wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. funaku

    JamiiForums Tanzania Ni wakati wa kuunda na kununua meli zetu kama ilivyo kwenye ndege

    Kama ilivyo kwa AIR TANZANIA sasa ni muda muafakq wa kuunda na kununua meli kubwa za mizigo ili kurahisisha utoaji wa mizigo nchini kuelekea nchi za nje. Shipping line hii imilikiwe na serikali na tuache woga wa kufanya hivyo. Tukajifunze IRAN,CHINA ,INDIA N.K....
  2. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Huko Mahakamani Kwa Lisu wengi walienda wakiwa na Heshima, wakati wakurudi walirudi wakiwa dhalili

    Hamjambo wote! Moja ya Mambo makubwa ambayo viongozi wakubwa, watu wenye Akili, na matajiri wanathamini sana ni pamoja na HESHIMA. Kwao heshima niya thamani sana. Walitafuta vyeo na nguvu kwa NJ yoyote hata kiharamia ili wapate Heshima na kuogopwa. Walitafuta pesa na utajiri kinamna yoyote...
  3. k-bee

    JamiiForums Tanzania PICHA INAYOZUNGUMZA MENGI WAKATI HUU

    Ukiitazama picha hii inaonyesha hali halisi ya matukio na mambo yaliyotokea katika taifa hili... 1). Bluu :waliomba kukaa pembeni 2). Nyeusi na Kahawia(nyeupe mpauko): alipumzika nyadhifa ila bado yupo 3). Nyeusi: amejiuzulu na kufukuzwa kabisa. Ningekuwa mpiga picha ningewaambia wachanganye...
  4. prida

    JamiiForums Tanzania Heche, kama Lema ana makandokando yako wakati sahihi wa wananchi kuyasikia ni sasa.Usibembeleze Lema asifanye press.

    Hiyo post ya Lema ya kuahirisha press inaonesha ni kweli anatishiaga kufanya press na hiyo post yake anamaanisha Heche kambembeleza kwa hotuba ndo mana akaahirisha na hiyo kusema ameahirisha ni KITISHO kuwa wakimzingua anaita press anamwaga uharo wa Heche sababu Lema inaonesha kabisa hampendi...
  5. min -me

    JamiiForums Tanzania Hakikisha unapo piga mamsi wewe ndio unajua wakati wakuachwa

    .
  6. life255

    JamiiForums Tanzania Wakuu, kuna wakati maisha yanakufundisha kimya kimya

    WAKUU, KUNA WAKATI MAISHA YANAKUFUNDISHA KIMYA KIMYA... Kuna kipindi mtu anafika mahali anaacha kulalamika kuhusu maisha na anaanza kujiuliza maswali mazito. Kwa nini mtu mmoja anaanza maisha akiwa na kila kitu, mwingine anaanza akiwa hana hata pa kushikilia? Kwa nini wengine wanapata fursa...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini bado unatafuta ajira wakati tayari una biashara au umejiajiri ?

    Kwanini unatafuta ajira wakati tayari unafanya biashara au umejiajiri? Si mlisema ajira ni utumwa, na kujiajiri ndio uhuru? 🤔 Sasa wewe mhitimu umejiajiri, una biashara yako, boss ni wewe mwenyewe… lakini kila siku uko kwenye magroup ya ajira na JF kwenye jukwaa la ajira ukitafuta nafasi za...
  8. Burn the bridge _Tz

    JamiiForums Tanzania Wanaume wenzangu njoo mnifundishe tabia ya kutojibu message kwa wakati.

    Licha ya kuwa busy na majukumu ila siwezi kuona message ya mtu alafu nikaamua kukaa kimya bila kujibu. Yamegeuka madhara kwangu naumia sana pale mtu napomtumia message alafu achele kujibu. Wanaume wenzangu naomba mnifundishe tabia ya kujifanya nipo busy
  9. M

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Wananchi wateketeza kwa moto shamba la mwekezaji wakitafuta panya kwa ajili ya kitoweo!

    Moto Mkubwa uliosababishwa na baadhi ya wananchi umeteketeza eneo la Mwekezaji Suba Agro katika Kata ya Kipande, Wilaya ya Nkasi Mkoani Rukwa. Kwa mujibu wa Taarifa ya Mkuu wa Wilaya ya Nkasi, Peter Lijualikali amesema moto huo umesababishwa na wananchi walioukuwa wakitafuta kitoweo cha Panya...
  10. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Wakati wa Kuwapuuza Wenye Kutafuta Trend

    Ifike mahali tuwapuuze hawa watu, kuna namna hii familia inatafuta trend na huruma. Ukute mdogo mtu kalipa watu ili waendelee kujadiliwa, si bado ana posho za ubunge
  11. lord atkin

