wakristo

  1. B

    JamiiForums Tanzania HAMAS yatuma salamu za Christmas kwa wakristo

    1. Hapa chini ni salamu za Christmas kwenda Kwa nduguze wakristo: 2. Ama kwa hakika ukitaka kumwua nyani usimwangalie usoni. 3. Ukitaka kumwamgamiza mtu mtafutie jina baya. 4. Mbowe, Slaa, Mwabukubusi na kina Mdude waliitwa magaidi "to justify the end." 5. Ningali na scan kutafuta salamu...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu Gaza, usiopendwa na wakristo wasio haki

    1. Kwa imani ya kikristo, uwepo wa dunia na vyote vilivyomo umejengeka kutokea katika kitabu cha Mwanzo. 2. Kwa mujibu wa kitabu hicho binadamu aliumbwa siku ya sita baada ya awali kuumbwa mbingu na nchi. 3. Kwamba hapo #2; day 1: kuliumbwa nuru katika giza; day 2: kukaumbwa mbIngu day 3...
  3. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Madebe Lidai unapaswa kuwaomba radhi Wakristo

    Madebe Lidai tunakudai utuombe msamaha sisi wakristo kwa kauli yako hii uliyoitoa kwenye instastory yako; "Mtu kaenda Maka akirudi anaacha mke anachukua mke wa mtu aliyeachwa akaanza Kuzini hadharani hapo ndipo utaamini hata maka wakristo wapo 🤣🤣" Kauli hii ni ya kichochezi na inamaanisha...
  4. FaizaFoxy

    JamiiForums Tanzania Maovu wanayotendewa Wakristo na Waafrika weusi huko Israel

    Yote haya yanatoka kwenye vyombo vya habari na vyanzo vyake vipo> Tafsiri kwa msaada wa google. Israel yatoa taarifa ya kushangaza leo ambapo maafisa wa serikali wanachukulia kwa uzito hivi karibuni kuongezeka kwa wakristo kutemewa mate na Mashambulizi dhidi ya makasisi na uharibifu wa Tovuti...
  5. Webabu

    JamiiForums Tanzania Kwanini wakristo wote duniani wasiwe watiifu na kuacha kusherehekea krismas kwa kuomboleza Gaza kama wanavyofanya Bethelehem

    Baraza la mji wa Bethelehem mahali alipozaliwa Yesu a.s limepiga marufuku kabisa kusherehekea krismas kwa nia ya kuwaunga mkono wapalestina wanaouliwa na mayahudi kila leo. Kuonesha nia safi katika hilo wamebomoa mapambo yote yenye dalili ya furaha katika mji huo.Zaidi wamebadili picha ya Yesu...
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Wakristo wengi watapata Frustration hivi karibuni kwa sababu ifuatayo...

    Wengi wameunganisha mioyo yao na Dini, madhehebu na viongozi wao badala ya Yesu waliompokea na Neno lake. Utachelewa usiponielewa utakapogundua Viongozi ni watu kuna wakati shetani atatumia vinywa vyao kusema lolote kama alivyomtumia Petro. Dini au madhehebu ni vitu vizuri ila kuna wakati...
  7. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kama makanisa mengi hayafati sheria za agano la kale ni kwanini wanazifata amri 10 za agano la kale

    Kuna sheria kibao ambazo ziliwekwa na Mwenyezi Mungu mwenyewe moja kwa moja kwenye agano la kale. Sheria za wanyama wa kula alituamuru tusile nzi, vinyonga, punda, mbwa, paka, pweza, popo, nguruwe, nyani, mbu, n.k. Sheria za mavazi alituamuru tuvae mavazi ya kusitiri, wanawake wasivae suruali...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Unabii wa Tanzania mwaka 2024 Kwa Kanisa

    Salaam, Shalom!! Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024. KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama kikundi Cha watu wakusanyikao kuliitia Jina la BWANA. UNABII KWA KANISA 2024, UTAGUSA YAFUATAYO. 1...
  9. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mkanganyiko wa Kiimani

    Pichani, Jamaa mwenye nguo nyeupe 🤍 anadai kuambiwa na MUNGU kuwa anywe pombe lakini asioe. Vilevile jamaa mwenye nguo nyeusi 🖤 nae anadai kuambiwa na MUNGU kuwa asinywe pombe lakini aoe wanawake wengi. Je ni Upande hupi ni Sahihi, 🤍 au 🖤?
  10. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Waafrika kushindwa na wakoloni na kugeuzwa wakristo na waislam inasababishwa na weak civilization? Tumsikilize former Singapore PM Lee

    Kwa makini tumsikilize former Singapore PM Lee Kuan Yew akielezea kwa nini wakristo wameshindwa kuwafanya wachina na wahindi kuwa wakristo. Na kwa nini pia wameshindwa kuifanya Singapore kuwa nchi ya wakristo. Kufail kwetu waafrika na kuangukia kwenye mikono ya waislam na wakristo sababu...
  11. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania TBC ni TV ya waislam na wakristo wakatoliki?

