Luhamba II
Senior Member
- Mar 22, 2025
- 137
- 217
Habari mjasiriamali kama wewe umesajiki biashara au Kampuni Brela unahitaji Taarifa Hizi kuomba leseni halmashauri/tausi.
1. TIN
Unahitaji TIN number ambayo utaitumia kufungulia akaunti tausi
2. Mkataba wa upangishaji, unaweza kuwa wa ofisi au wa nyumbani kwako.
3. Certificate of registration/incorporation
Hii ni Ile uliyopewa na Brela.
4. Jina la biashara husika
5. Address
Hapa unaweka mkoa, wilaya na mtaa ambao biashara yako itakuwepo.
6. Taarifa zako binafsi
Kama NIDA, email na namba ya simu.
I hope this helps you,
Hey, naitwa Luhamba Mimi ni mwanasheria na agency freelancer nawasaidia wafanya biashara kama wewe Kusajili leseni za biashara zao.
Kama unahitaji consultation zaidi kuhusu usajili wa leseni unaweza kunitumia ujumbe Whatsapp kupitia namba hizi
0678131068
Your Favorite lawyer.