Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,592
- 20,491
Siku hizi watu/matajiri hawaezeki kabisa kwa vigae. Shida nini? "Pale penye nyumba ya vigae, nje kuna Prado na Musso" hapapo tena.
Kwa maoni yangu vigae vina class yake ambayo haichuji. Sasa imekuwaje havitumiki tena?Kuezekea.
Au kumepitwa na wakati? Juzi wakenya wameboresha ikulu yao.
Wametoa vigae wameweka bati
Kwa maoni yangu vigae vina class yake ambayo haichuji. Sasa imekuwaje havitumiki tena?Kuezekea.
Au kumepitwa na wakati? Juzi wakenya wameboresha ikulu yao.
Wametoa vigae wameweka bati