Marry Diana
JF-Expert Member
- May 5, 2025
- 1,418
- 4,113
Shikamoon wakubwa zangu wote
Wadogo zangu hamjambo.
Leo ni siku nzuri Sana kwangu,
Si kwamba siku nyingine huwa mbaya,hapanaa,bali ni kwamba jambo likija wakati mzuri huwa moyo unafarijika.
Binadamu tunakosea,
Tunasameheana
Maria Mimi si mkamilifu Kwa mambo mengi,yapo nayofanya Kwa makusudi,lakini mengi nafanya Kwa bahati mbaya,Kwa kutokujua.
Lakiniiii leo,ni siku ambayo imeingia kwenye moja ya kumbukumbu zangu.
Maisha ni kuyafurahia na Nyakati nzuri zikija tuzifurahie, lakiniiii nyakati mbaya hutupa somo,na namna ya kujifunza na kutatua matatizo.
Jamiiforum inanifunza,na inanijenga,,hakika ni Elimu Dunia isiyohitaji gharama.
Comments nyingi zimekuwa ni zenye kunishambulia, lakini nimechukulia kama utani kwasababu kinachosemwa mara nyingi ni si kweli.
Jambo la kweli huuma,lakini Jambo la uongo ukizushiwa huuma zaidi,na hili limenitesa zaidi mwanzoni najiunga jamiiforum lakini nimezoea.
Binadamu ndivyo tulivyo.
Yote kwa yote,
Leo niko joy Sana ,pesa ni tamu nyie karibuni 🌹🌹🌹 matusi na kejeli sitaki tusiharibiane siku