Kuna matches kadhaa nliona kuna teams zimetumwa kuumiza wachezaji wa Mikia. Zipo wala si suala la kubishana na nlisema tusifurahie. Tusifike huko. Kuna siku itatokea kwetu.
Leo imetokea. Faulo ambayo imempata Pacome. Inaumiza sana. Nahisi huu mguu utakuwa umevunjika. Sijui wataalamu watasemaje...
Kuna jambo linanichanganya Waislamu wanaposema Injili/Biblia na Taurati vimeharibiwa au kupotoshwa,
Ikiwa Qurani inasema mambo mengine waulizwe wayahudi au watu wa Kitabu wakati Taurati na Injili zinapingana nayo, basi Quran inajipinga na hivyo ni ya uongo. Ikiwa Taurati na Injili zimeharibiwa...
Kutokana na kukua kwa Teknolojia ni vyema pia hata baraza letu la mitihani(NECTA) likaanzisha huduma za online hasa kwa wahitimu wa miaka ya nyuma kuweza kujipatia vyeti vyao. Hapa kuna makundi mengine ya waliopoteza vyeti, kuharibikiwa n.k.
Baraza lianzishe utaratibu huo kwa kuwa utaratibu...
Hii ikimaamisha,
viongozi waliochaguliwa na wananchi wapiga kura tu, ndio wapewe vibali na ruhusa ya kisheria kufanya mikutano ya hadhara na kuchangamana na wananchi waliowachagua kwa mujibu wa sheria. Hao ni pamoja na wenyeviti wa vitongoji, vijiji na mitaa, madiwani wabunge, Marais na...
Kila kitu hubadilika ila mabadiliko ndo kitu pekee hakibadiliki.
Mabadiliko yanapokuja au kutokea , Jaribu kuyaeleweka na kubadilika kutokana na hayo mabadiliko .
Mfano mdogo ni platform za kufanya siasa.
Ili chama kiwe relevant au mwanasiasa awe relevant inambidi awe relevant mtandaoni kwa...
Kwa muda mrefu Marekani pamoja na Washirika wake wa Ulaya magharibi ndiyo walikua viranja wa dunia.Yapo mengi mazuri walifanya katika nyanja za demokrasia na utetezi wa haki za binadamu,
na mengi ya hovyo pia kama uporaji wa rasilimali na kuchochea vita maneneo mbali mbali duniani kwa manufaa...
Juzi, waziri mkubwa, Lameki Madilu wa nchi ya Ahaha aliacha dunia hoi. Katika kujipendekeza, kumpendezesha na kumpamba aliyempa cheo si akaropoka eti kutegemea misaada kumepitwa na wakati na dunia imebadilika.
Hapa, kuna mambo ya kufikirisha na kudurusu.
Mosi, je, amelijua hili leo au ni baada...
Wasalaam wataalam,
Mtoto wangu mpendwa ana miezi nane ila mpaka sasa hajakaza kukaa mwenyewe kabisa ana uwezo wa kukaa dk mbili mpaka tano baada ya hapo anaanguka.
Ndugu zanguni napata msongo Mkubwa wa mawazo kutokana na hali yake je ni kawaida au vp?
NB: Alipata changamoto wakati anazaliwa...
Hivi huwa najiuliza what do men live for?
Tuwe na majumba makubwa? Magari? Tupate recognition na fame?
Lahasha, vitu vyote hivyo ni temporary fulfillment.
Nothing beats a better family, a better wife, with children.
No money, no accolades, no fame can ever buy it.
Chekini real men wa...
Nimemsikia mwanasiasa mmoja wa chama cha upinzani CHADEMA kwenye Moja ya mikutano yake akisema posho ya mmbunge mmoja Kwa kikao ni shilingi laki nane. Mimi kulagha siamini kama hilo linaweza kuwa kweli Kwa jinsi viongozi wetu walivyo wazalendo, hawawezi ruhusu jambo hilo lifanyike katika nchi...
Wasalaam,
Mnaohusikia na mambo ya Uchumi wa Tanzania someni hii stari kwa mstari, Sikuwa naelewa anachofanya Kafulila kupitia hii taarifa nimeanza kumwelewa.
Katika bajeti ya Rwanda ya mwaka wa fedha 2026/27 yenye thamani ya Rwf 7.8 trilioni ($5.3 bilioni), sekta ya Ushirikiano wa Sekta ya...
Muda si mrefu kuna jamaa yangu nilikuwa naye hapa kwenye gori langu, ghafla bin vuu kuna kijidada kikali sana hapa jirani kikawa kinapita pita, jamaa kakiimbisha chap kwa haraka, mara paap! mshkaji ananiambia amepata imejensi, baada ya kumdodosa akasema amejaribu kumsoundisha mtoto, mtoto...
Waziri Mkuu wa Tanzania, Dk Mwigulu Nchemba, amesema enzi za kutegemea misaada kugharamia maendeleo na huduma za kijamii zimepitwa na wakati, akisisitiza umuhimu wa Watanzania kujenga utamaduni wa kujitegemea na kuwajibika kutatua changamoto zao wenyewe.
Dk Mwigulu amesema dunia ya sasa...
Wakuu salama,
Mimi ni mwanachama wa muda mrefu hapa JamiiForums (JF). Leo nimekaa na kutafakari kwa kina sana kuhusu mchango wetu sisi watumiaji katika kuuendesha, kuukuza, na kuuongezea thamani mtandao huu unaopendwa zaidi nchini.
Nimekuja na hoja moja ya msingi: Ni wakati sasa kwa uongozi wa...
Nahisi nitakua nina tatizo la phonophobia.
Ninachukia sana sauti sana sana wakati wa asubuhi na nyakati za usiku yaan sipendi kabisa makelele mida hio.
Napenda sana sehemu yenye ukimya.
Napenda sana utulivu na kukaa sehemu iliyotulia muda mwingi nikiwa mwenyewe.
Sauti pekee inayonipa furaha...
Hamjambo Wote!
Wazazi wengi waliwatia uoga vijana wao. Simu zilikuwa zikiita kwa vijana zikiwaonya wasitoke. Wabaki ndani.
Makundi sogozu ya kindugu yalikuwa na hofu. Hakuna kujadili mambo ya kisiasa. Huku msisitizo mkuu ukiwa vijana wasitoke ndani siku hiyo. Vijana wabaki ndani.
Nakumbuka...
https://youtu.be/ZY0-McsJUgM?si=BKQSHy6agElfKKdu
Eti na mwisho wake uwe hivi👉🏻: Kwamba, Albert Bashite Malyangili a.k.a Paul Makonda ndiye achukue nafasi ya Dr Emmanuel Nchimbi - awe Makamu wa Rais🤔🤔
Acha ncheke 😁😁na kusikitika miye..
=======================
Ni patamu hasa. Ni mpambano mkali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.