MulegiJr
Senior Member
- Sep 5, 2018
- 125
- 88
Jana nilikuwa Safarini kutoka Moshi Dodoma, nilipanda Bus ya Shabiby, tulipofika Babati tukashuka kula, nilipofika eneo la kuchukua chakula nikagundua Siku tatu mfulizo nimekula chipsi so siwezi kula tena chipsi nikasogea kwenye wali na Samaki nikavutiwa, nilipochukua msosi nikawaza kuchukua Tishu, nikimaliza nitatakasa mikono, nikachukua na maji ya buku, na kijiko, wakati wa kula kijiko kilitumika kuchotea wali tu, Je mboga nilikula na nini (Samaki aliyekaangwa)??? Na baada ya kumaliza kula nini kilitokea nilitembea na shombo hadi dodoma?!!! .......
USAFI wa mikono katika Safari za mikoa kibongo bongo bado tunakula chakula kichafu sana, tukishuka tunaenda chooni, then kwenye Bufee kuchukua chakula, utabeba then utanawa nje ukiwa unaingia ndani ya basi ni lazima ushike mlango au kiti, ukifika lazima pia ushike kiti chako, utaanza kula, Umetakasa mikono kweli!!!.
Kuna wengine sababu ya muda mchache tunakimbizana then tunasahau hata kunawa chooni, baada ya mkojo ni nguo nduki unaenda kuchukua biscuti ambayo utaila kwa mkono !!! Ambao umetoka chooni hujanawa.
Embu angalia hii, wakati unafika kwenye kiti, unatakiwa kukumbuka alikalia mwenzio jana au muda mfupi uliopita, means eneo unalokalia kuna kila namna kunavimelea vya magonjwa, ni hatari sana kula chakula ndani ya bus.
Mwenye nyongeza karibu tuangazie Afya yetu tuwapo safarini.