Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 473
- 470
Mwanamke kukuacha wakati wa struggles inaweza kueleweka.
Lakini kumrudisha baada ya wewe kusimama tena — hiyo inaweza kuwa kujisaliti mwenyewe.
Wapo wanawake ambao hawawezi kuvumilia kipindi kigumu cha mwanaume.
Kipindi cha kujijenga.
Kipindi cha uncertainty.
Kipindi ambacho maisha bado hayajakaa sawa kifedha.
Na hivyo wanaondoka.
Hiyo ni choice yao.
Kila mtu ana kiwango chake cha kuvumilia changamoto.
Lakini tatizo linaanzia hapa:
Miaka mitano baadaye…
umejijenga.
umepata pesa.
umeimarika.
umeanza kufanikiwa.
Ghafla anarudi.
Ghafla anakukumbuka.
Ghafla anataka nafasi nyingine.
Na wanaume wengi huanguka hapo.
Kwa sababu unaporudisha mwanamke aliyokuacha kipindi cha chini yako, unakuwa unatuma ujumbe huu:
«“Ni sawa ulivyoondoka nilipokuwa najitafuta, kwa sababu sasa nina uwezo wa kukupa maisha mazuri.”»
Kwa lugha nyingine:
unamlipa kwa kutokuamini maono yako kipindi ambacho yalihitaji imani zaidi.
Mwanamke wa thamani si yule anayekupenda baada ya mafanikio kuonekana.
Ni yule aliyebaki wakati hakuna uhakika wa ushindi.
Aliyeona potential kabla dunia haijaiona.
Aliyesimama nawe wakati mambo hayajanyooka.
Mwanamke aliyekimbia wakati wa struggle:
haimaanishi ni mbaya.
Lakini haimaanishi pia ana haki ya kurudi kuvuna matunda ya vita ambavyo hakuvipigana nawe.
Hiyo si revenge.
Hiyo ni principle.
Wanaume wengi huchanganya forgiveness na kujitelekeza wenyewe.
Na hapo ndipo wanajisaliti.
Lakini pia kumbuka:
si kila mwanamke anayeondoka alikuwa mbaya.
Wakati mwingine relationship ilikuwa toxic.
Wakati mwingine mazingira yalikuwa magumu kwa wote wawili.
Na wakati mwingine watu hukua na kubadilika kweli.
Ndiyo maana mwanaume mwenye akili:
harudi kwa sababu ana upweke.
Harudi kwa sababu amefanikiwa.
Anajiuliza:
«“Je huyu mtu anaonyesha loyalty, maturity, na heshima ya kweli… au amerudi kwa sababu maisha yangu sasa yanaonekana salama?”»
Usimruhusu mafanikio yako yakufanye usahau nani alikuwa pembeni yako wakati hakuna aliyekuwa anaamini utafanikiwa.
Dr.Zack ✍️