utambuzi wa Mwenyezi Mungu na maisha ya ibada ya uchamungu." Haipendezi bint wako wa...
  2. Mmawia

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Awamu ya 5 heshima iliyokuzwa ni ya uoga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ukimgusa sharubu anakurarua, hatukukua kivile

    "Tunasifiwa kwamba adjustments [maboresho] tuliyoyafanya awamu ya tano kidogo zimekuza heshima ndani ya utumishi wa umma. “Heshima iliyokuzwa ni ya woga kwa sababu kulikuwa na Simba wa Yuda, ambaye alikuwa ukimgusa sharubu anakurarua. Lakini hata hivyo hatukukua kivile, heshima inayotakiwa iwe...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna, yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo

    Kanisa la T.A.G pamoja na makazi ya Mchungaji wake Daudi Suna yamebomolewa na wanaodaiwa ni wakazi wa eneo hilo wakishinikiza kuwa hawataki Kanisa katika eneo lao. Hii ni kunyume kabisa na sheria za nchi zinazoruhusu Uhuru wa Kuabudu. Kama jambo halitafanyika basi ni wazi kuna kiongozi mbaguzi...
  4. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Hamna watu wanaotapelika kirahisi kama waumini wa dini hii

    Sijajua ni kwa nini baadhi ya Wakristo wamekuwa wakisadikishwa na kuaminishwa na wao haraka haraka huamini na mwishowa siku hujikuta wakiwa mateka wa kifikra. Visa vingi sana tumeviona na tumevishuhudia vya watu kuuziwa kijifuko cha chumvi tu hii ya dukani kwa shilingi laki moja huku...
  5. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania HOJA: Kwanini Wakristo wanajinasibisha/wanajipendekeza kwa Israel

    Thread was deleted
  6. M

    JamiiForums Tanzania Sisi Wakristo masikini tunanufaika vipi na shule za Kanisa?

    Leo matokeo ya Mitihani ya Darasa la nne na Form Four yametoka! Kama kawaida shule zinazoongoza nyingi ni zile zenye Uhusiano na Kanisa, iwe kwa umiliki au kwa njia nyingine! Hii bila shaka inatoka na misingi Bora iliyowekwa! Pamoja na mafanikio haya, Shule nyingi za Kanisa gharama zake za...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Picha mbali mbali za wakristo duniani kote wakisheherekea Krismasi

    St Basilica Vatican St patrick's basilica Manhattan New YorkSri lanka Syria Kenya Moscow Urusi
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Wakristo tunaosheherekea 'Krismasi' Kesho kwa 'Yesu Kristo' Kuzaliwa 'Zizini' na 'Unyenyekevu' wake tunajifunza nini?

    Kama huyu Yesu Kristo ambaye tunamsheherekea Kesho ( Krismasi ) alizaliwa Kimasikini Zizini ( Kraal ) ila bado akakubali Kufa kwa ajili yetu, anatuombea 24/7 na ni Mnyenyekevu asiye na Majivuno pia ni kwanini Sisi Wakristo akina GENTAMYCINE tumekuwa ni Watu wa Viburi, Jeuri, Nyodo, Maringo...
  9. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania Mufti sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua

    Kiongozi mkuu wa waislamu Mufti Sheikh Zuberi aitisha maombi ya siku tatu kwa Waislamu wote kuombea mvua yenye heri kuanzia kesho Alhamisi. Maaskofu wakristo naona wanashindana tu kuvaa barakoa hawaitishi maombi kulikoni?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hasa mliowahi kutembelea Israel tujuzeni: Je wakristo walioko Israel huabudu siku ipi? Jumapili au Jumamosi?

    Ningependa kufahamu mambo yafuatayo: Najua Israel kuna dini ya kiyahudi wanaoabudu Jumamosi. Lakini pia kuna wakristo wa kiyahudi walioamua kumwamini Yesu. Je hawa wakristo wa kiyahudi huabudu siku ipi kati ya jumapili na jumamosi?
  11. J

    JamiiForums Tanzania Mazishi ya Maalim Seif nilisikia mambo 3 muhimu Ibada, Madeni na Msamaha, Wakristo wanajikita kwenye Wasifu na Mashada

    Nilifuatilia kwa karibu shughuli za mazishi ya maalim Seif kuanzia msikitini pale Upanga hadi mazishi kule Mtambwe Pemba kupitia luninga ya Channel ten. Kitu kikubwa nilichojifunza waislamu kwenye mazishi wanamjali zaidi marehemu kuliko wao wanaobaki. Kwa mfano pale msikitini Upanga swala...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Wakristo tuisusie Azam TV, wanatutenga Krismasi

