wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hamza Nsiha

    Ni wakati dhahiri wa kutafakari maendeleo ya sayansi na teknolojia katika nchi yetu

    Ndugu wanaJamiiForums ni matumaini yangu mu bukheri wa afya. Siku chache tumepokea na kushuhudia ajali mbaya iliyotokea mjini Bukoba. Suala ni kuwa mpaka sasa tumekuwa katika harakati za kuijenga nchi yetu katika misingi bora ya sayansi na teknolojia ya hali ya juu kwa kuandaa miradi mbalimbali...
  2. Kamanda Asiyechoka

    Serikali ya CCM inatufanyia mbaya watanzania. Inatumia bil 733 kununua ndege wakati maji ya kunywa vijijini na mjini ni hakuna

    Hizi ndege haziwezi kumsaidia mwananchi wa kawaida. Hapa kuna siasa za kiswahili na uhuni uliokubuhu.
  3. R

    Tuwe watulivu wakati uchunguzi unaendelea, imeisha hiyo

    Kama kawa kama dawa. Wakisikia mbunge fulani kafariki hivyo uchaguzi utarudiwa, fasta bajeti 5bn zinapatikana mwenyekiti wa tume uchaguzi anatangaza mchakato . Wakisikia CHADEMA inafanya mkutano, fasta saa moja nyingi sana vikosi vinamwagwa, magari ya washa washa kibao kama upupu. Tuwe...
  4. Lord Denning

    Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  5. GENTAMYCINE

    Wabunge akina Sanga na Shigongo mnapata wapi Jeuri ya Kukemea Ufisadi wakati nanyi mmeingia Bungeni Kifisadi?

    Tena Wewe Sanga ( mwana Simba SC Mwenzangu ) nakujua ndani nje na hata ulivyoupata huo Ubunge wako hivyo nakuonya nyamaza sawa? Na Wewe Shigongo ndiyo kabisa una Dhambi za Kutosha na Madudu ya kila kupitia Kampuni yako ya Global hivyo nawe nakuonya nyamaza sawa? Halafu mlivyonikwaza zaidi...
  6. MamaSamia2025

    Viongozi wa Dini wakemee pia Uharibifu wa Mazingira wanapohimiza watu waache dhambi ili mvua zinyeshe

    Pichani ni mti niliokuta umekatwa sehemu ambayo hakuna miti kabisa na kuna shule ya sekondari. Na pia eneo ambalo mti ulikuwepo sio hata uwanja wa mpira. Mimi kama mpenda mazingira nikajiuliza maswali mengi sana yanayoweza kuwa sababu ya kukata huu mti nikakosa sababu yenye mashiko. Nimepanga...
  7. The Assassin

    Wakati nchi iko kwenye changamoto lukuki, Rais, Makamu wa Rais na Waziri mkuu wako nje ya nchi

    Wakati nchi ikiwa kwenye changamoto lukuki, mfumuko wa bei, hakuna maji, hakuna umeme, hakuna mikopo watoto wa vyuo hawajalipwa pesa cha ajabu viongozi wakuu na mawaziri waandamizi wako nje ya nchi kwa inayoitwa mialiko ya kitaifa. Rais wa nchi yuko China, Makamu wa Rais yuko Ivory Coast...
  8. 2019

    Ni wakati sasa Serikali kupiga marufuku club ya Yanga kutumia uwanja wa Mkapa,inadhalilisha nchi

    Hii mara nyingine tena nchi inaibika sababu ya club moja tu. Uwanja wa Mkapa una hadhi yake, unapoutumia tumia kuleta sifa sio aibu. Kwa sasa bora mkacheze Kirumba tu.
  9. MakinikiA

    Ewe Taifa la Marekani ni wakati sasa ujirekebishe tukuheshimu kama kiongozi

    Ni ukweli usiopingika majirani hawa kihistoria walikuwa wanakula pamoja wanacheka pamoja wanacheza pamoja lakini sasa wamekuwa paka na panya Korea Kaskazini na Korea Kusini sababu ni wewe. Ukraine na Russia sababu ni wewe
  10. J

    Mzazi wakati unasomesha usisahau kuwekeza kwaajili ya kesho yako

    Habari wana JF, Asilimia kubwa humu wazazi wetu wameishia elimu ya msingi na wengine hawakusoma kabisa, lakini wamepambana kwaajili yetu na kwakiwango kikubwa wamefanikiwa tumesoma sekondari na wengine mpaka chuo. Hata wewe hapo ulipo unapambana mwanao afikie elimu ambayo wewe hukufika na ili...
  11. Idugunde

    Tuna Waziri wa Nishati asiyefaa hata kidogo. Huwezi kulazimisha Watanzania kupikia gas wakati purchasing power yao ni duni

    Kwamba asilimia 80 ya watanzania wanaoishi maisha ya kubangaiza waweze kupikia gas? Hii ni ndoto. Yaani mtu anaishi chini ya dola moja halafu unapigia debe Taifa gas? Huku ni kuwatukana raia masikini.
  12. Kijakazi

    Wanaume (baadhi) wa Tanzania kufurahia Sensa, Low IQ!

