wakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. W

    JamiiForums Tanzania KERO Morogoro: Wakazi wa Maeneo ya Manyuki mwisho tunateseka kwa Shida ya Maji, yanatoka mara 1 tu kwa Wiki.

    Wana morogoro maeneo ya manyuki mwisho tuna teseka na Maji ya Serikari Maana kuna mambomba lakin maji yana toka jumanne tu kila Week Licha ya kutoka mara 1 bado yanakuwa hayana nguvu kiasi kwamba yanashindwa kupanda kwenye Matenki na kutulazimisha kubebelea Ndoo na Madumu Sasa hii imekuwa...
  2. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wakazi wa Dar

    Ni changamoto gani sugu mnakutano nazo kuhusiana na swali zima la makazi? Je, mnakutana na ugumu wa kupata vyumba,nyumba,viwansehemu za kuishi n.k Niambie hapa chini kwenye comment ipi ni changamoto yako sugu linapokuja swala la makazi kwa hapa Dar es salaam?
  3. passion_amo1

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Gongo la Mboto kuelekea Chanika tunasubiri kwa hamu awamu mpya ya ujenzi wa mwendokasi

    Watanzania wenzangu ni matumani yangu mu buheri wa afya, mliopo na Matatizo mbali mbali muwe na subira na kutokata tamaa hata mnapohisi kushindwa. Leo katika pita pita zangu nikakutana na uzi wa dada Janeth Thomson Mwambije akiwa amekutana na mkuu wa wilaya ya ILALA mheshimiwa Edward Jonas...
  4. Mwangajamii Tanzania

    JamiiForums Tanzania Submeter za Kisasa. Wakazi wa Mbeya tumewafikia

  5. CONSISTENCY

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar es salaam kulazimika kutembea na oksijeni baada ya miaka mitano

    Profesa wa Chuo kikuu cha Dodoma (UDOM), Julius Nyahongo amesema kuwa miaka mitano ijayo, wakazi waishio Dar es Salaam watalazimika kutembea na oksijeni kutokana na ongezeko la joto. Profesa Nyahongo amesema kuwa ongozeko hilo la joto linachangiwa na ukataji wa miti kiholela hali inayohatarisha...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Wahindi wamwaga chozi, watolewa vitu vyao nje mji Mkongwe

    Unguja Zanzibar Kesi ya umiliki wa nyumba Mjini Zanzibar, iliyosikilizwa katika Mahakama Kuu Tunguu Zanzibar Shehia ya Mnazi Mmoja mji mkongwe Zanzibar aelezea mkasa mzima Narendra Kanji Jiwa & Rekha Kanji Jiwa v. Raza Hassanali Kassam Bachoo & Two Others (Civil Application 130 of 2023)...
  8. P

    JamiiForums Tanzania Jambo TV: Wakazi wa Dar wamshukuru Rais kwa huduma ua umeme kurejea!

    Yaani kuzungumza na watu wawili ndio imekuwa "Wakazi wa Dar"? Jambo mmeanza kuzingua. ===== Wakazi wa jiji la Dar es Salaam wamemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kutokana na huduma ya umeme kurejea baada ya kuwapo kwa hitilafu katika gridi ya Taifa...
  9. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Bagamoyo Day Trip: Kwa Wakazi Wa Dar & Pwani

    Poleni kwa hustling and bustling za mjini Dar. Kuna hii "day trip" ya kwenda Bagamoyo unaweza kwenda na kujifunza vitu mbalimbali. Sio mbali sana, ni kilometa 70 kasoro kutokea Ubungo, na unaweza kwenda kwa usafiri wako (karibia masaa mawili kutokea Ubungo) au ukaenda kwa usafiri wa umma...
  10. Nsanzagee

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Bandari ya Bagamoyo uliingia laana baada ya wakazi wake kudhulumiwa na EPZ

    Bagamoyo ni Bagamoyo tu na siyo Sehemu nyingine yoyote. Wazee wa Bagamoyo waliwahi kumzuia Magufuli kupitisha barabara kuu inayoelekea Tanga kutokea Dar isipite mjini kwa sababu barabara hiyo ilitakiwa kwanza, kubomolewa kwa nguzo moja hivi ya kimakumbusho ambayo pia hutumika kwa mambo ya...
  11. A

    JamiiForums Tanzania KERO Dodoma, Ipagala B tunasumbuliwa na adha ya kujaa kwa maji majumbani msimu huu wa mvua