    Wakristo tuwashangae Azam TV wameshindwa kuenzi Xmas yetu kwa kuweka alama au kiashiria cha kuonesha Kristo anazaliwa. Sisi kama wateja ambao wakati wa sikukuu za Kiislam tunavumilia kuona alama zao zinazoashiria sikukuu zao ni vyema tukawasusia TV yao inayoonesha ubaguzi wa dini hadharani...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Askofu Mtetemela: Wakristo tunapewa ili tutoe; hatutoi ili tupewe, wanasiasa jifunzeni

    Katika mahubiri yake ya kufunga mkutano mkuu wa sinodi ya DMP ya Kanisa la KKKT, askofu mkuu mstaafu wa Kanisa la Anglican baba Donald Mtetemela amesema Wakristo tunapewa ili tutoe na Hatutoi ili tupewe. Askofu Mtetemela amesema si sawa kutoa sadaka ukitegemea kupokea ama utajiri, mali au...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Iran yashtushwa kwa wingi wa Wairan kubadilika dini na kuwa Wakristo

    Inakuwaje wanaJF! Ni rahis sana kwa mkristo kuwa Muislam kuliko Muislam kuwa Mkristo kwasababu kwa wakristo wengi kuna uhuru na siyo kulazimishwa na hakuna kutishiwa kuuwawa kama kwa Waislam ulibadilisha dini. Ndio maana kuna msemo wa wale waliobadilisha dini kutoka uislamu hadi Ukristo...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Wakristo na baniani waandamana wakitaka adhana

    Baada ya mahakama nchini Afrika Kusini kumpa ushindi mtu aliyetaka kupigwa marufuku kwa sauti ya adhana katika eneo analoishi,wananchi wa madhehebu mbali mbali na imani tofauti kwenye eneo la Isabingo jijini Durban wameandamana wakiwaunga mkono waislamu wakitaka adhana iendelee kama kawaida...
  16. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Wakristo tujitafakari upya taratibu zetu zote za mazishi. Kuna mambo hayako sawa

    Naomba kuuliza wakristo wenzangu kuhusu taratibu za msiba. Akifariki mtu wa kawaida basi Padre tu husimamia ibada. Lakini akifariki mtu maarufu au tajiri basi huja Askofu tena akiwa na viongozi wengine kuendesha hiyo ibada. Kwanini Askofu asiendeshe hiyo misa hata angalau kwa msiba wa kapuku...
  17. Liverpool_Jr

    JamiiForums Tanzania Wakristo kwenye Siasa za Zanzibar mnakwama wapi?

    Zanzibar imeshuhudia watia nia 23 wakichukua form ili kuteuliwa kuwa wagombea wa Uraisi Zanzibar. Ila kilichonishangaza SIJAONA MKRISTO HATA MMOJA... Kwani wakristo wa Zanzibar mnakwama wapi? Ila Jecha kumbe ni mwana CCM yaani refa naye ana timu...!!! #YNWA
  18. J

    JamiiForums Tanzania Unaweza usiamini kama bungeni kuna wabunge Wakristo

    Kuna wakati nikilitazama bunge na matukio yake huwa nashindwa kulitofautisha na kundi lolote la kipagani. Tena huwa najiuliza kuna aliyeapa kwa kushika Biblia mle ndani? Hebu fikiria wabunge watatu wamekufa kwa mfululizo juzi kati tu lakini wabunge hawana huzuni yoyote hata kuzika hawakwenda...
  19. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini matajiri wengi wakubwa Tanzania ni Waislamu na sio Wakristo ambao asili yao ni kutoka kwa matajiri wa dunia?

    Tukubali Waislam wametokana na Waarabu, watu ambao katika list ya utajiri duniani hawapo sana. Wakristo asili yetu wengi ni Ulaya na Marekani ambako ndiko wabobezi wa utajiri wako huko. Sasa kinachonishangaza licha ya yote sielewi kwa ñini nchi yetu matajiri wengi wakubwa, watoa misaada wengi ni...
  20. mtima nyongo

    JamiiForums Tanzania Jinsi tunavyoishi wakristo hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo

    Mazingira ya maisha hapa Zanzibar kipindi hiki cha mfungo wa Ramadan kwa Wakristo ni magumu sana hasa kuhusu suala la chakula,kwa sisi ambao tuko kikazi huku na familia zetu ziko bara ni shida. Mfano kupata chakula inabidi uende kwenye lile kanisa ambapo zamani kulikua na soko la watumwa...
Back
Top Bottom