Wakati ni maelfu ya wanafunzi hudahiliwa kila mwaka hapo Law School, ni mawakili 195 tu watakaosajiliwa rasmi. Nyomi huishia wapi?

Hafla hiyo itafanyika katika ukumbi wa Karimjee tarehe 6/7/2023. Hii ni kwa mujibu wa tangazo la tume ya mahakama. https://www.judiciary.go.tz/web/index.php?r=announcements/pdf&id=204

Ila kwa kuwa Law school hudahili zaidi ya elfu moja kwa mwaka katika intakes zake zote mbili, ina maana wengi hishia kunawa tu!!
Nimesoma Law School. That place is hell.

Kwa mfano, Cohort moja inaweza kudahili wanafunzi 600, wakafaulu 79, waliosalia ni supp na disco. Mbaya zaidi, walimu wanajisifia kwa kufaulisha wanafunzi wachache!

Na sio wote wanaofaulu wanakuwa wamestahili, wengi wanafaulu kwa njia batili mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na fedha, connection (kwa mfano watoto wa Majaji na watendaji wakubwa Serikalini) n.k.

No wonder ndio maana tunakuwa na Mawakili incompetent mtaani. So sad!
 
Kama kuna wanaofaulu bila kustahili ina maana na upande wa pili wapo wanaofeli lakini hawakustahili kufeli bali hawakutendewa haki kwa kutokutoa ushirikiano kwenye rushwa!! Mungu wa mbinguni awakumbuke wale wanaoporwa haki yao!!
 
Hivi ukidisco unaruhusiwa kudahiliwa upya au ndio basi safari na ndoto zinakuwa zimeishia hapo?
 
Amen to the prayer!

You have said it all, mkuu.
 
Hivi ukidisco unaruhusiwa kudahiliwa upya au ndio basi safari na ndoto zinakuwa zimeishia hapo?
Unaruhusiwa mkuu. Ila uwe ume-disco kwa kutofanya mitihani vizuri.

Lakini uki-disco kwa ku-cheat; kwa mfano kuingia na chabo, unatakiwa usubiri miaka 3 au 5 ipite ndio udahiliwe tena (I am not certain, kama sio miaka 3 basi ni 5).
 
Nimesoma Law School. That place is hell.

Kwa mfano, Cohort moja inaweza kudahili wanafunzi 600, wakafaulu 79, waliosalia ni supp na disco. Mbaya zaidi, walimu wanajisifia kwa kufaulisha wanafunzi wachache!

Na sio wote wanaofaulu wanakuwa wamestahili, wengi wanafaulu kwa njia batili mbalimbali ikiwemo rushwa ya ngono na fedha, connection (kwa mfano watoto wa Majaji na watendaji wakubwa Serikalini) n.k.

No wonder ndio maana tunakuwa na Mawakili incompetent mtaani. So sad!

Keamba haya yanaendelea na watu wanakenua kama mang'ombe tu no wonder hata la DP World litapita kama tunavyo buruzwa na ya katiba au tume huru.

Bure kabisa.
 
Kama kuna wanaofaulu bila kustahili ina maana na upande wa pili wapo wanaofeli lakini hawakustahili kufeli bali hawakutendewa haki kwa kutokutoa ushirikiano kwenye rushwa!! Mungu wa mbinguni awakumbuke wale wanaoporwa haki yao!!

Mungu wa mbinguni siyo? Labda kwa vile mbingunikwenu vinginevyo hayo ni dua la kuku.
 
hii ndo Tanzania yangu nchi tajiri iliyojaliwa watu maskini wa fikra watu wanaojali maslahi yao badala maslahi mapana ya nchi wapo tayari wengine washindwe ili ndugu, jamaa na rafiki zao waende kwenye nafasi

hakuna haki Tanzania wengi wa waliofeli ni watoto wa wakubwa na wanaotoa rushwa za ngono Mungu atalipa siku ya mwisho na hatutaondoka kwenye umaskin kamwe
 
Kuna wengi wanapata maudhi hapo mtu unapiga supp za kutosha mpaka unapata wenge...Ada washakula wengine wanakimbia tu.
 
Hapo law school lazima kuna tatizo la msingi. Kwanza kwenye akaunti za wanafunzi huwa hawaoneshwi kiasi cha course work walizonazo. Kwa hiyo mtu anafanya mtihani wa mwisho bila kujua course work yake!! Lakini pia kwenye kalenda ya chuo wanaweka tarehe ya kufanya mtihani tu, lakini hakuna tarehe ya kutoa m atokeo ya mtihani. Lengo ni kumweka mwanafunzi kwenye giza na asijue kinachoendelea hadi kuja kutolewa matokeo katika siku isiyojulikana!!
 
Naona law school wako kibiashara zaidi!! Wanadahili wanafunzi kwa mamia wakati wanajua watakaoruhusiwa kupenya hawafiki hatta 50!! Kwanza ukidahili wanafunzi wengi uwezo wa kuwahudumia vizuri unakuwa haupo!! Lakini wanaitaka hiyo ada!!
 
Back
Top Bottom