Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,331
- 8,254
Katika umri wa miaka 14, Kairan Quazi amekuwa mhandisi wa programu katika kampuni ya Elon Musk SpaceX.
"Sina wasiwasi juu ya uchovu," asema, "kwa sababu haya ni mapenzi yangu. Sio kitu ambacho mtu amenilazimisha kufanya."
Wakati watoto wengi wa umri wa miaka 14 wanajiandaa kuingia shule ya sekondari mtoto Kairan Quazi anajiandaa kuanza safari ya maisha yake ya kikazi katika katika kampuni ya mtandao wa satelaiti ya Elon Musk, Starlink, na kumfanya kuwa mhandisi wa programu za anga za juu mdogo zaidi kuwahi kutokea.
Je ukiwa na miaka 14 ulikuwa unafikiria kufanya nini kikubwa?