Nimeweka hii snapshot inayoonesha muswada wa mabadiliko ya sheria ya chombo chetu cha Intelejensia.
Kwenye mapendekezo hususan kifungu cha 19 wanasema hapo kuwa, jinai inaweza kufanywa na TISS personels wakiwa wanatekeleza majukumu yao kwa uaminifu....
Jambo linalonistua ni kwamba, wengi...
Hii inawakuta watu wengi kwenye mapenzi, mtakuwa mashahidi kwamba kuna muda kama mapenzi yanapungua kwa mwenza wako. Ili kuepuka hali hii ni vyema kila mmoja akawa mbunifu zaidi ili kulifanya penzi lenu liwe moto moto kila wakati. Moja ya eneo la kuzingatia, ni kitandani, yaani wakati wa tendo...
Hii ni kwa wajuvi wa mambo na trend readers and observers. Jana tunaona trend ya shutuma na majibu ya shutuma dhidi ya Rais Mwinyi wa Zanzibar, tunatulia.
Leo asubuhi tunaona trend ya shutuma dhidi ya Rais wa Yanga kutoka kwa mzanzibari feitoto ikiwa ni tuhuma nyingine masaa machache dhidi ya...
Swala la kufundishwa Cha kuongea kisheria Ni kawaida Sana ili kukwepa makosa ya kisheria.
Ila je kilichoongelewa kina ukweli au la.
Je feitoto alidanganya. Haya yanaweza thibitishwa kisheria ili tujue ukweli.
1. Fedha ya usajili m 100 Kupewa kwa mafungu. Account yake itasema.
2. Sms za...
Mimi siamini katika mikutano ya hadhara hasa ya upinzani baada ya uchaguzi. Sababu yangu ni moja, wapinzani hawana ufumbuzi wa kero za wananchi. Hii imeoneka wakati wa Kampeni ya 255 ya CHADEMA wanasema wanachukua kero ili wazipeleke kwa rais wakati Katibu mkuu wa wa CCM anaagiza na...
Mbunge Ester Bulaya amesema “Mkataba wa ujenzi wa Mradi wa Bwawa la Mwalimu Nyerere unaeleza mkandarasi akichelewa kukamilisha mradi anatakiwa kutozwa tozo, mradi ulitakiw akukamilika 2022 na taarifa zilizopi hautakamilika mwaka huu.
Amesema hayo Bungeni na kuhoji kwanini TANESCO hawajamtoza...
SERIKALI kupitia Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) imeanza utekelezaji wa mradi wa ujenzi Bwawa la Kidunda litakalojengwa mkoani Morogoro na kugharimu sh bilioni 335. Bwawa hilo litakua na uwezo wa kuhifadhi maji kwa miaka mitatu mfululizo.
Akiwasilisha taarifa...
Kusema ukweli iko hivi kwenye familia yetu tuko watoto 27 ukitoa walio tangulia, wakati niko mdogo baba yangu alinipenda sana ila cha ajabu ni mm pekee nilikuwa naongoza kwa kupigwa hata kwa makosa yasio stahili kupigwa.
Kuanzia chekechea mpaka la darasa la 3 nilikuwa nashika nafasi ya 2 mpaka...
Kiswahili sanifu kugida ni kuruhusu maji kutoka ndani ya chombo kidogo kidogo.
Hivyo ndivyo ilivyotokea huko India baada ya bwawa moja kukaushwa ili kuipata simu iliyotumbukia humo wakati wa kupiga selfie.
Simu hiyo ilikuwa ni ya aina ya Samsung yenye thamani ya dola 1200 mali ya bwana Rajesh...
Binafsi sielewi kwanini CHADEMA wanaamini katika haya maridhiano wakati swala dogo kabisa Kama la viti maalumu wanadai kuwafukuza wakiwa bungeni. Kesi mahakamani haiishi na wanaendelea kuwa huru na kuaminiana na CCM.
Binafsi siiamini viongozi hawana uelewa Mpana. Kuna Jambo nyuma sisi...
Rais wa Kenya, William Ruto amedai Watumishi wanaotumika kama Wakala wa Ukusanyaji Kodi kuwa wanajihusisha na rushwa na kushirikiana na wakwepa kodi hali inayochangia uchumi wa taifa hilo kuyumba.
Amesema "Ulaghai, kuchukua hongo na ufisadi wa jumla unaendelea kutawala shughuli za KRA (Mamlaka...
Kuwa wawajibikaji katika mitandao ya kijamii kunahusisha kuchukua hatua za kuwajibika na kuheshimu wengine wakati tunatumia jukwaa hilo. Hapa kuna miongozo ya jumla ambayo inaweza kusaidia kuwa na uwajibikaji katika mitandao ya kijamii:
Kuwa na ufahamu: Jifunze na elewa sheria na sera za...
SERIKALI YATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA MIRADI KWA WAKATI
Mbunge wa Viti Maalumu Mhe. Jackline Msongozi ameiomba serikali kukamilisha ujenzi wa barabara kwa wakati bila kusubiri misimu kwa kujenga vipande nusu nusu.
Ameyasema hayo wakati akichangia hotuba ya wizara ya ujenzi na uchukuzi...
Umetoa bonge la wimbo, 'Mahaba'. Ni booonge la wimbo, HAKUNA UBISHI. Views zinapanda tu bila kushuka mwezi wa tatu huu sasa. Ingawa shooting si bora (kwa mtazamo wangu lakini watu wameipenda hivyo hivyo).
Badala ya kutulia kidogo kwa muda ili utuletee kitu zaidi ya kile au ikishindikana basi...
Kwanza kabisa napenda kuweka kumbukumbu sawa, mimi ni miongoni mwa member wa JF ambaye sikuwahi kumkubali Magufuli na mara zote (mpaka sasa hivi) nimepingana na siasa chafu na siasa za kikatili zilizokuwa zikifanywa na Magufuli na utawala wake, yaani mimi ni against Magufuli. Kwangu mimi rais...
Ni wazi Mbowe ameishiwa na hana cha kuongea. Anazungumzia sana jinsi ambavyo asubuhi alikuwa mfungwa jioni akawa ana kula kuku Ikulu. Na anashukuru sana. Yaani amesahau hata ni nani alimkamata na nani alimwachilia.
Akiwa anaongea unamwona tu kila dakika analamba asali anakuja tena kuongea...
Kutokuwa na uwiano wa kichwa cha mtoto na nyonga ya mama wakati wa kujifungua ''Cephalopelvic disproportion (CPD)'' hutokea wakati kuna kutolingana kati ya ukubwa wa kichwa cha mtoto na saizi ya nyonga ya mama kupitia njia ya uzazi kutokana na fupanyonga iliyobana au yenye umbo lisilo la...
Hello, niende kwenye mada, why michepuko ama wezi wa penzi wana vimba sana wakati mwenye mume au mke, au mwenye mpenzi ashagusa sana shoo na toka kitambo. Sasa unakuta sisi na wao visokolojo tunavimba sana na tantalila nyingi sana kwenda kwa wenyewe, hivi hapo uvimbaji unajengwa na kipi cha...
Tunaishi kipindi baada ya unabii. Mambo yaliyotabiriwa kumhusu Yesu Kristo yalishatokea. Msione Kitabu cha Ufunuo kimewekwa cha mwisho katika mpangilio wa vitabu vya Biblia mnafikiri hayo ni mambo ya baadaye. Ni kama unabii wa Isaya au manabii wengine ulishatokea.
Maono ya Yohana juu ya dunia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.