Mtazamo wangu: Urafiki wa kawaida kati ya muislam na muislam una mashiko ya kweli kuliko urafiki wa mkristo na mkristo mwenzie

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,432
11,103
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.

Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.

Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.

Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.

Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.

Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.

Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.

Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.

Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.

Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.

Unoko ni aina pia ya uzalendo.

Wabillah Tawfiq.

Wadiz.
 
Shetani hawezi kujifitini yeye mwenyewe, Ila atafitini upande wa pili ili tunae muabudu yaani kristo aonekane si kitu,

Ukitaka kulinganisha basi linganisha kati biblia na matendo yetu sisi wakristo je yanaendana ,

Kama hayaendani mfano, hatuna upendo nk nk bas tuhubirie Tuwe na upendo Mimi mkristo sitakiwi kujilinganisha na muislam hata kidg ,

Natakiwa kujilinganisha na biblia then nijikosoe,
Kwa mfano
Kuna siku mtu m1 alileta mada kuhusu mgawanyo wa Mali kwa waislam akasema umekaa vizuri , akasema kwa wakristo mgawanyo wa Mali haujafafanulia,
Ni Kweli kwenye bible haujaelezwa direct lakini ,
mgawanyo wa Mali umefungwa kwenye kitu kinaitwa UPENDO ,
Kama ni Mimi nagawanya Mali na Nina upendo na Wanao gawiwa nao Wana umependo basi kila kitu kitaenda sawa, hakutakua na ugomvi Wala malumbano na hoja, kwa hiyo sisi bible imeandika kila kitu shida Kuna namna mbili za kusoma , unaweza ukasoma ili kukosoa au usome ili ujifunze yote yanawezekana,

Sasa kama sisi wakristo ni wanafiki , hatusaidiani , nk nk basi Kuna amri moja tumeivunja
Nayo ni hii
Yohana 13:34-35
[34]Amri mpya nawapa, Mpendane. Kama vile nilivyowapenda ninyi, nanyi mpendane vivyo hivyo.

[35]Hivyo watu wote watatambua ya kuwa ninyi mmekuwa wanafunzi wangu, mkiwa na upendo ninyi kwa ninyi.

APO VERSE YA PILI ANASEMA HIVYO WATU WOTE WATAJUA KUWA SISI NI WANAFUNZ WA YESU,

LAKINI, KUNA SEHEM PIA KWENYE BIBLE INASEMA SIKU ZA MWISHO UPENDO WA WENGI UTAPOA , 2timoth 3:1-5

Shetani ana pambana na kanisa yaani wa kristo upendo upoe ili waonekane si kitu , avune kwa style anayo ona yeye inafaa,

All in all tumepokea somo lako na tutaomba Mungu atusaidie pale ambako tumepelea,
Asante kwa somo/post yako
 
Unamuabudu kristo!?.. shetani hawezi kumfuata na kumpoteza mtu anayemuabudu binaadam (aliyezaliwa na mwanamke)..maana huyo kishapotea
 
Well said mkuu,akili kubwa
 
Naona ni muhimu sana kila binadamu kumpenda binadamu mwingne bila kujali machaguo ya mtu binafsi .
 
Umenena vema sana
 
Kwa sababu Ukristo umeruhusu Ukweli na Uongo kuchangamana.
Na aliyeruhusu hayo ni Kristo mwenyewe.

Ni ngumu kumuamini Mkristo hata kama ameshika dini Kwa sababu ya Kanuni hiyo hapo juu. Lakini ni rahisi kumuamini Muislam aliyeshika Dini. Kwa sababu uislam haujaruhusu ukweli na Uongo kukaa pamoja.
 
Well said
 
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.

Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.

Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.

Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.

Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.

Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.

Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.

Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.

Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.

Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.

Unoko ni aina pia ya uzalendo.

Wabillah Tawfiq.

Wadiz.
Kwa vile ni mtizamo wako pekoe,upo sahihi,ila hakuna uhahidi wa kisayansi kuthibitisha,
Ni sawa na wanaosema wanawake wahaya wote ni vicheche!ila ukweli tunajua michangundoa na sex workers,makabila yote yanachangia,wapo waha,wachaga,wanyakyusa,nk,
Hata wanaosema magaidi wote duniani ni waislam!hawapo sahihi sana,maaana yqpo magaidi ya Kirkliston kama pastor mackenzie,kibwetele.
 
