wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. LorenzoA

    JamiiForums Tanzania Wakati magari mengine yakitupwa na kutelekezwa, Tamisemi waomba magari ya Bil 16, kununua magari 81

    Wakuu Salam, Hata kama nchi haina vipaumbele, hata umasikini wa watu wetu hatuuoni? Katikati ya kutupa magari tunanunua megine...? Kairuki kaomba mengine ya bil 16, magar 81. Tizama video ya magari yaliyotupwa👇 ====== Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni...
  2. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Ni wakati gani ndani ya CCM kulikosekana Ufisadi na mafisadi?

    Tangu mwaka 1977 CCM iko madarakani na wakati wote huo mpaka sasa ufisadi na mafisadi ndiyo mtindo wa kuendesha nchi kutoka CCM. Kama kuna mtu anaweza kutuambia kwa uhakika ni wakati gani kulikuwa hakuna Ufisadi na mafisadi ndani ya CCM, atuambie tujue!!
  3. Okrap

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kutomtegemea Mwanaume

    Kama mwanamke mpaka leo umebweteka unamsubiria mwanaume akuletee hela pole. Hela za wanaume zina manyanyaso sana pamba upate chako ujivunie usikae kumtegemea mwanaume akupe pesa please amkeni. Kuna wanawake mpaka hela ya pedi wanaomba kwa mwanaume ni aibu sana, inatakiwa ata mwanaume asijue...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Marais wengi wa Afrika ni wanene wakati Ulaya, Amerika na Asia ni Wembamba?

    Ndg wasomaji kwanini maraisi wengi wa Afrika ni wanene wakati Marais karibu wote wa Ulaya, Amerika na Asia ni wembamba? Najiuliza Nini kinasababisha hayo! Je, Waafrika ndivyo tulivyoumbwa? Au ni kula pasipo kipimo. Au ni utaahira maana wengine wanahusisha unene na tatizo la akili, akili...
  5. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuona mtu anafunga magoli mawili kwa wakati mmoja

    Wanaomwita Jini hawako mbali na ukweli. Tazama alipiga mgoli wa kichwa akipokea krosi toka kwa Kibu Denga. Hilo lilikuwa goli tayari. Mara nyingi majini hayana huruma maana. Jini likaona litoe show watu wafurahi na viingilio vyao. Likaganda hewani dakika 2 linapiga mgoli wa Haaland. Hapo...
  6. Papasa

    JamiiForums Tanzania Wakati Mama mwenye nyumba akinunua goli kwa milioni 5, wananchi Ubungo wakosa daraja la milioni 12

    Baadhi ya wanawake katika mtaa wa Maramba Mawili kata ya Msigani katika manispaa ya Ubungo wanalazimika kupitia kwa kutambaa katika kivuko kinachotenganisha mtaa wa Zebra na Azimio kufuatia kivuko hicho kutokuwa salama wakati wa kuvuka Inaelezwa kuwa hali hiyo wamedumu nayo kwa zaidi ya...
  7. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa Masanja Kadogosa kukaa pembeni

    Kuishia kuvunja bodi ya TRC na kumuacha Mkurugenzi Mkuu TRC, Masanja Kungu Kadogosa ni UOGA au HAGUSIKI? Kuna hasara ya Sh 31bn TRC Kama John Gervas Nzulule aliyekuwa Mtendaji Mkuu Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA) ametenguliwa kwa hasara ya Sh 35bn basi ni wakati wa Masanja Kadogosa...
  8. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania RPC Muliro: Wanaojitoa Ufahamu (Kujizima Data) wakati wa Sikukuu wasije Kutulaumu wakilia hizo Sikukuu Jela

    "Unalewa hovyo, unafanya Ngono Garini wakati Gesti ziko tele na una Kwako, unaendesha hovyo Gari, unafanya kila mbwembwe Mitaani au Barabarani na kufanya Upuuzi wote Siku za Sikukuu mahala pekee ambako utaila vyema hiyo Sikukuu yako ni Jela. Katika Sheria za Nchi hakuna mahala pameandikwa kuwa...
  9. fundi radio

    JamiiForums Tanzania Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres

    Tuungane kwenye maombi ya amani wakati tukisherehekea Pasaka na Ramadhani - Guterres Reem Abaza wa UN News akizungumza na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa António Guterres kuhusu ziara zake za kila mwaka za mshikamano wa Ramadhan. 6 Aprili 2023Amani na Usalama Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa...
  10. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UCHAGUZI TLS 2023: Kwanini ni wakati wa Sungusia

    Kwa heshma na taadhima naomba kura kwa Harold Sungusia. Ni wakati wa TLS kutoka kwenye mkwamo na kurudi kutumikia wanachama. Sungusia ni nani? Mbali na uzoefu wake wa zaidi ya miaka 20 kwenye uwakili na kufanya kazi na mashirika mengi ya ndani na kimataifa, Sungusia ni mtu mwenye uzoefu mkubwa...
  11. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Jikumbushe Haya 9 Wakati Unaishi Na Mwanamke, Ili Uishi Kwa Amani.