    JamiiForums Tanzania AI: Kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa

    Ndiyo, kuna wakati harakati hazipaswi kutumika kuendesha vyama vya siasa, hasa pale chama kinapotaka kujenga taasisi imara, endelevu na inayofuata misingi ya kidemokrasia. Ingawa harakati ni muhimu sana katika kuamsha umma, kupigania haki fulani, au kuanzisha mapinduzi ya kisiasa, zikitumika...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni baadhi ya vitu nchini Tanzania ambavyo vimekua tunaviomba kwa unyenyekevu wakati tunalipia pesa zetu

    1. Maendeleo kutoka kwenye kodi zetu - Picha linaanza mradi na pesa vyote kwa pamoja vinaonekana ni vya kiongozi, utasikia kiongozi akijitapa eti ni yeye anatoa pesa, atajisifu ni mradi wake utafikiri anajenga nyumba yake kwa pesa zake wakati pesa ni kutoka kwenye kodi za wananchi, na ukileta...
  13. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Wakati Mwingine Tujaribu kuwa na Shukrani, sio kila mda Lawama

    Watanzania wenzangu, kuna kitu huwa nakifikiria sana. Wakati mwingine tunakuwa wepesi sana kuona yale ambayo bado hayajafanyika, lakini tunasahau kidogo kuangalia yale ambayo tayari yamefanyika. Ni kweli, bado tuna changamoto. Kuna maeneo yanahitaji barabara, maji, huduma bora za afya, shule na...
  14. figganigga

    JamiiForums Tanzania Ajabu: Samia kaanza kuongea na Wanahabari wakati hajamaliza Eda! 🤔

    Samia Suluhu Hassan ametoa shukrani za dhati kwa wakuu wa Nchi na Serikali, viongozi wa kitaifa, wanadiplomasia na jumuiya ya kimataifa, viongozi wa dini na Watanzania wote kwa salamu, dua na faraja zao katika kipindi chote cha majonzi mpaka leo wanapohitimisha siku tatu za maombolezo, kufuatia...
  15. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Mambo muhimu ya kuzingata wakati wa El Nino

    El Niño na maandalizi ya mvua kubwa Nyumba: Kagua paa, mifereji ya maji na sehemu zinazovuja. Mafuriko: Ondoa taka kwenye mitaro na epuka kujenga/kukaa kwenye maeneo yanayotuamisha maji. Maji: Hifadhi maji safi ya matumizi endapo huduma itakatika. Chakula: Kuwa na akiba ya vyakula...
  16. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Wanadai eti aliishiwa nguvu, wakati hata ukimtazama tu alivyo ni kwamba hana nguvu kabisa, Ni vizuri Mzee akapumzika siasa sasa, inatosha.

    Tafadhali my friends, ladies and gentlemen, Mzee aachwe apumzike na kuipambania afya yake. Asihangaishwe na wanasiasa au wanaharakati kwa maslahi ya siasa au harakati zao. Ni vizuri familia yake nayo ikachukua hatua muafaka, imsaidie Mzee apate medical attention ya maana, apate utulivu na muda...
  17. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Ya nini Kununua Range Rover Moja wakati kwa Bei iyo iyo unapata Xiaomi SkyNomad Nne!

    Kama unapenda SUV mpya, 0 Km, usinunue Range Rover 2026 kwa $120,000 (cheap base model), Bali angalia Xiaomi SkyNomad N70 au N90 kwa $30,000 full loaded. SkyNomad ni Range Extended, Ina engine ya 1.5 L, turbo i4, zina battery ya either 56 kWh au 72 kWh zenye range ya EV ya 380 Km na 505 Km...
  18. C0000-5068-428-1

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati Tuseme ukweli tu,Tanzania inasonga mbele Chini ya Chama Tawala

    Ukikaa chini ukatafakari Tanzania ya leo na Tanzania ya miaka iliyopita, kuna vitu vingi ambavyo huwezi kuvipuuza. Tunaona barabara zikijengwa, madaraja yanaendelea kujengwa, vituo vya afya vinaongezeka, shule zinaboreshwa, maji yanafikishwa maeneo mbalimbali na umeme unaendelea kusambaa. Hata...
  19. Chai na Uji

    JamiiForums Tanzania David Kafulila: Takwimu zinaonesha wanawake wanapindua meza kwenye Uchumi na wanatumia 90% ya kipato chao kwaajili ya familia wakati Wanaume ni 35%

    Mkurugenzi wa Kituo cha Ubia nchini Tanzania (PPPC), David Kafulila, akizungumza na wasomi wa Tengeru Institute of Community Development (TICD) jijini Arusha, alitoa maelezo ya kuvutia kuhusu nafasi ya wanawake katika uchumi na maendeleo ya Taifa. Kafulila alikuwa akijibu swali la Chiku mmoja...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia Akiwaapisha Viongozi Wateule, Ikulu Ndogo Ya Tunguu, Zanzibar | 02 Septemba, 2026

    https://www.youtube.com/live/BdUex_A8m7A Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwaapisha Wakuu wa Mikoa na Katibu Tawala wa Mkoa, Ikulu Ndogo ya Tunguu, Zanzibar Septemba 02, 2026.
Back
Top Bottom