wakati

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Wakati wanaCCM wanahangaika kumparura Dk Nchimbi CHADEMA wao wanapambana kupata sapoti toka kwa wananchi.

    Mikakati ya CHADEMA ni kuhakikisha wananchi wanakiunga mkono kama wanavyofanya kwenye tonetone. CCM wao wanakata viuno vya kisiasa kwa kumparula Nchimbi kuwa anataka uraisi 2030. Hii inaonyesha namna gani CCM haipo kwa ajili ya wananchi bali kwa matumbo yao.
  2. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania Wakati Ethiopia ikijipanga kujenga mabwawa mengine ya umeme mto Nile, Egypt imeanza kutapatapa kwa Kutishia Haitaruhusu ujenzi mwingine

    My Take Naunga mkono msimamo wa Ethiopia kutumia Rasilimali zake. ------------ Waziri wa Rasilimali Maji na Umwagiliaji wa Misri, Hani Sewilam, ametangaza kuwa nchi yake haitairuhusu Ethiopia kujenga mabwawa mapya kwenye Mto Nile. Sewilam ametoa kauli hiyo Agosti 4, 2026, wakati wa mkutano na...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Watoto wetu wanakaa chini wakati wa masomo, Shule ya Msingi Bonyokwa (Dar) iongeze madawati

    Mimi ni mzazi mwenye mtoto anayesoma katika Shule ya Msingi Bonyokwa iliyopo Wilaya ya Ilala, Kata ya Segerea, Dar es Salaam. Ninaomba kuwasilisha kilio changu kuhusu hali ya mazingira ya kujifunzia ambayo watoto wetu wanapitia shuleni hapo. Changamoto kubwa ni wanafunzi wa Darasa la Tatu ambao...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mangungu: Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati hatokei upande wao?

    Mwenyekiti wa Klabu ya Simba SC, Mangungu; "Kwa mujibu wa Katiba anaeitisha Mkutano ni M/Kiti wa Klabu, Halafu Bodi tayari walishajadiliana na upande wa MO Dewji ulipendekeza majina yake ambayo yapo kwenye orodha iliyotajwa leo." "Mwenyekiti wa Bodi anapinga vipi Mkutano wa Wanachama wakati...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Khalifa Said: Tupo kwenye kipindi kibaya sana kwa sasa zaidi ilivyokuwa wakati wa Magufuli

    Waandishi wanahali ngumu. Wanafanya kazi kwa hofu.👇
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Eng. Hersi: Kombe la Ngao ya Jamii 2025 limeibwa wakati tunasherehekea parade

    Rais wa Klabu ya Yanga Eng. Hersi Said anasikitika kuwatangazia kuwa Ngao ya Jamii 2025 imeibiwa wakati wa kusherehekea Parade Yao na ameomba Kwa aliyechukua Ngao hiyo anaombwa airejeshe Makao makuu ya Klabu hiyo. Ameyasema hayo akizungumza katika mkutano mkuu wa klabu ya Yanga ambapo ameeleza...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Utasemaje tupo vizuri kisiasa wakati hujawajibika kwa mauaji ya October 29

    Hii ni kufuru na dhihaka kwa wahanga wa October 29. Watu wameuawa kinyama, hakuna hata mtu mmoja aliyewajibika au kuwajibishwa kwa hayo mauaji ya kikatiri halafu unasema tupo vizuri kisiasa. Hili hitimisho unalipata wapi la kusema tupo vizuri? Sisi watanganyika mliotuulia ndugu zetu hatupo...
  8. Fbn

    JamiiForums Tanzania watumiaji wa mirungi wapo wengi na bangi ila mbona mnazibiti wakati mpaka ikulu wanatumia.

    Mimi na cheka sana yani hapa mjengoni na idara kubwa wanao jifanya pombe sio ila watumiaji wa hivi vitu. Kuna mmoja idara kubwa na tajiri na mpenzi wa mirungi anatumiwa sana . Mbona sheria kama hipo kwa maskini sio kwa wao wenye sheria.
  9. chapati mbili na chai

    JamiiForums Tanzania Hivi ilikuwaje watu wakatafsri lugha wakati Kila watu walikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine?

    Hili ni swali zito wakuu ilikuwaje watu wa zamani wakatoa tafsiri za lugha wakati Kila jamii ilikuwa na lugha yao hawaelewani na wengine 🤔
  10. F

    JamiiForums Tanzania Je kiitendo cha Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wajipambanie wenyewe katiba mpya wakati yeye ndiye alipaswa kuweka mchakato huo ni U-Yuda?

    Nafikiri kitendo cha Makamu wa rais Dk. Emmanuel Nchimbi kuwaambia Watanzania wapambanie katiba mpya wakati yeye ndiye aliyepo kwenye nafasi ya kuwezesha mchakato huo lakini hata hivyo hajafanya hayo ni saliti mkubwa kwa Watanzania.
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Mwaipopo kajitangaza wazi anamiliki vikundi vya kigaidi bila kuhojiwa. Wakati huo polisi wakibambikia vyama shi kesi za ugaidi

    Openly, kwenye media, bila uoga, Mwaipopo kajitangaza kwamba anamiliki vikundi vya kigaidi vyenye mafunzo ya hali ya juu, akivionyesha kwenye camera. Polis hawakuchukua hatua yoyote. Badala yake polis wako bize kubambika kesi za ugaidi kwa wakosoaji wa ccm na utendaji mbovu wa serikali iliyoko...
  12. Trubarg

    JamiiForums Tanzania Kwanini abiria wa SGR wakose huduma ya internet wakati wa safari?

