Watanzania ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa

fazili

JF-Expert Member
Jun 10, 2011
13,824
18,568
Katiba mbovu

Uchumi mbovu

Utendaji mbovu

Mikataba mibovu

Mipango miji mibovu

Mifumo ya haki mibovu

Uongozi na usimamizi mbovu

Haya yote ndio matunda ya CCM.

Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
 
Tatizo Si kuondoka CCM ,,shida Ni nani ataongoza?

Zimwi likujualo halikuli likakwisha.
Hata wakoloni walikuwa wanasema hatufai kupewa uhuru maana hatuna uwezo wa kujitawala. Hivyo huu mtazamo wako hata wakoloni walikuwa nao. Kama CCM imeweza kutawala hadi leo, tena sehemu kubwa ni bila ridhaa ya wananchi, hakuna chama kitashindwa.
 
Natabiri, kitatokea chama kipya chenye nguvu ambacho kitakua kinyume na utawala huu na kias flani kitakua na itikadi za JPM.

Hicho kitapendwa na wananchi na hatimaye kuchukua dora.!

Keep this Quote.
 
Katiba mbovu

Uchumi mbovu

Utendaji mbovu

Mikataba mibovu

Mipango miji mibovu

Mifumo ya haki mibovu

Uongozi na usimamizi mbovu

Haya yote ndio matunda ya CCM.

Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Watawala na Marafiki zao ndio Wafanyabiasha wakubwa na Matajiri katikati ya Wananchi Masikini wa Kipato na Maendeleo.
 
Naomba muorodheshe majina ya wanaccm wote manake yanaweza kunadilisha jina la chama tu.Matendo yao yakawa yaleyale
 
Hata wakoloni walikuwa wanasema hatufai kupewa uhuru maana hatuna uwezo wa kujitawala. Hivyo huu mtazamo wako hata wakoloni walikuwa nao. Kama CCM imeweza kutawala hadi leo, tena sehemu kubwa ni bila ridhaa ya wananchi, hakuna chama kitashindwa.
Kama chama kinashindwa kujiongoza chenyewe kitaweza ongoza inchi?

Yapo mambo ya kufanya majaribio Ila sio uongozi wa inchi..
 
Katiba mbovu

Uchumi mbovu

Utendaji mbovu

Mikataba mibovu

Mipango miji mibovu

Mifumo ya haki mibovu

Uongozi na usimamizi mbovu

Haya yote ndio matunda ya CCM.

Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Je, tuchelewe mara ngapi???
 
Katiba mbovu

Uchumi mbovu

Utendaji mbovu

Mikataba mibovu

Mipango miji mibovu

Mifumo ya haki mibovu

Uongozi na usimamizi mbovu

Haya yote ndio matunda ya CCM.

Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
ccm ilitakiwa kuondolewa miaka mingi sana kabla ya kuzoe madaraka, sasa hivi kageuka mwenye nyumba sio mpagaji tena.

Ukiona mpangaji anauza nyumba nani alaumiwe?
 
Katiba mbovu

Uchumi mbovu

Utendaji mbovu

Mikataba mibovu

Mipango miji mibovu

Mifumo ya haki mibovu

Uongozi na usimamizi mbovu

Haya yote ndio matunda ya CCM.

Watanzania huu ni wakati wa kuondokana na CCM la sivyo tutakuwa tumechelewa.
Harafu twende chama gani Sasa?
 
Kama chama kinashindwa kujiongoza chenyewe kitaweza ongoza inchi?

Yapo mambo ya kufanya majaribio Ila sio uongozi wa inchi..
Sio Tanzania boss, hii nchi ya makondoo unaburuza tu. Kama kiongozi anaweza kwenda mahali hakuna maji wala umeme, watu wanashare maji machafu kwenye lambo na mifugo, huku akiwa na VXR na maji fresh kwenye chupa ikiwa kwenye dashboard, na bado watu wanamshangilia akiongea pumba, nani atashindwa kuongoza nchi ya maboya wa hivyo?

Unaweza kuogopa kufanya majaribio kwa nchi kama US yenye kila kitu, sio kwenye nchi hii ambayo bado watu wako kwenye elimu ya kunawa mikono wakitoka chooni.
 
Mbona huko USA ndo hakuna Demokrasia kabisa nafuu kwetu .
 
Back
Top Bottom