    Majibu ya Sensa yameonyesha kwamba Wanawake ni wengi zaidi kuliko Wanaume, baadhi ya Wanaume wanaona ni jambo zuri kwao, lakini ni wajinga kwani wasichokijua ni kwamba Wanaume ni wachache kuliko Wanawake kwa sababu Wanaume wanakufa mapema kuliko Wanawake, Kibaologia uwiano kati ya Wanawake na...
  13. P

    Kuombea mvua wakati ni huu viongozi wa dini sauti zenu zisikike

    Mwaka jana ukame ulikuwa wa kutisha kanda ya kaskazini nzima. Basi linasimama pale Bombo na ukitazama wauza matunda hali ni mbaya ya kile wanachokiuza. Nakumbuka niliuziwa machungwa ya kuvundikwa hakukuwa na matunda mengine zaidi. Mwezi kama huu mwaka jana. Hali naiona haina tofauti sana na...
  14. Meneja Wa Makampuni

    Tatizo la vijana waliosomea mafuta na gesi kuzagaa mtaani wakati kila siku tunasikia miradi ya mafuta na gesi inazungumziwa na Serikali

    Nimeona hili leo niliseme pengine viongozi wetu hawalifahamu swala hili: Kweli kumekua na tatizo la vijana wetu waliosomea fani za mafuta na gesi kuzagaa mtaani tangu fani hizi zilipo anzishwa mwaka 2013. Asilimia 80 ya vijana waliosomea fani hizo hawaja ajiriwa mpaka sasa. Na walianza kuhitimu...
  15. comte

    Wakati wasomi walipokuwa waadilifu

  16. R

    Wanaosemwa wanautaka Urais ndani ya CCM, Je ni Dharau tu? Mbona wakati wa Chuma waliufyata wote?

    Kuna tetesi kila mahali kuwa ndani ya Chama cha Mapinduzi makundi kwa makundi wanajipanga kuweka upinzani hapo baadaye 2025 uchaguzi ujao. Ofcourse! Watasema ni haki yao ya kikatiba na demokrasia ndani ya chama chao, jambo la kushangaza ni kwanini sasa? Mbona wakati wa JPM wote waliufyata...
  17. LIKUD

    Huu hapa umri wa Bikira Maria wakati anamzaa Yesu

    Kwa mujibu wa tamaduni za Wayahudi za kipindi hicho wanawake waliolewa wakiwa na umri wa miaka kumi na mbili. Wakichelewa sana BASI ni kumi na tatu au kumi na nne. Bikira Maria alibeba ujauzito wa Yesu akiwa na miaka 12 au 13 na alijifungua akiwa na umri wa miaka kumi na tatu au kumi na nne...
  18. Komeo Lachuma

    Hapa mzee amezingua kinyama. Aambiwe tu asifanye issue kuwa ya jamhuri wakati ni family matters

    Inatokea mtu unaenda kistaarabu unamwambia mzee. Nigee changu nikafie mbele. Mnasumbuana sumbuana kwa shingo upande unachukua unalala mbele. Sababu mzee alikuwa mzembe hakukufundisha namna ya kutunza na kuzalisha mali. Unapotezea kwa mademu . Unawalamba kinyama aisee...kula sana michembe na...
  19. P

    Saa mbovu Chalamila wakati mwingine inapatia majira

    Hotuba za mkuu wa Mkoa wa Kagera zinajaa aina fulani ya ucheshi na ni wa kipekee. Huwa ni wa kwake mwenyewe haufanani na wa mwanasiasa mwingine yoyote. Maongezi yake yanafikirisha lakini yanawekwa hadharani kwa njia ya kuchekesha. Wapo wanaodhani kuwa ameupata ukuu wa Mkoa kama bahati tu, kama...
  20. May Day

    Kuwepo utaratibu kuwalinda watoto viwanjani wakati wa mechi

    Mara kadhaa nimeshuhudia watoto wadogo walioambatana na wazazi au walezi wao uwanjani wakiwa katikati ya watu huku akiwa amezungukwa na ile midude wanayopuliza almaarufu kama vuvuzela. Nilikuwa sijui kero ya haya madude mpaka wakati fulani Bwana mmoja alikuja nalo mahali nilipokuwa nafuatilia...
Back
Top Bottom