    Kuishi na mwanamke inapaswa iwe raha. Ukiona huna raha kuishi naye, tambua kuna sehemu umeyumba. Kosa kubwa wengi hufanya ni kuishi na mwanamke anayemtesa sababu anaogopa kumuacha. Anaogopa kuanza upya kutafuta mwanamke mwingine. Anaona aishi na huyo hivyo hivyo tu, maisha yasonge. Lakini tambua...
  12. Infinite_Kiumeni

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kumdanganya Mwanamke wakati Unamtongoza

    Wakati unajifunza kutongoza unaweza danganya. Utadanganya kwa vile vitu vinavyokufanya uonekane una thamani. Nyumba, pesa, gari au unajuana na watu wakubwa. Lakini haina maana ndo ukalie njia hiyo hiyo miaka yote. Ni muhimu ujifunze kumvutia na kumtunza mwanamke kwa mfumo unaosema ukweli na...
  13. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi Dar es Salaam latoa angalizo kwa wanaotaka kufanya uhalifu wakati wa Pasaka

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linaendelea kusimamia mifumo ya kiusalama ya kuzuia matukio ya kihalifu, kwa ujumla hali ya Dar es Salaam ni shwari. Hata hivyo Polisi hawatasita kuendelea kufuatilia na kuwakamata watu wanaopanga njama na kutenda matendo ambayo ni kinyume na sheria...
  14. Akabi kemanya

    JamiiForums Tanzania Makonda na Sabaya wakati ni sasa wa kuhamia CHADEMA

    Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda Na hili kuidhihirishia jamii kuwa wao kama vijana waliingia kwenye mitego ya kisiasa bila kujua madhara...
  15. happyxxx

    JamiiForums Tanzania Awa ndio malkia wa nguvu wa wakati wote

    1. Mama Samia 2. Anne Makinda 3. Rita Paulsen 4. Mama Mongela 5. Mwamvita Makamba
  16. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Wakati manara anatutukana mashabiki wa Yanga akujua vice president wakati huo ni shabiki wa yanga

    Haji manara wakati yupo Simba aliwahi kusema pale Yanga mashabiki wenye akiri ni baba yake na mzee kikwete. Wakati anasema hayo nadhani hakufikiria ya mbele au ndo mropokaji,raisi wa Tanzania mama yetu ni shabiki wa yanga je na yeye Ile kauli inamuhusu. Haji manara inabidi utuombee samahani...
  17. Logikos

    JamiiForums Tanzania Wakati tulilalamika miti Milioni 2 (Bwawa la JKN) Marekani wanakata miti 31.1m kila mwaka ili itumike chooni

    Lets put things in perspective watu walilalamika hapa Rejea - Takribani miti milioni 3.5 ilikatwa kupisha ujenzi wa Umeme JNHP (Stieglers) Ingawa matumizi ya Toilet Paper yanachangia about 15% ya deforestation Sisemi tuache kutumia huduma hii muhimu lakini tukumbuke wakati tunalaumiana...
  18. KIDUME20

    JamiiForums Tanzania Mbona Kikwete anacheka kila wakati 🤔

    Wakuu za sahizi nimekaa nikafikiri kwann Huyu raisi jk sijawahi kumuona akiwa na sura ya mbuzi au kuwa serious picha zote anacheka tu Hata hotuba zake anacheka tu Akipiga picha ni kicheko Akifanya hivi ni kicheko Kila muda ana smiling face. Wajuzi naombeni mnieleweshe maana ya hii Kitu ni...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa

    Wanasayansi waelezea hatari za kifo cha ghafla wakati wa tendo la ndoa 3 Septemba 2021 Imeboreshwa 21 Januari 2023 CHANZO CHA PICHA,MALAYALAMEMAGAZINE.COM Tendo la ndoa hufurahisha, na kadiri wakati umeendelea kusonga tangu enzi za mababu zetu, ni tendo ambalo limetokea kufurahiwa na wanaume na...
  20. NetMaster

    JamiiForums Tanzania Na huu ndio wakati rasmi mashabiki wa Simba watatamani ardhi ipasuke wajifiche kwa aibu hizi zijazo, Kocha hawezi toboa msimu ujao

    Kesho kuna mechi ya Raja usiku saa saba, ikumbukwe mwarabu alishamvurumisha Simba tatu kwa mkapa, Kesho Simba wasipokuwa makini watabanikwa wazima wazima kuweka rekodi ya aina yake Robo fainali wamevamia mtumbwi wa vibwengo wanaenda kutana na Mamelodi. Robo fainali hawatoboi kwa Mamelodi...
Back
Top Bottom