    Samahani kwa sisi Wakazi wa Dodoma sehemu moja wanaita Ipagala B shule ya msingi kuna adha ya kujaa maji hasa kwa kipindi hichi cha mvua. Kuna kipindi maji yalijaa mengi sana yakaingia mpaka ndani na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, TARULA na mpaka zima moto kwa ajili ya kuchimba mtaro wa kuruhusu...
  12. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila: Wakazi wa Dar kuzoa takataka ni ajira

    Wanchi wa Mkoa wa Dar es Salaam, wametakiwa kuchangamkia fursa ya Takataka zilizopo kwenye mitaa yao, kwani zinaweza kuwa chanzo cha mapato na kuondokana na tatizo la ajira ambalo ni janga kwa watu wengi. Hayo yamesemwa na Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila wakati anafanya ukaguzi...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA yawapa uhakika wa huduma ya Maji wakazi wa Bonyokwa na Kisukuru

    Mradi wa kuboresha huduma ya maji Bonyokwa uliofikia asilimia 70 ya utekelezaji wake huku ukihusisha ujenzi wa bomba kubwa na kufunga pampu ya kusukuma maji (Booster pump) unatajwa kwenda kujibu changamoto za kihuduma katika maeneo hayo. Kukamilika kwa kazi hii kutasaidia kuongeza upatikanaji...
  14. Tatu

    JamiiForums Tanzania Tatizo la maji Mjini Arusha sasa limekuwa sugu

    Tatizo la maji mjini Arusha sasa limekuwa sugu. Inakuwaje maji yanakatwa kwa zaidi ya siku tatu bila accountability yoyote? Shida hasa ni nini? Kumekuwa na mvua za kutosha Arusha na mikoa yote kwa ujumla kwa hiyo suala la upungufu wa maji isiwe kisingizio. Kwa kweli hii hali haikubaliki hata...
  15. B

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO na DAWASA mpaka mchukue roho zetu wakazi wa Mbezi Beach ndio mfurahi?

    Salaam kwenu wana JF, TANESCO na DAWASA mnatutaka nini wakazi wa Mbezi Beach? Umeme mnakata maji maji mmekata mnataka tuishije sisi? Mnaona raha watu tunavyosononeka na kutukana kila siku kwa hii dhulma mnatufanyia? Yaani hili fukuto ndani kukaa mateso nje huwezi kukaa mbu zikufanye chakula...
  16. dalalitz

    JamiiForums Tanzania Lord Eyez: Hata 1994 tulikuwa hatu-rap anavyo-rap 'Wakazi' sasa

    Inaonekana ni 'Clip' ya karibuni ndani ya Onyesho la kimataifa la SAUTI ZA BUSARA, Zanzibar. TUKIO: Mtangazaji anamsogolea mkongwe, Mwana-HIPHOP-Mahiri, 'Mweusiiii' Lord Eyez. Huku onyesho likiwa linaendelea Stejini na anamdodosa 'Lord Eezy' maoni yake kwa Msanii mwenzake aliyeko stejini wakati...
  17. BigTall

    JamiiForums Tanzania KERO Wakazi wa Mtaa wa Mshikamano -Mbezi Louis (Dar) hatuna huduma ya maji na Mamlaka zipo kimya

    Huku Mbezi Louis maeneo ya Mtaa wa Mshikamano Jijini Dar es Salaam hakuna maji ni mwezi sasa (Hadi muda naandika andiko hili Februari 10, 2024). Mara chache yanayoka usiku mwingi, Watu wanasumbuka kuamka mida hiyo na kukuta maji yanayotoka ni machafu balaa. Imagine kukaa mwezi mzima maji...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa kata ya Ijuganyondo katika Manispaa ya Bukoba wana katika hatari ya kukumbwa na mafuriko

    Kuna kipindi nilibahatika kwenda Moja inaitwa Ijuganyondo. Kuna sehemu Kuna shule ya Msingi inaitwa Mushemba Trinity Primary School pembeni Kuna shimo kubwa sana lilichimbwa kutoa changalawe ya kutengeneza barabara Cha ajabu lile shimo lipo karibu na Makazi ya watu, pia lipo karibu na shule...
  19. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Hitilafu ya Umeme yawakosesha Maji wakazi wa Dar na Pwani

    Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA) inawatangazia wananchi wa mikoa ya Dar es salaam na Pwani kuwa kumekuwa na ukosefu wa huduma kutokana na hitilafu katika mfumo wa umeme wa Gridi ya Taifa. Taarifa hiyo imetolewa leo Jumamosi Februari 3,2024 na kitengo cha...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Wakazi wa Dar mnakumbuka kauli ya RC?!! Poleni kwa mafuriko!!

    Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC. Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
Back
Top Bottom