    Ni Jambo la kushangaza kwamba licha ya maendeleo ya teknolojia na uwepo wa fibers bado abiria wa SGR wanakosa mtandao ndani ya train wakiwa safarini. Hili ni Jambo la kushangaza na linapaswa kufanyiwa kazi Kwa haraka Sana. Yaani watu tushindwe Fanya biashara zetu kisa tupo kwenye SGR hapana...
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Kwanini REA hawaheshimu mipaka ya viwanja wala hifadhi ya barabara wapitishapo miundombinu yao?

    Habari wadau, Kwanza napenda kuipongeza Serikali kwa kutuletea huduma ya umeme kupitia mradi wa REA katika Kijiji cha Mwalugulu, Kata ya Mwalugulu, Halmashauri ya Msalala. Kijiji cha Mwalugulu ni miongoni mwa vijiji vilivyopangwa na kupimwa vizuri tangu enzi za Mwalimu, hususan katika...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ya pesa ? Gachuma, tajiri wa Mwanza kampeleka Diamond Tarime kwajili ya Birthday wakati angehitajika harusi ya mtoto wa tajiri wa Katoro

    Tajiri wa Katoro sio mtu wa kupenda unyonge! Hapana kabisa! hana dogo, anapenda kujulikana kwamba ana mkwanja mrefu kama mguu wa twiga! Na usidhani ni maneno tu, tuliona video wiki iliyopita zilizotuteka headlines mitandaoni. Kwenye sendoff ya mtoto wake alianza kwa kum book Ali Kiba na wala...
  15. figganigga

    JamiiForums Tanzania John Heche: Kwanini VITOL anatuuzia mafuta kwa usd 260 wakati Uganda anawauzia kwa USD 83 na Msumbiji usd 90?

    Agenda ya kufunika wizi mkubwa kwenye sketa ya mafuta.. Watanzania msikubali. Tunataka kujua kwanini Vitol ametuuzia mafuta kwa usd 260 sawa sh 689,000. Wakati huo huo anawauzia Uganda mafuta hayo hayo kwa USD 83 sawa na sh 212,000 Msumbiji usd 90 sawa na 238,500. Hawa watu wanaoitwa NAMARO...
  16. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna kisa cha ajabu sana; Baada ya kunikopesha na kurudisha kwa wakati niripo rudi tena kukopa kagoma kabisa na kunipa sababu.

    Kuna jamaa yangu kanisumilia kisa ambacho nimeanza kufikiria hizi tabia za watu wa mikopo. Jamaa alipata changamoto kwenye biashara zake. Muda wa kupata pesa kuziba changamoto ulikuwa mdogo sana ikabidi kwenda kwa hawa wenye kukopesha haraka ukiweka mali. Jamaa akaweka nyumba bond na kupewa...
  17. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Kilimo cha Umwagiliaji, Lumuma - Mpwapwa kina wakati mgumu, kivuko cha kusafirisha maji kimeharibika

    Kero yangu ni kwamba tunanyanyasika sana Wakulima wa kilimo cha umwagiliaji Kijiji cha Lumuma Mafene Mpwapwa, kivuko cha kusafirisha maji kwenda kumwagilia mazao kimeharibika huu ni mwaka wa nne lakini Wizara ya Kilimo hata kututembelea na kutupa msaada hakuna, sasa nashindwa kuelewa nini kauli...
  18. Top Gun

    JamiiForums Tanzania Ni tabia gani ambazo ni za kushangaza ambazo mpenzi wako alikuwa akifanya wakati wa tendo?

  19. M

    JamiiForums Tanzania Naomba sababu kwanini niendelee kutumia mafuta zaidi ya 400K kila mwezi wakati ninaweza kubadili gari itumie gesi ya 60K hadi 100K kwa mwezi

    Tuchukulie mfano wa mtu anayesafiri km 30 hadi 35 kila siku ndani ya mji. Kwa mwezi (siku 30), atakuwa amesafiri takribani km 900. Petrol - 4000 kwa lita Gesi - 1545 kwa Kg Sasa tuangalie upande wa gesi. Kwa gari la CC 1900, mfano Nissan X-Trail, kwa mafuta inaweza kukulamba lita 1 kwa km...
  20. L

    JamiiForums Tanzania Naandaa Video Inayoonyesha Mkusanyiko Wa Kauli Tata Za Viongozi wa CHADEMA na wanaharakati Zilivyochochea Vurugu wakati na baada ya Uchaguzi

    Ndugu zangu Watanzania, Nipo Nafanya Maandalizi Mazito kwelikweli ya Kutoa video itakayoonyesha Mkusanyiko wa Kauli Tata na za kichochezi zilizokuwa zikitolewa na viongozi wa CHADEMA na wanaharakati kabla ,wakati na baada tu ya zoezi la uchaguzi kufanyika. Ambazo kwa kiasi kikubwa zilionyesha...
Back
Top Bottom