wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar hasa wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga

    Habari za usiku huu ndugu watanzania? Moja kwa moja niende kwenye mada iliyonifanya nifikirie kushare mawazo yangu. Wakazi wa dar,hasa sisi wenye vipato vya chini na tunaoishi kwenye nyumba za kupanga huwa tunahaha sana msimu wa mvua ukianza. Hapa nazungumzia kuanzia mwezi wa 12 mpaka mwezi wa...
  2. Chief Wingia

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Goba & Salasala tutakufa kwa magonjwa ya mlipuko kwa huu upuuzi kujaza na kuziba makorongo kwa takataka.

    Habari zenu wakuu. Aisee hii ni hatari sana karibia kila mtu aliyenunu kiwanja maeneo yenyewe makorongo ni mwendo wa kuziba kwa takataka kuanzia Salasala, Kinzudi, Majengo, Marobo, Mivumoni, Goba na Madale imekuwa kama fashion vile. Unakuta mtaa mzima unanuka harufu ya dampo na mainzi kama tupo...
  3. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Popo tishio kwa maisha ya Wakazi wa Upanga Dar es Salaam

    Na Francis Godwin Changamoto ya Ndege aina ya popo imekuwa ni Tishio Kubwa kwa wakazi wa Mtaa wa Seaview Kata ya Kivukoni Wilaya ya Ilala Jijini Dar es Salaam. Madhara ya popo yanaweza kutofautiana kutoka kwa kipindi cha mwaka na eneo. Hapa kuna madhara kadhaa yanayoweza kutokea kwa sababu ya...
  4. benzemah

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wauawa kwa kuchinjwa kisa wivu wa mapenzi

    Watu wawili wanaosadikiwa kuwa ni wapenzi Katalina Juma (21) na Athanas Alyen ( 23) wakazi wa Kata ya Kabungu, Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi wamekutwa wakiwa wameuawa kwa kukatwa na kitu chenye ncha kali, huku chanzo kikidiwa ni wivu wa mapenzi. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamkia Oktoba...
  5. J

    JamiiForums Tanzania Ukweli Kuhusu Wakazi Halisi wa Nchi Takatifu (the Holy Land)

    Kwanza kabisa niwakumbushe tu Watanzania wote kuwa tumehamia Dar es salaam (kwa mfano) lakini kiukweli tunachimbuko letu kikabila, ambako bado tunahaki ya kurudi na halifulani zikilazimisha tutarudi. Zama hizo kabla ya YESU kuzaliwa na miaka baada ya Yesu kuzaliwa Nchi takatifu ilikaliwa na...
  6. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania BoT: Kipato cha kila mkazi wa Dar chaongezeka kwa shilingi Laki 5, wa mikoani kwa Laki 1

    Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa na BoT kwenye ripoti yake ya Consolidated Report ya mwaka 2022 inaonesha Pato la Kila Mkazi wa Dar limeongezeka Kwa Shilingi Laki 5 wakati wastani wa Pato la Kila Mtanzania likiongezeka kutoka sh.2.7 mln Hadi sh 2.8 mln (Laki Moja) Kwa mwaka 2022. My Take: Kila...
  7. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Tarakea wachota maji Kenya

    Inasikitisha mno yaani maji yamekuwa ya shida sana hadi kupelekea wakaji wa Tarakea kwenda kuchota maji Kenya. Halafu baadae utasikia ooh mama anaupiga mwingi 🤣🤣
  8. ACT Wazalendo

    JamiiForums Tanzania Webiro Wakazi: Tujiandae Kimkakati Kuelekea AFCON 2027

    TANZANIA TUJIANDAE KIMKAKATI UWENYEJI WA AFCON 2027. Tarehe 27 Septemba 2023 Shirikisho la Mpira Barani Afrika CAF katika kikao chake kilichoketi Nchini Misri ,wamezitangaza nchi za Afrika mashariki Tanzania, Kenya na Uganda kuwa wenyeji wa mashindano ya Mataifa ya Afrka ya Mpira wa Miguu...
  9. RoadLofa

    JamiiForums Tanzania Msaada wa chumba/hostel ya kupanga Lushoto

    Wakazi wa Lushoto nipo wilayani kwenye nipo Lushoto mjini stand kuu ya Magari hapa ndo nimeingia muda si mrefu Shida yangu bhana natafuta hostel yoyote ya kufikia na kukaa ndani ya siku kadhaa ambayo malipo yake Kwa siku chini ya Tsh 8,000 au kama pia kutakuwa ntapata chumba cha kupanga ambacho...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Wilaya ya Bunda na Wilaya ya Serengeti wadaiwa kuchomana mishale katika mgogoro wa ardhi

    Mimi ni Mkazi wa Kijiji cha Mekomariro Wilaya ya Bunda, naomba jamii ijue kuwa kuna ugomvi wa ardhi kati Wananchi wa Kijiji chetu na Wananchi wa Kijiji cha Wilaya ya Serengeti, mpaka sasa kuna ugomvi mkubwa, watu wamechomana mishale. Huu mgogoro hauwezi kumalizika kwa kuwa kuna viongozi au...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Kituo cha Afya Mundindi Tarafa ya Liganga Kinachokwenda Kuhudumia Wakazi Zaidi ya 40,000 Wilaya ya Ludewa