Kisa cha Malcom X: Ndani ya Marekani wakristo wazungu waliwabagua vibaya wakristo weusi. Hawakuruhusiwa kuoana, kukaa migahawa mimoja, kusafiri kwenye basi au behewa moja, kutumia vyoo vimoja na hata kuishi mitaa mimoja. Kwa miaka mingi sana wamefanya hivyo huku wakijiita wakristo. Malcom X alipoenda Hija alishangaa kukuta watu wa kila rangi wanakula na kulala pamoja. Hata mtu mmoja mkubwa serikalini alimuachia makazi yake ya kifahari ya hotelini aishi kitu ambacho kwa Marekani ilikuwa ni ndoto.

Uislamu una nguvu sana katika kuunganisha watu na kuwafanya kuwa ndugu, mtu ni Muislamu kwanza ndiyo mambo mengine yanafuata. Kwenye eneo hilo wamefanya vizuri sana.
 
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.

Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.

Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.

Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.

Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.

Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.

Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.

Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.

Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.

Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.

Unoko ni aina pia ya uzalendo.

Wabillah Tawfiq.

Wadiz.
Ni kawaida ya watu primitive urafiki wao unakuwa kama agano vile.
 
Uislam ni dini ya haki,
 
Kwa sababu Ukristo umeruhusu Ukweli na Uongo kuchangamana.
Na aliyeruhusu hayo ni Kristo mwenyewe.

Ni ngumu kumuamini Mkristo hata kama ameshika dini Kwa sababu ya Kanuni hiyo hapo juu. Lakini ni rahisi kumuamini Muislam aliyeshika Dini. Kwa sababu uislam haujaruhusu ukweli na Uongo kukaa pamoja.
 
Wengi wa wakristo wamechoshwa na vitendo vya dini yao. Dini ikiwa ya uongo hata matendo ya dini yanakuwa ya uongo.

Katika uislamu udugu na urafiki ni ibada. Yaani ukiwa unafanya jambo jema la Kukuza udugu au urafiki mfano kumpa Zawadi nduguyo au rafiki yako inahesabika umefanya ibada ya kukuza udugu au urafiki wenu, sawa rafiki au ndugu huyo awe muislamu au mkristo.

Kwa minajili hiyo uislamu unaibuka kuwa bora sana katika jambo linalohusu utengamano wa kijamii.
 
Wasalaam JF,
Tafadhari niwape hio changamoto kila mmoja ajaribu kufuatilia urafiki baina ya vijana waislam, wadada waislam, wamama waislam, wababa waislam, na makundi hayo upande wa wakristo tena tujiangalie wenyewe.

Na hii haina nia mbaya bali naileta kama chagizo na changamoto Kwa pande zote, kuimarisha, kuboresha na kujikosoa ili tujenge jamii imara sana.

Binafsi nimefuatilia urafiki miongoni mwa wakristo umejaa unafiki na urafiki wa kweli hasa Kwa nyanja zote za shida na raha ni kitu adhimu sana.

Wanaweza kuchanga harusi, labda kidogo na misiba kinafiki, ila sio kuuguza, kumtoa mtu kwenye shida zingine mfano njaa, kusomesha kulipia ada, na matibabu.

Pia urafiki miongoni mwao umejaa usaliti, na usengenyaji.

Hata Siri miongoni mwa marafiki wakristo zinavuja sana tofauti na upande wa mashabiki wa kiarabu katika Imani, uwekezaji na uuzwaji.

Nitoe wito Kila mmoja wetu aichukue katika namna njema na chanya kujitafakari kila mmoja katika urafiki wake wa sasa na yeyote yule iwe baina ya watu wawili ama kikundi cha watu katika kulitizama hili.

Kupanga ni kuchagua na hapa sina maana urafiki wa kupekupe hapana bali urafiki wenye tija pande zote.

Ichukueni hii kama rejea ya kutafiti hasa watakaobisha go and research by yourselves.

Tusikokose kulipa Kodi na kudai risiti. TRA maeneo mengi sana wateja tunapewa bill kwenye vikaratasi bila EFD receipts hasa bar kubwa kubwa zote.

Unoko ni aina pia ya uzalendo.

Wabillah Tawfiq.

Wadiz.
Wanaojiitaga Wakristo wengi wao ni roho mbaya ndio maana Huwa wanavurunda kwenye Uraisi na kuharibu maisha ya watu.
 
Back
Top Bottom