Ramani: ilivyokua wakati Urusi inaparamia, na ilivyo sasa Urusi inajitetea

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,666
48,440
Ramani ya kushoto ni kipindi Urusi ilikua imeingiwa na mzuka wa balaa, na kujitutumua kuiparamia nchi ya watu, tulishuhudia mengi sana ikiwemo limsafara kuliwa na wabeba javelin, sasa Urusi imenywea ni hii hapa tunaiona ipo kwenye kujitetea au defensive, wanaendelea kurudishwa nyuma hatua kwa hatua, ekari kwa ekari....ramani upande wa kulia ndiko wanaendelea kuchinjwa.
Rais wao bwana Putin naye halali kwa amani, drones zinampumulia ikulu.....

isw-maps-comparison-march-22-july2023.webp



Clipboard02.jpg


Prior to Putin's invasion, Russia occupied approximately 16,000 square miles of Ukrainian territory, consisting of Crimea and parts of the Donetsk and Luhansk regions. But in the early weeks of the war, Putin's forces made quick gains in the northeast and southern parts of Ukraine.
Putin's soldiers seized portions of the area around the city of Sumy in northeastern Ukraine, as well as the Kharkiv region. To the south, Russia claimed control of the port city of Mariupol by April after first occupying Kherson Oblast.

During these early days of the war, Russians even attempted to take over the country's capital, Kyiv but were ultimately thwarted in one of the first major signs of Ukraine's resistance.
After focusing its attention in the south and east, Russia soon began encountering more unexpected military strength from Ukraine, and President Volodymyr Zelensky's forces increasingly took victories on the battlefields as aid from the West poured in to bolster his military.

Ukraine launched a counteroffensive last summer that eventually saw it retake over 500 settlements and over 4,600 square miles of territory between September 6 and October 2. This included the Kharkiv region, and later Ukraine was able to regain control of the city of Kherson in November.

Before the end of 2022, Ukraine had reclaimed approximately 54 percent of the land that Russia had captured during the war, according to an analysis by The New York Times of data provided by the ISW.
 
Kitendo cha Russia kushindwa kumaliza vita kwa mwaka wa pili sasa kinadhihirisha wazi kwamba ni joka la kibisa tu na hawana lolote na mpaka sasa vita bado vinaendelea hata wenyewe hawajui vitaisha lini.
Kitendo cha israhell kushindwa kuimaliza hamas mwezi wa tatu sasa huo unakuja kinaashiria nini!!!??
 
Back
Top Bottom