NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,853
Bila shaka tunajionea vijana wengi wa kikristo hasa waliosoma vyuoni kwa sasa suala la ndoa limekuwa ni dilemna, wengi huwa wana mahusiano na hata kuwa na watoto lakini inakuwa nje ya ndoa.
Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama;
Matokeo yake, vijana wengi kwa sasa wamekuwa wanasubiri mpaka 36 huko ndio wanaoa, uzinzi unaepukika hapa ?
Sababu za kuogopa ndoa zikiwa kama;
- Mahari kuwa kubwa na sherehe kuwa ghali.
- Kwenye ndoa za kikristo ni lazima mali zipigwe pasu kwa pasu mkiachana kwa sheria za mahakamani.
- Mwanamke anaweza kuwa na kiburi anajua huwezi kuongeza mke na ukimzingua anakomba mali pasu kwa pasu.
- Ni ngumu kuoa upya.
Matokeo yake, vijana wengi kwa sasa wamekuwa wanasubiri mpaka 36 huko ndio wanaoa, uzinzi unaepukika hapa ?