    Binafsi kuna jambo sielewi kuhusu hii television ya umma/taifa- TBC Hii ni television ya kutangaza dini ya Uislam na Ukristo kupitia ukatoliki au ni television ya umma isiyo na mafungano na dini yoyote ? Nashindwa kuelewa kwamba hawa waislam na wakatoliki wamelipa pesa ili dini zao zitangazwe...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kwanini mababu wa Kiyahudi wanang'ang'aniwa na Wakristo na Waislamu lakini wajukuu wao wanawachukia?

    Kama sio unafiki basi waanzilishi wa hizi dini waliiba mababu wa watu ili wakubalike lakini ukweli ni kuwa hazina uhusiano kabisa na Wayahudi. Kama wangekuwa na uhusiano nao wangewapenda wajukuu wao. Na tena kama hiyo dini nyingine kabisa ikaamua kuiba Hadi maandiko ya kiyahudi na kuyageuza...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kuombewa/maombi/maombezi - Kiini cha ulemavu wa kiroho kwa Wakristo

    Mkristo anayejielewa anatakiwa kuweka sawa uhusiano wake na BABA yake aliye MBINGUNI na kuwa na ujasiri wa kuongea na Mungu kama "Abba". Siku hizi kuna usanii wa maombezi na watu wahuni tu wanapiga pesa kwa kuwashawishi wajinga kwamba wana uwezo wa kuwaombea watu kwa Mungu. Upumbavu au niuite...
  14. Webabu

    JamiiForums Tanzania Ukimya alipozaliwa na kuteswa Yesu kule Jerusalem kwazidi kuitambulisha nafasi ya Israel kwa Waislamu na Wakristo duniani

    Vita vya Gaza vilivyoanzia na mashambulizi ya Hamas ya oktoba 7 yakiwa ndio makubwa kwa miaka 75 katika kutetea ardhi za wapalestina kumeibua mambo mengi yaliyokuwa hayakujulikana na wengi mwanzo. Miongoni mwa mambo hayo ni kuweza kuzitofautisha imani za dini ya kiislamu, kiyahudi na ukristo...
  15. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Kucheza na kunywa ni ruksa, kinachoangaliwa ni roho sio mavazi, kwanini kusiwe na disko maalum za wakristo?

    Wala sikejeli maana kunywa ni ruksa, kucheza ni ruksa na mavazi yoyote waweza vaa maana kinachoangaliwa ni roho. Nashangaa hii fursa bado haijachangamkiwa, kuna shida ipi kuanzisha night club za makanisa ikiwa kucheza ni ruksa, kunywa ni ruksa na kinachoangaliwa ni roho sio mavazi? Ndani ya...
  16. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo Bethlehem alipozaliwa Yesu wabomoa mapambo yote kuomboleza wanaouliwa Gaza na kuunga mkono mashahidi wa Palestina

    Baraza la mji wa Bethlehm alipozaliwa nabii Issa (Yesu) limeamua kubomoa mapambo yote ya krismas yaliyopo eneo hilo ili kuomboleza vifo vya watoto huko Gaza na mauwaji yanayoendelea maeneo yanayowazunguka. Huku mainjinia wa mji huo mtakatifu wakiendelea na kazi ya kubomoa aina zote za mapambo...
  17. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Ni kosa Wakristo kuwa matajiri?

    Nimeshasikia mara kadhaa mahubiri yenye maneno yanayofanana na haya: 1. "Ole wenu wahubiri mnaowahubiria watu uponyaji na mafani" 2. "Makanisa ya siku hizi yanahubiri mafanikio tu" 3. N.k. Ni kosa Wakristo kufundishwa jinsi ya kufanikiwa kifedha na kuwa na afya njema? Kuna ubaya wo wote kwa...
  18. Gibbethon bible code

    JamiiForums Tanzania Ulishawahi jiuliza ni kwanini wakristo waliokoka wengi wana hali ngumu za kiuchumi japokua biblia imewahidi baraka nyingi sana

    Kama kinavyosema kichwa cha habari hili ni swali ambalo watu wengi wamekua wakijiuliza kwanini walokole wengi sio wote hali zao za kipato sio nzuri japokua kwenye biblia wameahidiwa baraka nyingi sana na Mungu na huku watu wanaoishi maisha yasiyompendeza Mungu wanamaisha mazuri na familia zao...
  19. Webabu

    JamiiForums Tanzania Wakristo wa Chile bega kwa bega na Hamas

    Padri Georges Abed wa Chile amesema mtu akitaka kumuuliza yeye kuhusu Gaza, Hamas, mauwaji na umwagikaji damu basi asifanye hivyo kwa kumchorea picha yenye ukubwa wa inchi kadhaa. Lazima achore picha kubwa ambayo itaonesha mpaka miaka 75 iliyopita. Chile ni moja ya nchi za Latin America ambazo...
  20. Mto Songwe

    JamiiForums Tanzania Taifa linaloona Urais ni kupokezana vijiti baina ya wakristo na waislam ni taifa la wajinga

    Ni hatari sana kuishi kwenye taifa la kipumbavu linalo ona uongozi ni kubadilishana vijiti kati ya wakristo na waislam. Kwamba akianza muislam basi afuate mkristo, akianza mkristo basi afuate muislam. Mbaya zaidi wananchi wenyewe walivyo wapumbavu wanaona ni jambo la kufurahisha kila dini...
Back
Top Bottom