    TIZAMA PICHA ZA KITUO CHA AFYA MUNDINDI AMBACHO KINAENDA KUHUDUMIA WAKAZI ZAIDI YA 40,000 TARAFA YA LIGANGA- KATA YA MUNDINDI, WILAYA YA LUDEWA Wakazi zaidi ya 40,000 wa Tarafa ya Liganga wilayani Ludewa mkoani Njombe wameondokana na adha ya kutembea umbali wa zaidi ya Km. 50 kufuata huduma ya...
  12. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Tunaomba tuwekewe Lami kuanzia pacha ya Mbae hadi Mjimwema (Mtwara)

    Wakazi wa pacha ya MBAE, MBAE NA MJIMWEMA tunateseka na vumbi kwa sababu ya barabara ni mbovu mno halafu hiyo barabara ni muhimu sana Kwa wanafunzi wa chuo cha TIA wanaokaribia kurudi mwezi wa kumi na licha ya hivyo chuo kimehamia Mjimwema huko lakini serikali ya mkoa wa Mtwara haina mpango wa...
  13. atlas copco

    JamiiForums Tanzania Watu wa Dar kuna ujumbe wenu huku kutoka kwa Nabii Mkuu

    Kama kichwa cha habar kinavyojieleza kuna ujumbe wenu kutoka kwa nabii mkuu Bonifasi,mnatakiwa muhame huo mji haraka sana [emoji3],someni kipeperushi hapo [emoji116][emoji116][emoji116]hapo dwasi kutoka kwa nabii
  14. katoto kazuri

    JamiiForums Tanzania Shule nzuri ya Kimataifa(Sekondari na Awali) mkoa wa Arusha

    Habari zenu wakaka na wa dada wa jf . Habari zenu wamama na wababa na wazee wa humu . Nichukue nafasi hii kuwauliza wazazi wa Arusha ni shule gani ya international nzuri kwa secondary na nursery. Muongozo wenu ni muhimu sana .
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DC wa Rungwe, Jaffar Haniu azindua ujenzi wa Barabara ya Ndulilo - Itete yenye urefu wa Kilometa 11.38

    Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amezindua ujenzi wa barabara ya Ndulilo mpaka Itete kwa Kiwango cha Lami inayounganisha Kata ya LUFINGO na KYIMO yenye umbali wa KM 11.38 kwa gharama ya Shilingi Bilioni 8.9, leo tarehe 24.8.2023. Akimtambulisha Mkandarasi anayetekeleza Ujenzi wa...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Rais wangu Samia ni nini kinashindikana kuwaondoa hao wakazi wa Ngorongoro wanaoomba kuondolewa Ngorongoro?

    Serikali ilianzisha mpango wa kuwatoa wananchi ktk hifadhi ya Ngorongoro, wamekubali kwa hiari yao na wamejiandikisha tangia mwaka jana lakini bado serikali haiwahamishi kuwapeleke Mosmera au sehemu nyingine yoyte maana wako tayari. kila siku wanalalamika kwanini hawaondolewi, kuna nini huko...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Watu ambao hugombania usafiri wa umma kama wakazi wa Mbagala huishi maisha marefu?

    Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kwenye gazeti la Washington Post umesema watu ambao hugombania usafiri wana nafasi kubwa ya kuishi maisha marefu na kuepukana na baadhi ya saratani. Kwa Dar es salaam, wakazi wa mbagala wanajulikana kwa kugombania gari na kupambana kupata nafasi ama kiti cha...
  18. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wakazi amlipua Diamond vikali

    Kupitia account zake msanii wakazi amemlipua vikali msanii boss wa wasafi diamond.. NASIBU USIPOTOSHE WATU, KWA KUPINDISHA UKWELI NA KUONGEA UNAFIKI. Nimeona clip ya interview yako. Maelezo yako sio sahihi kuhusu soko la muziki la nje, na nashangaa wewe kujidai unahubiri unity na kutokatishana...
  19. Unasemeje

    JamiiForums Tanzania Tahadhari: Wakazi wa Mikocheni mpaka Ubungo Sheli Kesho Msitoke Nje

    Kama kuna kitu unataka kununua kwa matumizi ya kesho na unaishi kwenye maeneo tajwa hapo juu, tafadhali nunua leo. Pia wanaopanga kwenda kanisani nivema mkaabudu majumbani. Kuna hatari inawanyemelea huko. Ni hivi, kesho ntakuwa najifunza kuendesha pikipiki na ntatumia hiyo barabara hivyo...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Aweso na Mkurugenzi Mkuu DAWASCO tusaidieni wakazi wa Mbezi

    Waziri wa Maji pamoja na Mkurugenzi mkuu wa DAWASCO tunaomba mtukwamue sisi wakazi wa Mbezi hasa Mpiji, Msumi na Msakuzi ambao DAWASCO na wafanyabiashara wa magari ya maji wamekuwa wanatupa mateso sana. Ni dhahiri kutokana na watendaji wa DAWASCO na wafanyabiashara inaonekana hawataki kabisa...
Back
Top Bottom